Uchaguzi 2020 Pierre Liquid atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Iringa Mjini, asema Msigwa anang'oka pale

Kaka samahani lakini una level gani elimu??uliuliza sifa ya mbunge au kazi ya mbunge??

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Chekechea.

Liquid aliongoza msafara wa wabunge zaidi ya 70 kwenda Cairo Misri kuisupport Timu ya taifa.

Jukumu kama hilo wewe unayejua kazi za mbunge huwezi kulipata hadi unakufa!
 
Tuna safari ndevu sana ,ila pole yao waimba mapambio wa ccm hasaa wasomi sijui wanajiskiaje aise

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Baada ya kumueaka mwanafa kwenye hio list nadiriki kusema "you have successfully renewed your idiot licence"

Hongera sana chief
 
Mwana FA usimweke kwenye hilo kapu ana masters of Business Administration (not sure if it’s MBA) ila ana masters. Siyo ya masters degree ya online he physically attended Coventry University.
Ila hajui kujenga hoja labda kama ana kwenda kwa ajili yakuandika mashairi na nyimbo za chama,ila kwenye siasa ni mweupe mno!

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Yaani kweli FA unamweka kwenye kundi moja na hao wehu?
 
Baadae ya kumueaka mwanafa kwenye hio list nadiriki kusema "you have successfully renewed your idiot licence"

Hongera sana chief
Niliona moja ya interview yake hajui hata atakwenda kuwafanyia nini wana muheza!!ana elimu kubwa ya darasani ila kwenye siasa ni mweupe sana sana

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Umeandika kwa unyonge sana aisee.
 
Mwana FA usimweke kwenye hilo kapu ana masters of Business Administration (not sure if it’s MBA) ila ana masters. Siyo masters degree ya online he physically attended Coventry University.
kamkosea heshima Philosopher mwenye hekma zake
 
Bambo alikwenda wapi mbona hatajwi kugombea ubunge?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…