Uhakiki
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 7,288
- 7,704
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bungeni wamo wanaojua kusoma na kuandika tu lakini wenye msaada na matumizi ni wale wenye shule ya maana. Ukitaka Mbunge wa mikongo na komedi ingiza huyo anayeitwa mtoto wa mjini, wenzako wataingiza wanaoweza kupanga mambo ya nchi.CV ipi brother maana ubunge (siasa) sio nafasi ya kazi.
Naomba unieleweshe tafadhali!
kwa hiyo mnatumia hiyo loop hole mnaitumia kutupelekea vilaza bungeni....CV ipi brother maana ubunge (siasa) sio nafasi ya kazi.
Naomba unieleweshe tafadhali!
Hongera Jacob Masalu. Japo hatujui njozi yako ni ipi kwa wana Mwanza (hususan Nyamagana)Mimi kusema mtoto wa mjini nina maana sana sibahatishi brother.
Tulia brother mimi ndio mtaalamu mtoto wa mjini Masalu Jacob.
Brother nina elimu ya kutosha kwa kusaidia jimbo la Nyamagana Mwanza. Pili mimi naifahamu vema siasa ya Mwanza na Tanzania kwa ujumla.Bungeni wamo wanaojua kusoma na kuandika tu lakini wenye msaada na matumizi ni wale wenye shule ya maana. Ukitaka Mbunge wa mikongo na komedi ingiza huyo anayeitwa mtoto wa mjini, wenzako wataingiza wanaoweza kupanga mambo ya nchi.
Nikushauri. Tuombe msaada wa mawazo na hapo tutaanza kukuliza sifa zako. Mambo ya kusema unajulikana, hapa ni nyumbani, mji nauelewa, na bhla! bhla! kibao haisaidii siasa za leo. Mji kama wa mWanza haustahili tena kutafuta mtu anayeitwa mtoto wa mjini. Hata Meya alistahili apatikane mtu anayeweza kukaa meza moja na waziri au waziri mkuu wakapeana challenges. Kama sifa hazitoshi mimi sitasita kukueleza urudi shuleni.
Baada ya hayo naomba uelewe kwamba Chama chochote utakachokitumia kuingia Bungeni, leo hii hakuna siasa za mtoto wa mjini labda kile kinachosema kazi na bata. Siasa za watu wa mizaha zimekwisha. Nasema hayo nikimaanisha kwamba uchaguzi wako wa neno 'mtoto wa mjini' ni kosa la kwanza kwa siasa za nchi sasa hivi. HIyo nailinganisha na unenguaji wa waziri aliyetumbuliwa. Alichekewa lakini kumbe utawala hauoni kama huo ni mtaji.Brother nina elimu ya kutosha kwa kusaidia jimbo la Nyamagana Mwanza. Pili mimi naifahamu vema siasa ya Mwanza na Tanzania kwa ujumla.
Usiogope brother. Mimi kuwa mtoto wa mjini inamaana sana na endapo chama changu kikinipitisha kukiwakilisha hakuna atakayenishinda Nyamagana.
Karibu Nyamagana tuijenge pamoja.
Haahaa hii sio kampeni ni kutangaza nia brother.
Karibu Nyamagana Mwanza. Viva mtoto wa mjini viva Masalu Jacob.Hongera Jacob Masalu. Japo hatujui njozi yako ni ipi kwa wana Mwanza (hususan Nyamagana)
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina elimu nzuri tena nimesoma chuo bora kabisa. Usiwaze brother.kwa hiyo mnatumia hiyo loop hole mnaitumia kutupelekea vilaza bungeni....
Majaribu gani brother, siku ukiniona na ukapata kuambiwa mambo niliyoifanyia nchi, mkoa wa Mwanza na jimbo la Nyamagana utaamini ninachokiandika hapa brother.
Hapana brother mtoto wa mjini haina maana mbaya hata kidogo kama unavyoitafsiri.Kwaiyo watoto wa vijijini ni wajinga sio? Au unalenga nini?
Kwangu ukiniita mtoto wa mjni ama zako ama zangu!Hapana brother mtoto wa mjini haina maana mbaya hata kidogo kama unavyoitafsiri.
Unahisi nina mzaha brother? utakuwa unakosea sana. Mimi ni kijana mtaratibu na mwenye heshima sana.Baada ya hayo naomba uelewe kwamba Chama chochote utakachokitumia kuingia Bungeni, leo hii hakuna siasa za mtoto wa mjini labda kile kinachosema kazi na bata. Siasa za watu wa mizaha zimekwisha. Nasema hayo nikimaanisha kwamba uchaguzi wako wa neno 'mtoto wa mjini' ni kosa la kwanza kwa siasa za nchi sasa hivi. HIyo nailinganisha na unenguaji wa waziri aliyetumbuliwa. Alichekewa lakini kumbe utawala hauoni kama huo ni mtaji.
Tumeingia siasa za busara, na siyo za mizaha na kusifia kujua kuvaa.
Piga kura yako kwa mtoto wa mjini Masalu Jacob.
Mwanza - Nyamagana stand up.
Sitasema chama brother naijua siasa ya bongo.Chama gani..? Kama ni CCM tafuta kazi nyingine ya kufanya.
Hatucheki na Nyani safari hii.