Picha Yangu: Good morning Lindi

Picha Yangu: Good morning Lindi

Hii picha nilipiga tarehe 08/03/2024 asubuhi Lindi - Tanzania. Hakika Tanzania ni nzuri Aiseee. Camera tu ndio unaniangusha sasa Mla Bata njoo huku View attachment 2942424View attachment 2942425
Mkuu Elli hakika Tanganyika yetu imebarikiwa sana uzuri wa asili na rasilimali, ni vile tu tuna viongozi wa hovyo wanaotuangusha na kuturudisha nyuma kila kukicha kimaendeleo.

Hizi picha kama zipo za ziada fanya kuziongeza kwenye archive yetu ya Uzi wa Matembezi (Travel & Vacations) na Vivutio vya Utalii nchini Tanzania

FYI, Panapo majaaliwa mwisho wa mwaka huu nimepanga kufanya road trip kusini mwa tanganyika, Mtwara, Lindi, Ruvuma nataka nifike mpaka Mbamba bay 😍
 
Back
Top Bottom