Picha za Abdul Nondo akiwa hospitali akiendelea na matibabu

Kuna watu wachache kwa roho zao za ajabu walisema hawataamini mpaka waone picha.
 
Watu wanadhuriwa ww unaleta aya za kikobaz hapa.
 
Nondo kaumizwa na falsafa anayoipinfania. Ujamaa. Tusidhani kama akaumizwa sana kisaikolojia kama walivyoumizwa wasiojua mifumo. Ujamaa ni Uimla. Na haya ni matokeo ktk serikali yenye imani ya ya Ujamaa. Ubepari utatulitea upinge hadharani.

Ukombozi kwa Uoni wangu uko ktk falfasa ya Cultural Diversity Society.

bahati mbaya hakuna chama kinachopigania nadharia hii.

Hatusgangai kuona yanayotokea wanaendelea kutokea. Ktk ccm na act wote ni wenye kupigania imani ya Ujamaa iendelee kututawala
 
CC Pascal Mayalla na Kadhi Mkuu 1
 
Aisee😳😳😳
 
Yule dada wa chadema aliyepakizwa kwenye boda boda huku kazimia picha zake zinafanana na hizi tuzipe jina first blood na second blood upinzani ukiwawezesha wanaweza mama wape eneo huko bagamoyo filamu zao zitauza zaidi ya royal tour!
,,,Unasemaj
 
Hilo Goti la Abdul Nondo linatoa picha ya kama mtu anazomeya,alafu kinywa chake kina meno makali sana,augue pole Mkuu Nondo.
 
Pole yake, kubwa ajirekebishe aachane na siasa za matusi coz hata sie tusiokua kwenye siasa tukizingua tunazinguliwa.
Kumbe alitoa matusi, ebu niwekee nione iyo clip au meseji zake za matusi alizotukana mkuu,kwa faida ya wengine
 
Asee jamaa wamemkamua kweli kweli ila polisi ndomana maisha Yao ni ya hovyo hovyo kwakweli
 
Yule dada wa chadema aliyepakizwa kwenye boda boda huku kazimia picha zake zinafanana na hizi tuzipe jina first blood na second blood upinzani ukiwawezesha wanaweza mama wape eneo huko bagamoyo filamu zao zitauza zaidi ya royal tour!
Nikisema wewe ni bwabwa nakosea?
 
Hiki ni kipigo cha mbwa mwizi..😭
 
Nchi imekuwa ya kishamba sana

Ova
 
Halafu utamskia pimbi mmoja anasema Tanzania kuna amani sana
Wendawazimu wapo wengi wa kusema mama anaupiga mwingi.

Serikali ikishindwa kuwahakikishia usalama wananchi wake au yenyewe ikashiriki kuhatarisha usalama wa wananchi maana yake serikali hiyo imefeli na Rais amefeli.

Samia is failure president, na kumbukumbu zote siku za mbeleni zitaonesha hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…