Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Naiona bahari kwa mbali ππ π π πHii picha nilipiga tarehe 08/03/2024 asubuhi Lindi - Tanzania. Hakika Tanzania ni nzuri Aiseee. Camera tu ndio unaniangusha sasa Mla Bata njoo huku View attachment 2942424View attachment 2942425
No.Uko Lindi??
π€£π€£π€£kwa kweliNdio Raha ya kuwa "dereva WA Mkurugenzi" hahahahahaah
Ofisi yetu ipo kkoo LUWASANo.
Niko Dar ila hapo Lindi karibu na Lindi secondary maeneo ya Beach mahali panaitwa Kariakoo ndio home
Kumbe ni jirani.Ofisi yetu ipo kkoo LUWASA
Me naishi mtanda Evo hill hukoKumbe ni jirani.
Nikija takusoma tupige story.
LUWASA mpaka home ni dk chache tu za mguu
No hapo ni mmongo ukiwa unatoka mitwero. Ukimaliza huo mteremko unaingia sheli ya king david kwenye pacha ya kwenda Muhimbili.Hapo ni mitema Beach km tano kuingia Lindi mjini naishi karibu na hio mitaa
Hapa Mteremko wa Mtanda karibu na lindi sekondari. Huo uwanja unaoonekana hapo ni Lindi sekondari.Nakuongezea na nyingine
Viuonga vyote hivyo navijua vyemaMe naishi mtanda Evo hill huko
Uko sahihi nyuma ya khairaty schoolNo hapo ni mmongo ukiwa unatoka mitwero. Ukimaliza huo mteremko unaingia sheli ya king david kwenye pacha ya kwenda Muhimbili.
Mkuu Elli hakika Tanganyika yetu imebarikiwa sana uzuri wa asili na rasilimali, ni vile tu tuna viongozi wa hovyo wanaotuangusha na kuturudisha nyuma kila kukicha kimaendeleo.Hii picha nilipiga tarehe 08/03/2024 asubuhi Lindi - Tanzania. Hakika Tanzania ni nzuri Aiseee. Camera tu ndio unaniangusha sasa Mla Bata njoo huku View attachment 2942424View attachment 2942425
Hapo ulikuwa unateremka mlima/ mwinuko wa Mmongo..kabla ya hiyo Lami ilikuwa shughuli ngumu sana kuupanda huo mwinuko.Hii picha nilipiga tarehe 08/03/2024 asubuhi Lindi - Tanzania. Hakika Tanzania ni nzuri Aiseee. Camera tu ndio unaniangusha sasa Mla Bata njoo huku View attachment 2942424View attachment 2942425
April to June 2024 nitatupia hapa ili uhamasikeFYI, Panapo majaaliwa mwisho wa mwaka huu nimepanga kufanya road trip kusini mwa tanganyika, Mtwara, Lindi, Ruvuma nataka nifike mpaka Mbamba bay π
Next time NduguUngeipigia pale Mbanje ama Rusimbiraa ingenoga zaiidii