mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,072
- 12,119
Kipengele nyeti sana hikiNB: Spiritual status ya both families ndio tatizo zaidi maana halionekani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipengele nyeti sana hikiNB: Spiritual status ya both families ndio tatizo zaidi maana halionekani
Kama hujaoa pitia hizo kategorizi kwenye usaili 🤣 🤣 🤣Inafikirisha
Mambo n mengi kwa kizazi Cha sasa hivi wengi tunajikuta tushayavaa matatizo, hatuna hup muda wa kuanza kufuatilia hayo yote.Sana
Itabidi nifanye hivyo maana inatisha 😑Kama hujaoa pitia hizo kategorizi kwenye usaili 🤣 🤣 🤣
Sure Mungu awasimamie vijana...sisi kwa tulipofikia tunaweza kumalizia ngwe ilobakia salama..Itabidi nifanye hivyo maana inatisha 😑
Ungebakia nae tu bora kuwa na mwanamke mwenye Sickle cell ambaye anajua unampenda so akakuheshimu kuliko ukawa na mwanamke ambaye hana changamoto ila hajielewi.Aisee hii ya sickle cell imenikuta. Aisee ile pisi ni mzuri hatari. Alafu alikuwa very humble lady familia njema. Eeh bwana nikakaa nakuwaza mhm mzabzab kweli utaweza safari za hospital...ikabidi nimtose tuu mrembo wa watu ila katika pisi kali nilizowahi kugegeda yule alikuwa top of the top
Huyo mchumba utakaye mpima vyote hivyo Ni Nani? Wewe mwenyewe umekamilika?1. HIV -UKIMWI
2. Rhesus
3. Genotype
4.Hepatitis B
5. Hepatitis C
6. Magonjwa sugu
7. Magonjwa ya akili
8. Makundi ya damu
9. Magonjwa ya zinaa
10. Magonjwa ya kurithi11.Vipimo vya uzazi, mbegu za kiume na mirija kuziba
NB: The spiritual status of both families, wengine wachawi, waabudu sanamu, devil worshipers au wana mikataba na vitu gani sijui Familia haishi mikosi na matatizo zaidi unaweza jikuta wewe ndio kiota cha kutotolea watoto wa kafara kwenye ukoo.
Ah wapi wewe mie hospital siwezi mwanawane navyoogopa sindanoUngebakia nae tu bora kuwa na mwanamke mwenye Sickle cell ambaye anajua unampenda so akakuheshimu kuliko ukawa na mwanamke ambaye hana changamoto ila hajielewi.
1. HIV -UKIMWI
2. Rhesus
3. Genotype
4.Hepatitis B
5. Hepatitis C
6. Magonjwa sugu
7. Magonjwa ya akili
8. Makundi ya damu
9. Magonjwa ya zinaa
10. Magonjwa ya kurithi11.Vipimo vya uzazi, mbegu za kiume na mirija kuziba
NB: The spiritual status of both families, wengine wachawi, waabudu sanamu, devil worshipers au wana mikataba na vitu gani sijui Familia haishi mikosi na matatizo zaidi unaweza jikuta wewe ndio kiota cha kutotolea watoto wa kafara kwenye ukoo.
Uokoke na umshike Yesu.Ni Mungu tu anatulinda... mimi nilipata mwanamke tukaelewana tukaanza kunyanduana kwa ndom ila baadae tukatupa kule ndom tukaendelea kavu kavu...
Baada ya miezi 7 nikapeleka posa wakati huo ni mjamzito, wakati wa kusajili ndoa ikabidi tukapime na vipimo vikaonyesha tupo Negative, tukafunga ndoa chap, baada ya kuoana miezi minne imepita.. mke akaniita akaniambia nataka nikuambie kitu, Je una kifua? Nikamwambia hakuna shida hapo moyo unaenda mbiyo....
Akaniambia kuwa , mama yake, dada yake, mama yake mkubwa, mjomba wake, na wote wanaishi pamoja wameathirika na VVU....
Nikapiga magoti nikamlilia Mungu na kuomba toba na kumshukuru Mungu... just imagine [emoji26][emoji26][emoji26]
unapima full blood picture, wote tunapima, two way traffick.Huyo mchumba utakaye mpima vyote hivyo Ni Nani? Wewe mwenyewe umekamilika?
Wema Sepetu na huyo wa Siko cell yupi afadhali?Ungebakia nae tu bora kuwa na mwanamke mwenye Sickle cell ambaye anajua unampenda so akakuheshimu kuliko ukawa na mwanamke ambaye hana changamoto ila hajielewi.
inshaaalahSure Mungu awasimamie vijana...sisi kwa tulipofikia tunaweza kumalizia ngwe ilobakia salama..
Hatutoboi hapaVipi, mchujo umekua mkali sana tulegeze kidogo?
Mkuu angalia usije ukajioa mwenyewe1. HIV -UKIMWI
2. Rhesus
3. Genotype
4.Hepatitis B
5. Hepatitis C
6. Magonjwa sugu
7. Magonjwa ya akili
8. Makundi ya damu
9. Magonjwa ya zinaa
10. Magonjwa ya kurithi11.Vipimo vya uzazi, mbegu za kiume na mirija kuziba
NB: The spiritual status of both families, wengine wachawi, waabudu sanamu, devil worshipers au wana mikataba na vitu gani sijui Familia haishi mikosi na matatizo zaidi unaweza jikuta wewe ndio kiota cha kutotolea watoto wa kafara kwenye ukoo.
Hatutoboi hap
Bikra sijaweka kama kigezo cha kupima kama ipo, sasa tulegeze wapi tena wapendwa?Vipi, mchujo umekua mkali sana tulegeze kidogo?
Wazazi wako walipima kabla ya ww kuzaliwa? Vijana tumekua wajuaji mnoo kisa vielimu vya mzungu hivi1. HIV -UKIMWI