Huyu Prince Nderea alikua mkorofi eeh! Mbona yeye pekee kasimama chini na pozi tofauti
Ilikuwa Papua Guinea...halafu nasikia akiambana na malikia safari za nje ni lazima aharibu-...kuna mahali walienda walivyokuja kupokewa akawauliza mmeacha kula nyama za watu ?!!
Yes kafanana sana na HarryNinaona amefanana sana na Harry
Huyo mbibi ni alien mbona hazeeki, mbona hatembelei mikono na ule uzee?..watu wanasema eti hanywagi pombe that's yMalkia alikua na bado ni mcute hadi leo
Pesa mama pesa, wengine tunazeeka na mengi ujue, sio umri tu😂😂😂Huyo mbibi ni alien mbona hazeeki, mbona hatembelei mikono na ule uzee?..watu wanasema eti hanywagi pombe that's y
[emoji16][emoji16]Ukiwa na hela hufi kishamba shamba
View attachment 1175074
Siku wanatangaza engagement yao 1947
View attachment 1175075
Picha ya kumbukumbu ya engagement
View attachment 1175076
View attachment 1175077
Amefariki Leo tarehe 9 April, 2021. RIP.prince philip pia yupo hai
And Charles lost his dad at the age of 72
Imagine[emoji848] watu wana bahati sana humu duniani... and Prince William and Harry lost their Grandpa at the age of 39 and 37 respectively.
Kina wakati niliwahi ona mahojiano yakeAlichofaidi ni kunyunyiza tu. Siku hizi za uzeeni ndio amekaa kimya kabisa. A good but miserable life that he had chosen. How could it be without being myself?
Kazi kweli kweli
Alale salama huko kwenye makaziPrince Philip ndio amefariki leo.