Pre GE2025 Picha: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA Mwanza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
kuna umati wapi hapo kwenye hayo mahangaiko acha upotoshaji wew πŸ’

R.I.P Laigwanan comrade ENL
Sasa huoni kuwa unachanganya madesa Kwa kuripoti maandamano Ukiwa msibani?

Usichanganye msiba na maandamano.
 
We nenda Arusha ukadungwe ngumi za uso huku hapakufai
 
Aliyekuambia nimeajiriwa na CCM nani. Sina cha kuishukuru πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
CCM ndio Chama DOLA na wewe hapo Kibaruani kwako unapotunza kumbukumbu za Fedha zinazozalishwa na Wanaume huku mtaani unatekeleza ilani ya Chama Cha Mapinduzi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Miaka yote Dar imekuwa inajivuta kwenye siasa za upinzani. Kila mara nguvu huanzia mikoani kisha Dar hufuata. Kinyume kabisa na majiji mengine makuu ambapo mageuzi huanzia.
Kabisa mkuu
 
CCM ndio Chama DOLA na wewe hapo Kibaruani kwako unapotunza kumbukumbu za Fedha zinazozalishwa na Wanaume huku mtaani unatekeleza ilani ya Chama Cha Mapinduzi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Acha uongo wewe , umepaka majivu jana hata hayajafutika uneanza kupotosha !
 
CHADEMA wemefanya matembezi ya kufuraia kuruhusiwa kufanya mikutano wakati Taifa zima likiwa kwenye maombolezo ya kuondokewa na aliwai kua mgombea wa CHADEMA kiti cha Urais 2015 na waziri mkuu mstaafu hayati Edward Lowassa.
Pointless. Mbona Mawaziri waliosimamiwa na Mzee Lowasa wako kazini? Mama nae yuko ziarani kikazi?
 
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI embu niambie falsafa iliyopo nyuma ya pazia ya kuruhusu maandamano?

Ni ushauri sahihi kwa namba moja, au ni nini haswa?
Ni maandalizi ya nusu mkate,kibano Cha kimataifa Cha miaka SITA ya jpm kimeleta pressure kubwa kimataifa kiasinkwamba linahitjika Binge lililobalance vizuri!!

Mama anakubali haya kwa shingo upande na hamna namna!!
 
Hayataleta madhara kwenye kiti cha magogoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…