toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
AiseeeSasa swali gani hili la kuja kufungulia uzi humu mkuu?
Umewahi kuona mtu anapigwa na kugalagazwa mitaroni kwenye maji machafu mpaka anakatiwa vifungo vya shati kwa kipigo?
Ndo kitakachomkuta Atlanta 😂
Mkuu game hii ya Atalanta imekua kama ile ya majuzi Osasuna vs Atletiko madrid.Pole sana mkuu ,maisha ni vita ..😂😂😂 usibet na matokeo mfukoni nenda na takwimu zilizopo..
Jana kidogo nijilipue nimpe Atalanta ningeamka na hela ya maana sana.Muhindi kafanya yake fixed game as usual, hapo watu wameliwa Pesa vibaya sana Jana wamemjazia mzigo Leverkusen
Mechi imeuzwaJana kidogo nijilipue nimpe Atalanta ningeamka na hela ya maana sana.
Alonzo Amelia sana JanaYule mzee ni mwingi sana, alimpiga kipigo Klopp kilimpoteza dira kabisa mpaka msimu umemaliza.
Pole sana bro, betting ni ngumu sana kwa kweliMkuu game hii ya Atalanta imekua kama ile ya majuzi Osasuna vs Atletick madrid.
Nikajua Yeees Osasuna anakula nyingu,Atletico akapigwa 4-1 rafiki yangu.
Hizi timu kubwa muda mwingine kama zinaugua.
Ulizingua,😀😀Jana kidogo nijilipue nimpe Atalanta ningeamka na hela ya maana sana.
Jinsi Gani wachezaji na timu nzima pamoja na kocha Alonso walivokuwa na uchu wa kupata treble na pia kuendeleza unbeaten afu wauuze mechi kipuuzi kabisa 🤔 we bila shaka umebeti ndomana unaropoka . Mafanikio makubwa ya wachezaji na timu ni kutwaa Mataji ili kutengeneza CV na heshima ndomana watu wanashindania kombe na sio pesa.Kamwe haipo timu duniani eti ijifungishe mechi ya fainali wakose kombe ili wapewe pesa never. Mfano ww bila shaka huwezi kukubali kulawatiwa Kwa ajili ya pesa si ndio . Ko apa umechagua heshima ya uwanaume wako mbele ya pesa kuliko kulawatiwa .Mechi imeuzwa
Mkuu Game inachezwa uwanjani na nje ya uwanja.Jinsi Gani wachezaji na timu nzima pamoja na kocha Alonso walivokuwa na uchu wa kupata treble na pia kuendeleza unbeaten afu wauuze mechi kipuuzi kabisa [emoji848] we bila shaka umebeti ndomana unaropoka . Mafanikio makubwa ya wachezaji na timu ni kutwaa Mataji ili kutengeneza CV na heshima ndomana watu wanashindania kombe na sio pesa.Kamwe haipo timu duniani eti ijifungishe mechi ya fainali wakose kombe ili wapewe pesa never. Mfano ww bila shaka huwezi kukubali kulawatiwa Kwa ajili ya pesa si ndio . Ko apa umechagua heshima ya uwanaume wako mbele ya pesa kuliko kulawatiwa .
Mkuu Game inachezwa uwanjani na nje ya uwanja.Jinsi Gani wachezaji na timu nzima pamoja na kocha Alonso walivokuwa na uchu wa kupata treble na pia kuendeleza unbeaten afu wauuze mechi kipuuzi kabisa [emoji848] we bila shaka umebeti ndomana unaropoka . Mafanikio makubwa ya wachezaji na timu ni kutwaa Mataji ili kutengeneza CV na heshima ndomana watu wanashindania kombe na sio pesa.Kamwe haipo timu duniani eti ijifungishe mechi ya fainali wakose kombe ili wapewe pesa never. Mfano ww bila shaka huwezi kukubali kulawatiwa Kwa ajili ya pesa si ndio . Ko apa umechagua heshima ya uwanaume wako mbele ya pesa kuliko kulawatiwa .
😀😀😀😀 hapo ukute mwamba alibet kodi ya geto sasaAiseee
Katika historia yangu ya kubet kamwe siwezi kubet mechi ya fainali. Game ya fainali watu wanapambana kufa na kupona. Game ya fainali usishangae wigan akampiga arsenal. Man u kila siku anatobolewa na watoto wadogo tu cheki fainali ya fa walivyomkazia man city sasaWanaosema sijui mechi imeuzwa au fixed tuwaache Haina haja ya kubishana nao bila shaka ni pesa walizobetia au ilizobidi wale ndo zinawauma maana wameingia na matokeo Yao mfukoni. Mtu anasema kabisa Kwa kujiamin ety timu flani haiwezekan kabisa kuifunga timu flani😂 akili za betting bhn daaah ko sasa hio mechi isingechezwa basi kama Atalanta hawez kumfunga Leverkusen sa sijui Atalanta hawana miguuu😂 kwamba hawawez kupasiana na kufunga 😂😂😂 dahh betting zinaua watu jmn sio poa. Duniani Kuna timu Bora ndio na zinapocheza na timu zenye ubora wa chini basi timu yenye nguvu inauwezekano mkubwa wa kushinda mechi na uwezekano hupimwa Kwa asilimia , na hakuna timu duniani yenye 100% ya kushinda mechi. Hyo haipo kamwe utakuta ata kma ikiwa na 99% za kushinda BDO hyo 1% ya kufungwa inaeza kutokea. Mim mwnyw mbona huwa nabeti sana tu high stake na nnaliwa fresh tu basi nakausha najua n matokeo ya mpira tu basi
Mkuu pesa hainunui legacy. Ukiuza mechi utapata hela nyingi kuliko hela ambayo ungepata kama ungechukua kombe lakini brand yako itapolomoka. Thamani ya kombe ni ndogo sana ukilinganisha na gharama za kuendesha timu lakini kwanini timu zinashiriki hayo mashindano? Kwa sababu zinapambania kukuza brand. Brand ndio yenye hela.Mkuu Game inachezwa uwanjani na nje ya uwanja.
Let say 85% ya waliobet wamempa bayer leverkusen.
15% Atalanta.
Assume kombe lina thamani ya mil.500
Wakati huo muhindi anahitaji kuchana 85% ya mikeka.
Bayer leverkusen anapewa 1.2B .
Unadhani atakataa kujifungisha akapiga 1.2B
Hapo ndo mtu anakosa penati.
Kila movie inatoka nje na kugonga post.
Ukubali ukatae mechi Zinauzwa 100%
Mchambuzi toka bonyokwaLiverpool angekutana na Bayer Leverkusen asingechomoka jino moja.
Leverkusen msimu huu ina performance ya kushindana na timu yeyote ile.
Bayern munich yenyewe inasanda kwa Leverkusen.
Na kama Leverkusen ingeingia UCL msimu huu balaa lingetokea.
Mchambuzi toka matakataka FmSasa swali gani hili la kuja kufungulia uzi humu mkuu?
Umewahi kuona mtu anapigwa na kugalagazwa mitaroni kwenye maji machafu mpaka anakatiwa vifungo vya shati kwa kipigo?
Ndo kitakachomkuta Atlanta [emoji23]
We jamaa akili zako zimekaa kibetting kabisa mana mtu ambaye habeti Wala hawezi kuongelea upuuzi huo eti wa kuuza mechi we kaa na akili Yako hvohvo kwamba mechi zinauzwa . Kwakweli mi sijawah ona timu duniani iuze kombe Tena ni timu ambayo Ina uwezo wa kubeba Hilo kombe. Nashindwa kuelewa kwann watu wanaongelea sna mechi kuuzwa🤔 nikaja kugundua kumbe ni wamebeti. Sijui ni timu Gani duniani inashinda mechi zake zote bila ata kutoa sare au kufungwa msimu mzima, mana ata ikiwa na msimu mzuri ikawa hajafungwa basi lazima itatoa sare mechi kazaa sasa inaeza angukia sare kwny timu dhaifu apo ndo utaskia mechi imeuzwa😂😂 basi ingia uwanjani ukacheze ww km ni rahisi unazani. Alokwambia uwabetie nan😄🤔 we yko mbona ndogo sana watu washabetia timu imepewa odd 1.02 kushinda afu sare odds 13 na kufungwa odds 24 na BDO hyo timu yenye oddal 1.02 haikushinda mechi. Pia tambua wachezaji ni binadamu sio marobot sio kla sku watacheza katka fomu na mudi ileile siku zoteMkuu Game inachezwa uwanjani na nje ya uwanja.
Let say 85% ya waliobet wamempa bayer leverkusen.
15% Atalanta.
Assume kombe lina thamani ya mil.500
Wakati huo muhindi anahitaji kuchana 85% ya mikeka.
Bayer leverkusen anapewa 1.2B .
Unadhani atakataa kujifungisha akapiga 1.2B
Hapo ndo mtu anakosa penati.
Kila movie inatoka nje na kugonga post.
Ukubali ukatae mechi Zinauzwa 100%
Hata wazungu wenye hizo timu walimpa uhakika Bayerleverkusen.Mchambuzi toka bonyokwa