Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #201
Umechelewa sana !House nigger at his best.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umechelewa sana !House nigger at his best.
👊😅✌️SUKARI
MAFUTA
UMEME
NA SAMAKI.
😎
Safi sana Mkuu Mtazamo maana maisha magumu, umeme mgumu, bei za bidhaa na chakula inapanda sana huku watawala wanakula bata tu.Nimeshiriki maandamano. Kwasasa nakula vuruga ya kuku wa kienyeji niunge mkutanoni.
Jamaa ameua kweli lile bangoSUKARI
MAFUTA
UMEME
NA SAMAKI.
😎
Mh. Lissu Anazungumza muda huu:
Leo Tarehe 15 feb 2024 ni siku ya baraka Jijini Mwanza, baada ya umati wa wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki maandamano ya amani ya kupinga ugumu wa maisha n miswada mibovu ya sheria za uchaguzi.
Hiki hapa ni kituo cha Igoma.
View attachment 2904724View attachment 2904726View attachment 2904727View attachment 2904764
=====
Viwanja vya Furahisha vyazidiwa watu wamesimama mguu mmoja mmoja , ukisimama miguu miwili umekanyaga mtu
View attachment 2905064
20/02 /2024Mbeya Lin mkuu ninamzuka na mandamano
Sanaaa yani kamaliza kila kitu. Mkuu ukipata muda nichek dm nina mjadala na wewe.Jamaa ameua kweli lile bango
Mjadala kuhusu nini Mkuu? In NutshellSanaaa yani kamaliza kila kitu. Mkuu ukipata muda nichek dm nina mjadala na wewe.
Kwa hiyo mkutano umefanyika Jiji zima na manispaa zake zote?Kwa ukubwa wa jiji la Mwanza, watu hao ni wachache sana.
Aisee hata mimi nimekubali mno.Kwa namna wanavyoratibu mambo yao. CHADEMA watapata kura nyingi za urais 2025
HayaKwa ukubwa wa jiji la Mwanza, watu hao ni wachache sana.
Aliingia na pundaAisee hata mimi nimekubali mno.
Kule Mwanza si ndiko Makonda katoka Juzi?😆😆
Ukisema Mwanza ina maana na vitongoji vyake vyote. Hata ingekuwa ni kitongoji kimoja tu, Mwanza, idadi hiyo ni ndogo sana. Ingawaa kwa sasa hivi CCM itapata shida sana kupata kura za kanda ya Ziwa, hata CHADEMA hijafanya kazi nzuri kuvuna kura hizo.Kwa hiyo mkutano umefanyika Jiji zima na manispaa zake zote?
Kwanza unaumia ukiwa wapi?
Endelea kuteseka.....wenzako wameshamaliza kaziUkisema Mwanza ina maana na vitongoji vyake vyote. Hata ingekuwa ni kitongoji kimoja tu, Mwanza, idadi hiyo ni ndogo sana. Ingawaa kwa sasa hivi CCM itapata shida sana kupata kura za kanda ya Ziwa, hata CHADEMA hijafanya kazi nzuri kuvuna kura hizo.
Ninaijua Mwanza vizuri sana; nina nyumba mbili pale pamoja na contacts kibao. CCM sasa hivi haioendwi tena Mwanza kama zile enzi za Magufuli, tena inachukiwa sana kutokana na kero mbalimbali zilizoongeza siku za hivi karibuni, lakini chuki hiyo dhidi ya CCM bado haijajitokeza kuwa ushindi wa CHADEMA. Sana sana ni kwamba inawezekana watu wengi hawatapiga kura, jambo ambalo halitaisaida CHADEMAEndelea kuteseka.....wenzako wameshamaliza kazi