Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Hili ni Somo kubwa na funzo kwa wanasiasa na watu wote ambao tulikuwa hatujui uzito na maana ya waraka wa baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) ambao hutolewa na kusomwa makanisa yote ya waumini wao.
Kama na wewe ni muuumini wa kanisa katoliki na unajua uliropoka na kupinga lolote kuhusu waraka ule wa TEC fanya haraka urudishwe kundini.
Ujinga tu huo wa hao viongozi wa kanisa katoliki kususia maiti, mtu akifa ndio ashakufa...