Nchi inapigwa sana aisee, wananchi wakiongea Kuna wapumbavu wanakuja kusema tuache kulalamika tufanye kazi kmmae zao
 
Wamefanya habari iwe kubwa sana.

Picha zote ni za kawaida sana PERHAPS hizo zero distance na hao anao piga nao picha.
 
Hata ile habari ya kusema Jf haikuutafuta upande wa pili ili kuhoji juu ya tuhuma za Rostam juu ya mgodi nazo ni utopolo!!

Rostam ndiye alitakiwa alalamike kwa kutokutafuta siyo TCRA!! Habari ngapi zinaruka bila kuusikia upande wa pili na vyombo havijafungiwa!!
 
kwa heshima ya ofisi ya raisi, waziri mapete unapaswa kujiuzulu mwenyewe ,

Waziri Mapete ni nani huyo, wa Ofisi OBR ?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…