Watu wameamka na viatu walivyolala navyo Jana, Xavi Alonzo amelaaniwa sana Jana kwa kuwatia watu umasikini kila mtu amemuona Alonzo mtu mbayaMikeka imeliwa sana jana.Watu asilimia 90 walimpa ushindi buyern Liverkusen
Ni sababu ipi inayokufanya uamini Alonso ameuza mechi?Sure Alonzo Amelia sana maana tamaa zimemponza huwezi kuuza game km Ile kizembe namna Ile kuna game nilikua nasema kabisa hii Leverkusen hatoboi anaenda kunionyesha maajabu mpaka nashikwa na bumbuwazi Jana nimekaa Mguu juu najua kabisa Atalanta anaenda kutoboka sababu naijua Atalanta ni Sawa uikutanishe Yanga na Prisons unajua kabisa nani anaenda kushinda hapa
Haupo peke yako Dunia nzima lawama zote kwa Leverkusen hapo muhindi kala sana Pesa Jana game ilikua ya mtego wa Pesa,Mkeka wangu niliweka 30k ulikua unatema 170k lamamayee.
Timu zoteeee zimetiki niliweka timu 11 mpaka za China zimetiki mule mule.
Msenge Leverkusen kanichania mkeka dooooh!!
Leverkusen SIO wa kufungwa na Atalanta Goli 3 kwa Sifuri HIO HAIPO game imeuzwaNi sababu ipi inayokufanya uamini Alonso ameuza mechi?
Alonzo kauza Mechi Leverkusen SIO wa kufungwa na Atalanta kubari kataa ukweli ndio huo๐ณ๐ณ๐ณ๐ณKauza mechi? Wabongo bwana kwa ujuaji tumebarikiwa. Matokeo yakienda vile msivyotaraji hamtaki kumsifu timu pinzani bali ni mihemko ya kihisia tu.
Leverkusen SIO wa kufungwa na Atalanta IPO wazi kabisa au km mnabisha ipigwe rematch ndio mtaelewa nazungumzia nini Alonzo kauza MechiKila siku nawaambia mpira wa ulaya unatawaliwa na timu kutoka Italy na Spain, tatizo UBISHI.!!
Kwamba Leverkusen ina wachezaji wanaotumia Artificial intelligence huku Atalanta wachezaji wao ni amateur?Leverkusen SIO wa kufungwa na Atalanta Goli 3 kwa Sifuri HIO HAIPO game imeuzwa
Check H2H utanielewa mpira una vipimo vingi sana uzani unaonekana kabisa unalalia wapi utabisha Ila ukweli ndio huo Jana uwanja ulikua unainamia Atalanta nmeshangaa kuona game imenunuliwaKwamba Leverkusen ina wachezaji wanaotumia Artificial intelligence huku Atalanta wachezaji wao ni amateur?
Leverkusen wanakitu gani special kinachoifanya wasifungike na Atalanta? Mpira sio mchezo wa kukaririka kuwa lazima 1+1 iwe ni sawasawa na mbili bali mpira ni mchezo wa kumsoma mpinzani wako, kuja na mbinu sahihi na ufundi na pia ni mchezo wa kumlazimisha mpinzani afanye makosa huku wewe ukijitahidi kupunguza makosa. Umetoa mfano wa Yanga na Prisons. Sio ajabu kuona Yanga akifungwa na timu ya kawaida ndio mpira ulivyo na ndio maana Yanga akafungwa na Ihefu.
Timu zilizoingia kwenye mfumo wa Gasperini msimu huu.Huyu Mzee gasperini watu wanamchukulia poa sana, binafsi msimu huu kombe la Europa nimecheki game zao , si watu kabisa wa kusema utawafunga kirahisi hivyo na unacheza mpira wewe na wanakufunga...Kwa watu wanaoujua mpira haswa kamwe usithubutu kudharau au kuchukulia poa poa timu za Italia hasa hasa wakifanikiwa kufika fainali, always tegemea mechi ngumu sana fainali kama ukikutana na timu za Italy, wazee wa kubeti kumbukeni hili.
Kulalia kwa mzani sio ndio guarantee ya matokeo, achana na mpira wa kubet. Umeathirika na akili za kubet.Check H2H utanielewa mpira una vipimo vingi sana uzani unaonekana kabisa unalalia wapi utabisha Ila ukweli ndio huo Jana uwanja ulikua unainamia Atalanta nmeshangaa kuona game imenunuliwa
๐คฃ๐คฃLeverkusen bila shaka.
Hili sio suala la kuuliza.
Kanichania mkeka matako huyu.๐คฃ๐คฃ
Kaka jana niliweka game za mapema Yanga,Ihefu,vitimu vya China game zao saa 3 zilikua zimeisha zikawa zimetiki,ikabaki moja tu ya Leverkusen nikisema YEES nalamba laki na 70 kwa elfu 30.Hahaha apo na uwakika mikeka imeraruka ya kutosha๐๐๐๐
Pole sana mkuu ,maisha ni vita ..๐๐๐ usibet na matokeo mfukoni nenda na takwimu zilizopo..Kaka jana niliweka game za mapema Yanga,Ihefu,vitimu vya China game zao saa 3 zilikua zimeisha zikawa zimetiki,ikabaki moja tu ya Leverkusen nikisema YEES nalamba laki na 70 kwa elfu 30.
Aiseee alichonifanyia Atalanta Yesu anamuona.
๐๐๐Ulichosema kimempata Leverkuzen kinyume chakeSasa swali gani hili la kuja kufungulia uzi humu mkuu?
Umewahi kuona mtu anapigwa na kugalagazwa mitaroni kwenye maji machafu mpaka anakatiwa vifungo vya shati kwa kipigo?
Ndo kitakachomkuta Atlanta ๐
Mipango ya mungu... Madogo wameroga ๐๐๐๐Ulichosema kimempata Leverkuzen kinyume chake