EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Hayo ni maagizo ya mkuu tunayajuaUsishangae mkurugenzi akamtangaza steve nyerer kama mbunge wa Iringa mjini,poleni wa hehe
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo ni maagizo ya mkuu tunayajuaUsishangae mkurugenzi akamtangaza steve nyerer kama mbunge wa Iringa mjini,poleni wa hehe
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Chekechea.Kaka samahani lakini una level gani elimu??uliuliza sifa ya mbunge au kazi ya mbunge??
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Kwani Bulaya ana tatiz gani, au hujui ni msomi na mwandishi wa habari nguli?Kama sugu na bulaya wamekuwa wabunge sioni ajabu hao wakiwa wabunge
Tuna safari ndevu sana ,ila pole yao waimba mapambio wa ccm hasaa wasomi sijui wanajiskiaje aisePierre Liquid anaingia bungeni kutetea haki ya wanywaji na punguzo la kodi kwenye vinywaji.
Toka wanaojiita walokole wasimamie bei na taratibu za kuuza kilevi wamejikuta wamepungukiwa mapato ya serikali yatokanayo na ulevi kwa sababu ya kodi kubwa na masharti ya kuuza vileo.
Exposure aliykuwa nayo ni zaidi ya ma degree holder tumeliona hilo kwenye kujenga hoja sasa piere hata kuongea tu shida,
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Ila hajui kujenga hoja labda kama ana kwenda kwa ajili yakuandika mashairi na nyimbo za chama,ila kwenye siasa ni mweupe mno!Mwana FA usimweke kwenye hilo kapu ana masters of Business Administration (not sure if it’s MBA) ila ana masters. Siyo ya masters degree ya online he physically attended Coventry University.
Kwani Bulaya ana tatiz gani, au hujui ni msomi na mwandishi wa habari nguli?
Niliona moja ya interview yake hajui hata atakwenda kuwafanyia nini wana muheza!!ana elimu kubwa ya darasani ila kwenye siasa ni mweupe sana sanaBaadae ya kumueaka mwanafa kwenye hio list nadiriki kusema "you have successfully renewed your idiot licence"
Hongera sana chief
Umeandika kwa unyonge sana aisee.Ha ha ha hakika sasa ubunge umekuwa kama u monitor wa darasa la 3A ,sasa piere anawekwenda bungeni kugawa vinywaji au kuwa mtunga sera na sheria za nchii hii?
“Mimi natangaza nia ya kwenda kugombea Jimbo la Iringa Mjini. Mimi kule ndio maeneo ya kwetu kule ndiko alikozaliwa mama, Mchungaji Msigwa anatoka pale,”- Piere Liquid
Ndio maana kuna uzi nilisema ni rahisi sana kuwa mbunge kuliko kuwa mfagiaji wa bunge (angalau mfagiaji anatakiwa kuwa na cheti cha form four,awe na certificate of cleaning and maintenance)bila kusahau ajue lugha zote mbili kwa ufasaha
Pata picha mbunge lina
Harmonize
Piere liquid
Steve Nyerere
Kingwendu
Shilole
Irene Uwoya
Mwana FA
Hatarii hii lazima meza za bunge zipasuke kwa makofi.....mungu atupe uhai tufike Oktoba.
Labda kama ujabahatika bado kumsikia akiojiwa na kujibu academic issues. He has depth trust, usimchukulie poa.Ila hajui kujenga hoja labda kama ana kwenda kwa ajili yakuandika mashairi na nyimbo za chama,ila kwenye siasa ni mweupe mno!
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Kawazidi wote hao elimu dunia,ila ukimsikiliza kwenye siasa ni mweupw mno hakuna kitu labda kama ana kwenda kutunga nyimboYaani kweli FA unamweka kwenye kundi moja na hao wehu?
Inasikitisha mkuu ila ndo hivyo wameshikilia makali lakini historia itawakumbuka vizazi na vizaziUmeandika kwa unyonge sana aisee.
Ndo maana nikasema kwenyw shule anajitahidi ila hata wakazi tu ana mzidi kwenyw kujenga hoja!!Labda kama ujabaatika bado kumsikia akiojiwa na kujibu academic issues. He has depth trust, usimchukulie poa.
kamkosea heshima Philosopher mwenye hekma zakeMwana FA usimweke kwenye hilo kapu ana masters of Business Administration (not sure if it’s MBA) ila ana masters. Siyo masters degree ya online he physically attended Coventry University.
Kusema kweli nchi kadiri wasomi wanavyoongezeka na ujinga unaongezeka sijui hili linasababishwa na nini.Inasikitisha mkuu ila ndo hivyo wameshikilia makali lakini historia itawakumbuka vizazi na vizazi
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Kwa kweli aseeee kama tuna Lusinde na Mlinga kuna nini hapoKama sugu na bulaya wamekuwa wabunge sioni ajabu hao wakiwa wabunge