Pindi Chana: Nimesitisha usafirishaji wa wanyamapori mpaka nitakapopata taarifa kamili

Ndio maana tunataka katiba mpya haiwezekani mtu mmoja amekaa anasema wanyama wauzwe!hivi zile bilioni 7 za royaltour zilikuwa na malengo gani?Hao wazungu watakuja kufanya nini wakati hao wanyama mnauza kama chupi #kinana

Trust I huyu minister yuko njiani kufyatuliwa
 
Magu alishaanza kufungua mabucha ya nyama pori mikoani alianza na Dodoma.
 
Tatizo ni KUTOJUA sheria. Aliyepewa MAMLAKA ya kutoa leseni, kuweka ZUIO na kutengua ni MKURUGENZI WA WANYAMAPORI (Utalii) na si WAZIRI. Taasisi ya TAWA ndiyo imeanzishwa na sheria kusimamia UHIFADHI wa Wanyamapori. Tamko lao lina UHALALI kisheria. Kama kuna kosa basi liko kwenye
Sheria ya Uhifadhi wa Wanyamapori ya 2009 ambayo ndiyo imetoa MAMLAKA makubwa kwa Mkurugenzi wa Utalii na si Waziri. Waziri anaweza kusikiliza RUFAA na mazingira kadhaa kushauriana na Mkurugenzi. Lakini, MAMLAKA ya utoaji VIBALI, ZUIO n.k liko kwa MKURUGENZI. Ndiyo maana mnaona Haya MAZINGAOMBWE kwa sababu tuna watu wanatumia MADARAKA wasio nayo na hawatumii mamlaka waliyonayo. Tuna watu wasiojua wanachokifanya.
 
Kama ni serikali ktk ministerial level ndio ilisitisha usafirishaji wa wanyama hai 2016 iweje 2022 mkurugenzi wa wanyama pori (idara) atoe kibali cha kusafirisha wanyama hao?

Pamoja na katazo nilitegemea liambatane na kukamatwa wote walio husika na tangazo la kuruhusu.
 
Tatizo ni KUTOJUA sheria. Aliyepewa MAMLAKA ya kutoa leseni, kuweka ZUIO na kutengua ni MKURUGENZI WA WANYAMAPORI (Utalii) na si WAZIRI. Taasisi ya TAWA ndiyo imeanzishwa na sheria kusimamia UHIFADHI wa Wanyamapori. Tamko lao lina UHALALI kisheria. Kama kuna kosa basi liko kwenye
Sheria ya Uhifadhi wa Wanyamapori ya 2009 ambayo ndiyo imetoa MAMLAKA makubwa kwa Mkurugenzi wa Utalii na si Waziri. Waziri anaweza kusikiliza RUFAA na mazingira kadhaa kushauriana na Mkurugenzi. Lakini, MAMLAKA ya utoaji VIBALI, ZUIO n.k liko kwa MKURUGENZI. Ndiyo maana mnaona Haya MAZINGAOMBWE kwa sababu tuna watu wanatumia MADARAKA wasio nayo na hawatumii mamlaka waliyonayo. Tuna watu wasiojua wanachokifanya.
 
Mimi kwa kweli hakuna mnyama ananiumiza moyo wangu kama Twiga nikimuona anasafirishwa kwenda nje ya nchi yangu TZ. Huwa machozi yananitoka kabisa.

Sasa kipi kinakuumiza mkuu?

Kama raia tu mnataka kuwa na uraia pacha, iweje kwa wanyama kupelekwa huko iwe nongwa?

Huku kuna watu pia,kama tunakubali kuletewa teknolojia ambayo hatunayo sio nongwa pia kupeleka wanyama. Hawaendi bure kule.
 
Mkuu NJAA haina ubaunsa..

Tanzania hakuna wanasiasa wa kweli.
Ni NJAA tu zinawasumbuwa .
 
Ndio waliuruhusu wanyama kusafirishwa?
 
Taarifa nyeti hivyo inatoka alafu Waziri wa Maliasili asiwe na taarifa? Kuna tatizo kubwa sana, au kaona watu wame react negatively, Waziri kageuza kibao.
 
Wana JF inabidi tuchange tumwandalie tuzo mwanzilishi wa hii forum. Ki ukweli anasaidia kui shape serikali ya hawa CCM .binafsi baada ya tangazo sikulala ikabidi nioandishe uzi usiku wa manane .long live JF ,long live Max Melo
Naunga mkono
Kamati ya mweka hazina [emoji870]
 
KWANZA waziri ujiuzulu, maana KWa kauli YAKO ni Kama unashangaa Iyo barua, na wakati hunasema umepiga marufuku kusafilisha wanyama nje, mpaka hapo mtakapo pata maelezo TOKA taasisi husika,

Swali,
Hiyo ni taasisi ipi inaweza chukua jukum la kutaka torosha au safirisha wanyama wa tz bila state kujua,wizara kujua, na kwamba unayo mamlaka makubwa na ipo juu ya state na wizara?

Kama sivyo tokana na swali hapo juu why washirika wasiwe wahujim uchumi wa taifa?

Sasa nasema watanzania sio wajinga, Kama mnataka kuamisha watanzania Ngorongoro kisa wanyama Hawa ambao wakati mwingine huudumiwa na watanzania husika mpaka kuwapa maji leo KWa mlango wa pili mnataka kuwasafilisha nje, iwe KWa siri au KWa uwazi ,laana na ikawe juu yenu, na mtapata mapigo saba, Bwana anawaonya acheni mchezo huu Mara moja, na biashara hii ikome Mara MOJA si ombi asema Bwana,imekua
 
Naona wamenza kumtengenezea zengwe ili ionekane ni kweli hiyo nafasi ina mpwaya. Juzi yule katibu mkuu alimkosoa na naskia aliona ni vyema ajiuzulu... Ngoja tuendelee kula kashata.
 
Watasafirishwa kimya kimya
Hata mimi nna mpango wa kusafirisha ngedere kwenda Kongo kwa kutumia baiskeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…