Pilau kachumbari na matunda

Pilau kachumbari na matunda

Hongera kwa kupika mkuu maana wengine tukipika hiyo pilau mtu anaweza dhani tumejifunzia yutyubu..

Intelligent businessman ukinikaribisha kula tikiti. Pilau sharti liwe na mchuzi maana wengine tumezoeshwa mboga ni rosti 😁😁
mkuu labda niwe kwetu, au nita fute mrembo Kama wa Zulu man aje apike😁😁.

beside Raha ya msosi, ni mchuzi wa kutosha.
 
Wanawake tuwape heshima yao aisee imagine mwanaume unajidamka unaanza usafiri wa ndani mara nguo zimechafuka unawaza usafi badala ya kuwaza mikakati ya hela
Si unaenda kutafuta pesa u azani ukikosa pesa atakuelew ata ngua utakuta chafu kisingizio hakuna sabuni
 
Badirika mkuu morng amka weka unapolala safi kuna kuanguka ukaletwa kwako watu wakosa ata pakupita kisa nguo zako umetawanya
Huo muda Sina mkuu. Nakumbuka miaka hiyo nipo bachela ilikuwa nikinunua kiatu nikavaa wiki kikichafuka natia kwenye tenga nanunua kingine.. na soksi hivyo hvyo, nikaja kustuka ninarundo la maviatu
 
Back
Top Bottom