Kwamba kuna jamaa zake walimbishia..kwamba haiwezekani ..ikabidi bonge apostHuyo bonge alibakiza kutoa connection 😹
😁 Unataka kusemaje Mkuu?Mbona huyu jamaa akija jk anakua hayupo hapo wakati ndio mshauri mkuu wa serikali yetu 🤔
Nauliza tu😁 Unataka kusemaje Mkuu?
Kama huyu bibieNyekundu kama ile au? Chagua rangi basi
Huyo kanoga, mwenzio mie mshangaziKama huyu bibie
Mishangazi ndio yenyewe.Huyo kanoga, mwenzio mie mshangazi
Kanga hainitoshiMishangazi ndio yenyewe.
kwa heshima ya ofisi ya raisi, waziri mapete unapaswa kujiuzulu mwenyewe ,
haha hata simjuiWaziri Mapete ni nani huyo, wa Ofisi OBR ?
![]()
Ni nani huyu Waziri Rajab Salum, Katibu binafsi wa Rais Samia?
Kama ilivyokuwa kwa Nguza Samike katibu binafsi wa Rais Magufuli na sasa tuna Waziri Rajab Salum katibu binafsi wa Rais Samia. Huyu ndiye mtendaji wa shughuli zote binafsi za Rais Samia katika masuala ya utawala na serikali. Huyu ndiye mwandishi wa hotuba za Rais, hivyo Rais siku akipatia...www.jamiiforums.com