Pindi Chana: Nimesitisha usafirishaji wa wanyamapori mpaka nitakapopata taarifa kamili

Ule mpango kweli ulikuwa wa walamba asali, walijaribu kufanya wakidhani watanzania wangekaa kimya bahati nzuri kelele zikawaogopesha, awamu ya wapiga dili hii inabidi kuwa nao makini sana.
 
Especisally , Kinana, JK, maza , Riziwani, Nchemba, January na Nape
Hawa viumbe lazima nasema ni lazima watanzania tuwaweke kwenye sport lights hasa liz one kabeba dhamana ambayo ni delicate kinoma. Tuwe macho sana sana sana hawa huu ukoo ni shiiiida
 
Ule mpango kweli ulikuwa wa walamba asali, walijaribu kufanya wakidhani watanzania wangekaa kimya bahati nzuri kelele zikawaogopesha, awamu ya wapiga dili hii inabidi kuwa nao makini sana.
Bado utanyooka soon
 
Nchi inauma sana hii basi tu,lkn ipo siku,huko nyuma tuliambiwa wapo madikteta uchwara,kumbe nimegundua kuwa ni vema kuwa na akiba ya maneno,kinachoendelea huwezi amini kama hawa akina Mbowe na lisu ndio wamegeuka walamba asali sasa sijui tuwaite wapinzani UCHWARA.Watanzania tuamke.
 

Eti taarifa zilizo kuwa zinasambaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi ni asali gani wanalambishwa?
 
Kwamba walikuwa hawajui? Huku ni kutojiamini sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…