Pima kabla ya kuingia kwenye ndoa, usitake kujuta

Ungebakia nae tu bora kuwa na mwanamke mwenye Sickle cell ambaye anajua unampenda so akakuheshimu kuliko ukawa na mwanamke ambaye hana changamoto ila hajielewi.
 
Huyo mchumba utakaye mpima vyote hivyo Ni Nani? Wewe mwenyewe umekamilika?
 
Ni Mungu tu anatulinda... mimi nilipata mwanamke tukaelewana tukaanza kunyanduana kwa ndom ila baadae tukatupa kule ndom tukaendelea kavu kavu...

Baada ya miezi 7 nikapeleka posa wakati huo ni mjamzito, wakati wa kusajili ndoa ikabidi tukapime na vipimo vikaonyesha tupo Negative, tukafunga ndoa chap, baada ya kuoana miezi minne imepita.. mke akaniita akaniambia nataka nikuambie kitu, Je una kifua? Nikamwambia hakuna shida hapo moyo unaenda mbiyo....

Akaniambia kuwa , mama yake, dada yake, mama yake mkubwa, mjomba wake, na wote wanaishi pamoja wameathirika na VVU....

Nikapiga magoti nikamlilia Mungu na kuomba toba na kumshukuru Mungu... just imagine [emoji26][emoji26][emoji26]
 

Kubwa zaidi ni Upendo.
Ndoa ni Upendo.

Hayo mengine uliyoyataja hayana maana yoyote Ile Kwa Watu wanaopendana.

Mnaweza msiwe na hayo yote lakini kama hamna upendo ndoa lazima iwe ngumu na iwape magonjwa yote uliyoyataja hapo na zaidi
 
Uokoke na umshike Yesu.
 
Mkuu angalia usije ukajioa mwenyewe
 
Copy and Paste ya Dr Celine wa Twitter
 
Wazazi wako walipima kabla ya ww kuzaliwa? Vijana tumekua wajuaji mnoo kisa vielimu vya mzungu hivi

Kma ni hivo basi watu wasingeoana katika hii dunia mana aso na hili ana lile

Kikubwa Muombe Mungu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…