Uchaguzi 2020 Pierre Liquid atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Iringa Mjini, asema Msigwa anang'oka pale

Uchaguzi 2020 Pierre Liquid atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Iringa Mjini, asema Msigwa anang'oka pale

Kaka samahani lakini una level gani elimu??uliuliza sifa ya mbunge au kazi ya mbunge??

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Chekechea.

Liquid aliongoza msafara wa wabunge zaidi ya 70 kwenda Cairo Misri kuisupport Timu ya taifa.

Jukumu kama hilo wewe unayejua kazi za mbunge huwezi kulipata hadi unakufa!
 
Pierre Liquid anaingia bungeni kutetea haki ya wanywaji na punguzo la kodi kwenye vinywaji.
Toka wanaojiita walokole wasimamie bei na taratibu za kuuza kilevi wamejikuta wamepungukiwa mapato ya serikali yatokanayo na ulevi kwa sababu ya kodi kubwa na masharti ya kuuza vileo.
Tuna safari ndevu sana ,ila pole yao waimba mapambio wa ccm hasaa wasomi sijui wanajiskiaje aise

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Exposure aliykuwa nayo ni zaidi ya ma degree holder tumeliona hilo kwenye kujenga hoja sasa piere hata kuongea tu shida,

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
images-49.jpg
huyu kweli anaekzposha
 
Baada ya kumueaka mwanafa kwenye hio list nadiriki kusema "you have successfully renewed your idiot licence"

Hongera sana chief
 
Mwana FA usimweke kwenye hilo kapu ana masters of Business Administration (not sure if it’s MBA) ila ana masters. Siyo ya masters degree ya online he physically attended Coventry University.
Ila hajui kujenga hoja labda kama ana kwenda kwa ajili yakuandika mashairi na nyimbo za chama,ila kwenye siasa ni mweupe mno!

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Baadae ya kumueaka mwanafa kwenye hio list nadiriki kusema "you have successfully renewed your idiot licence"

Hongera sana chief
Niliona moja ya interview yake hajui hata atakwenda kuwafanyia nini wana muheza!!ana elimu kubwa ya darasani ila kwenye siasa ni mweupe sana sana

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Ha ha ha hakika sasa ubunge umekuwa kama u monitor wa darasa la 3A ,sasa piere anawekwenda bungeni kugawa vinywaji au kuwa mtunga sera na sheria za nchii hii?

“Mimi natangaza nia ya kwenda kugombea Jimbo la Iringa Mjini. Mimi kule ndio maeneo ya kwetu kule ndiko alikozaliwa mama, Mchungaji Msigwa anatoka pale,”- Piere Liquid


Ndio maana kuna uzi nilisema ni rahisi sana kuwa mbunge kuliko kuwa mfagiaji wa bunge (angalau mfagiaji anatakiwa kuwa na cheti cha form four,awe na certificate of cleaning and maintenance)bila kusahau ajue lugha zote mbili kwa ufasaha

Pata picha mbunge lina
Harmonize
Piere liquid
Steve Nyerere
Kingwendu
Shilole
Irene Uwoya
Mwana FA

Hatarii hii lazima meza za bunge zipasuke kwa makofi.....mungu atupe uhai tufike Oktoba.
Umeandika kwa unyonge sana aisee.
 
Mwana FA usimweke kwenye hilo kapu ana masters of Business Administration (not sure if it’s MBA) ila ana masters. Siyo masters degree ya online he physically attended Coventry University.
kamkosea heshima Philosopher mwenye hekma zake
 
Bambo alikwenda wapi mbona hatajwi kugombea ubunge?
 
Back
Top Bottom