Picha za Abdul Nondo akiwa hospitali akiendelea na matibabu

Mliosema hii ni drama na Nondo amejiteka mnajisikiaje kwasasa?
 
Walaaniwe waliofanya haya
Binadamu mwenye utu hawezi kufanyia binadamu mwenzie hivi,
Hawa ni zaidi ya wanyama.

Mungu wa haki na ahukumu Kwa haki.
 
Yule dada wa chadema aliyepakizwa kwenye boda boda huku kazimia picha zake zinafanana na hizi tuzipe jina first blood na second blood upinzani ukiwawezesha wanaweza mama wape eneo huko bagamoyo filamu zao zitauza zaidi ya royal tour!
Naona mwili wa Nondo hauna damu kabisa. Surely damu za Watanzania hasa Wapinzani mnazigida balaa kama kisusio.
 
Huyu dogo si ndio yule wa expansion joint ya awamu ya 5?
 
Surah Ibrahim (14:42):
"Wala usidhani kwamba Mwenyezi Mungu ameghafilika na wanayoyatenda madhalimu. Yeye anawaakhirisha tu mpaka siku ambayo macho yatakodoka."
Aya hii inaonyesha kwamba Mwenyezi Mungu anawaachia madhalimu kwa muda tu, lakini siku ya mwisho watapata malipo yao kwa dhuluma walizofanya.


2. Surah Al-Anbiya (21:47):
"Na tutapiga mizani zilizo sahihi Siku ya Kiyama. Basi haitadhulumiwa nafsi yoyote kwa lolote. Na hata ikiwa ni uzito wa chembe ya haradali tutakileta. Na inatosha kwamba Sisi ni waweka hisabu."
Aya hii inathibitisha kwamba hakuna dhuluma hata ndogo itakayopitilizwa; kila jambo litahesabiwa kwa haki kabisa
 
Wacha wee!
Naon kazi za watu ambao hawatanusa kaburi
 
Reactions: G4N
Na Mzee kibao ilikuwa episode ya ngapi?
Tundu lisu pale Area D ilikuwa episode ya ngapi?
Waliouwawa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ni episode ya ngapi?

Lakini muhimu kuliko yote siku yakikukuta na wewe itakuwa episode ya ngapi????
Zipe jina mimi sizijui!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…