Picha za dada na mchepuko wake zimenivuruga

mkuu ebu nikupe ishu iliyotokeaga home kwetu, sister yangu alikujaga likizo na mume wake home, sasa sijui walizinguana nn huko ndani tupo nje na mshua na bi mkubwa mara tunasikia watu wanajibizana huko ndani, mara sister anatoka huku anamrushia mumewe maneno ya shombo, namuangalia mshua yupo kimya nageuka kwa mother naye kimya, nilisimama nikamwambia sister kwa ukali, dada, kama unamnyanyasaga mumeo kamnyanyasie huko huko kwenu sio hapa, na ukiendelea kuongea huo upuuzi wako kwa mumeo kesho mnaondoka hapa. sister aliniangalia kwa mshangao hakuamini alichokuwa anasikia kutoka kwangu maana tulipishana umri sana, badaye mshua na bi mkubwa wakaniita mshua akaniambia mwanangu leo umefanya kitu cha kijasiri sana, akanipa mkono, bi mkubwa akanipa buku tano akaniambia kesho nenda mjini ukatembee umenikosha sana mwanangu.

kwa hyo mkuu ulitakiwa baada ya kuona hzo mambo umkemee sister hapo hapo.
Duh mkuu kesho ntaamka nae
 
Ndugu zangu leo sister alikuja kunitembbelea home nikamuomba simu nipige picha maana camera yake ninzuri.

Sasa nimemaliza kupiga picha nika jirushia na kuzifuta nika enda kwenye recycle bin nikzifute jumla ndipo nikakuta mambo yaliyo nitoa kwenye mood.
Maana nilikuta picja kama kumi za dada yangu akiwa na jamaa chumbani, wakilana mate ambae sio shemeji yangu ninae mjua duh,

Nimeishiwa na pozi nikaanza kumuwaza alivyo kuwa mstaarabu na kunipa ushauri wa kubaki njia kuu, Kumbe yeye ana zagamuliwa nje ya ndoa yake.

Nikamrudishia simu lakini nimebaki namuwaza dada yangu anavyo msaliti shemeji yangu yaani roho inaniuma kama nasalitiwa mimi,

Ushauri wenu ninawaza nimwabie au nikae kimya sina hata jibu.
Wewe ni mtu wa hovyo hajawahi kutokea, umeona raha kuona uchi wa dada yako! Na bado unamuita dada yako! Unaona sifa kutuambia umefanikiwa kuuona uchi wa dada yako! Na ulaaniwe daima milele na milele.
 
dada ake akiachika. aishi kwako au? uo mzigo abebe nani?? its fun and games ila omba isitokee kwenye familia yako.
kwa ground kugumu sana. hata ukiwa na pesa. single parent wana challenges money can't solve na wengi hiv positive for a reason. ajichanganye
Ndivyo unavyojidanganya na kujifariji kwamba single parents hata akiwa na hela wana challenges money can't buy? Aisee kweli ujinga bado ni tatizo kubwa sana Tanzania.
 
Ndugu zangu leo sister alikuja kunitembbelea home nikamuomba simu nipige picha maana camera yake ninzuri.

Sasa nimemaliza kupiga picha nika jirushia na kuzifuta nika enda kwenye recycle bin nikzifute jumla ndipo nikakuta mambo yaliyo nitoa kwenye mood.
Maana nilikuta picja kama kumi za dada yangu akiwa na jamaa chumbani, wakilana mate ambae sio shemeji yangu ninae mjua duh,

Nimeishiwa na pozi nikaanza kumuwaza alivyo kuwa mstaarabu na kunipa ushauri wa kubaki njia kuu, Kumbe yeye ana zagamuliwa nje ya ndoa yake.

Nikamrudishia simu lakini nimebaki namuwaza dada yangu anavyo msaliti shemeji yangu yaani roho inaniuma kama nasalitiwa mimi,

Ushauri wenu ninawaza nimwabie au nikae kimya sina hata jibu.
Kuepuka mfadhaiko, usishike simu ya mtu.
 
Ushauri mzuri ni kwamba wala usimwambie dada ako ni mtu mzima.......kumbuka alipitiwa tu na shit happens.......hata wewe hujakamilika.
 
Ndugu zangu leo sister alikuja kunitembbelea home nikamuomba simu nipige picha maana camera yake ninzuri.

Sasa nimemaliza kupiga picha nika jirushia na kuzifuta nika enda kwenye recycle bin nikzifute jumla ndipo nikakuta mambo yaliyo nitoa kwenye mood.
Maana nilikuta picja kama kumi za dada yangu akiwa na jamaa chumbani, wakilana mate ambae sio shemeji yangu ninae mjua duh,

Nimeishiwa na pozi nikaanza kumuwaza alivyo kuwa mstaarabu na kunipa ushauri wa kubaki njia kuu, Kumbe yeye ana zagamuliwa nje ya ndoa yake.

Nikamrudishia simu lakini nimebaki namuwaza dada yangu anavyo msaliti shemeji yangu yaani roho inaniuma kama nasalitiwa mimi,

Ushauri wenu ninawaza nimwabie au nikae kimya sina hata jibu.
yasiyokuhusu yasikushughulishe,na simu ukipewa fanya kile kitu ulichoiombea simu,usifanye zaidi ya hicho
 
Zama zimebadilika, Kuwa na mchepuko zama hizi ni kwenda na wakati. ni fasheni kwa wanaume na wanawake.

Je umewahi sikia kampeni ya kataa ndoa?
 
Ndugu zangu leo sister alikuja kunitembbelea home nikamuomba simu nipige picha maana camera yake ninzuri.

Sasa nimemaliza kupiga picha nika jirushia na kuzifuta nika enda kwenye recycle bin nikzifute jumla ndipo nikakuta mambo yaliyo nitoa kwenye mood.
Maana nilikuta picja kama kumi za dada yangu akiwa na jamaa chumbani, wakilana mate ambae sio shemeji yangu ninae mjua duh,

Nimeishiwa na pozi nikaanza kumuwaza alivyo kuwa mstaarabu na kunipa ushauri wa kubaki njia kuu, Kumbe yeye ana zagamuliwa nje ya ndoa yake.

Nikamrudishia simu lakini nimebaki namuwaza dada yangu anavyo msaliti shemeji yangu yaani roho inaniuma kama nasalitiwa mimi,

Ushauri wenu ninawaza nimwabie au nikae kimya sina hata jibu.
Achana na dada yako yeye ni mtu mzima na ana uhuru wake kama ulivyo wewe. Pia wewe umefanya makosa makubwa kupekua simu ya dada yako sidhani kama na wewe ungefurahi kuona yeye anapekua simu yako!
 
20240309_155326.jpg
 
Tafuta mazingira tulivu na rafiki anayoyapenda MCHANE LAIVU HAPO HAPO.

Muambie una haki ya kukasirika maana "Mchuma janga hula na wa kwao".

Vinginevyo subiri ya Penina.
 
Back
Top Bottom