Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Tayari tumeshapigwa.Unaweza kuta tumeshauzwa kitambo tu sema bado hatuna taarifa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayari tumeshapigwa.Unaweza kuta tumeshauzwa kitambo tu sema bado hatuna taarifa.
Ndio maana tunataka katiba mpya haiwezekani mtu mmoja amekaa anasema wanyama wauzwe!hivi zile bilioni 7 za royaltour zilikuwa na malengo gani?Hao wazungu watakuja kufanya nini wakati hao wanyama mnauza kama chupi #kinana
Magu alishaanza kufungua mabucha ya nyama pori mikoani alianza na Dodoma.Kama wamezidi si wawachinje watuuzie hizo nyama mbona tutanunua
Swala wetu wenyewe lakini haturuhusiwi kula nyama zake ila watu arabuni wanakula kama kawa nchi ya kisengerema sana hiii.
Wakizidi chinjeni mtuuzie hata buku 20 kwa kilo tutanunua hata mara moja moja sio mbaya.
Acheni mambo ya kijinga kusafirisha wanyama hai.au kuuza nyama nje wakati wazawa hawajawahi kula hata hizo nyama.
Tatizo ni KUTOJUA sheria. Aliyepewa MAMLAKA ya kutoa leseni, kuweka ZUIO na kutengua ni MKURUGENZI WA WANYAMAPORI (Utalii) na si WAZIRI. Taasisi ya TAWA ndiyo imeanzishwa na sheria kusimamia UHIFADHI wa Wanyamapori. Tamko lao lina UHALALI kisheria. Kama kuna kosa basi liko kwenyeWaziri wa Maliasili na utalii Mh Pindi Chana amesema kuna tangazo limekuwa likizunguka kwenye mitandao kuhusu usafirishaji wa wanyamapori ambalo lilizua taharuki toka jana !
Hivyo kwakuwa yeye ni Waziri mwenye dhamana ya Maliasili na Utalii ametangaza kusitisha mara moja usafirishaji wa wanyamapori na Maliasili mpaka hapo atakapopata taarifa kamili na kutoa maamuzi!
Kwa maelezo yangu haya hakuna tena usafirishaji wa wanyama pori hao kama jinsi ambavyo tangazo hilo la jana limetolewa na hiyo taasisi" amesisitiza Balozi Pindi Chana
View attachment 2251487
Chanzo: EATV
N:B Ni wazi ndani ya serikali hakuna mawasiliano kabisa hivi inawezekanaje waziri wa maliasili na utalii asiwe na taarifa na tangazo kubwa na nyeti kama lile?
Ni kweli waziri hakuwa na taarifa la na tangazo lile? Ni kweli waziri hakuambiwa kuhusu tangazo?
Nataka kufahamu,ni nani alisaini awali marufuku ya kusafisha wanyama? Ni Rai? Au Waziri au ni Maamuzi ya Taasisi husika?Ni aibu juu ya aibu. Sio kila asali ni ya kulamba.
View attachment 2251543
Tatizo ni KUTOJUA sheria. Aliyepewa MAMLAKA ya kutoa leseni, kuweka ZUIO na kutengua ni MKURUGENZI WA WANYAMAPORI (Utalii) na si WAZIRI. Taasisi ya TAWA ndiyo imeanzishwa na sheria kusimamia UHIFADHI wa Wanyamapori. Tamko lao lina UHALALI kisheria. Kama kuna kosa basi liko kwenyeKama ni serikali ktk ministerial level ndio ilisitisha usafirishaji wa wanyama hai 2016 iweje 2022 mkurugenzi wa wanyama pori (idara) atoe kibali cha kusafirisha wanyama hao?
Pamoja na katazo nilitegemea liambatane na kukamatwa wote walio husika na tangazo la kuruhusu.
Mimi kwa kweli hakuna mnyama ananiumiza moyo wangu kama Twiga nikimuona anasafirishwa kwenda nje ya nchi yangu TZ. Huwa machozi yananitoka kabisa.
Mkuu NJAA haina ubaunsa..Nchi inauma sana hii basi tu,lkn ipo siku,huko nyuma tuliambiwa wapo madikteta uchwara,kumbe nimegundua kuwa ni vema kuwa na akiba ya maneno,kinachoendelea huwezi amini kama hawa akina Mbowe na lisu ndio wamegeuka walamba asali sasa sijui tuwaite wapinzani UCHWARA.Watanzania tuamke.
Nchi inauma sana hii basi tu,lkn ipo siku,huko nyuma tuliambiwa wapo madikteta uchwara,kumbe nimegundua kuwa ni vema kuwa na akiba ya maneno,kinachoendelea huwezi amini kama hawa akina Mbowe na lisu ndio wamegeuka walamba asali sasa sijui tuwaite wapinzani UCHWARA.Watanzania tuamke.
Naunga mkonoWana JF inabidi tuchange tumwandalie tuzo mwanzilishi wa hii forum. Ki ukweli anasaidia kui shape serikali ya hawa CCM .binafsi baada ya tangazo sikulala ikabidi nioandishe uzi usiku wa manane .long live JF ,long live Max Melo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787] akaenda mbugani?Halafu huyu dingi baada tu ya kula kiapo akaelekea huko kuona kama wapo wapo
KWANZA waziri ujiuzulu, maana KWa kauli YAKO ni Kama unashangaa Iyo barua, na wakati hunasema umepiga marufuku kusafilisha wanyama nje, mpaka hapo mtakapo pata maelezo TOKA taasisi husika,Waziri wa Maliasili na utalii Mh Pindi Chana amesema kuna tangazo limekuwa likizunguka kwenye mitandao kuhusu usafirishaji wa wanyamapori ambalo lilizua taharuki toka jana !
Hivyo kwakuwa yeye ni Waziri mwenye dhamana ya Maliasili na Utalii ametangaza kusitisha mara moja usafirishaji wa wanyamapori na Maliasili mpaka hapo atakapopata taarifa kamili na kutoa maamuzi!
Kwa maelezo yangu haya hakuna tena usafirishaji wa wanyama pori hao kama jinsi ambavyo tangazo hilo la jana limetolewa na hiyo taasisi" amesisitiza Balozi Pindi Chana
View attachment 2251487
Chanzo: EATV
N:B Ni wazi ndani ya serikali hakuna mawasiliano kabisa hivi inawezekanaje waziri wa maliasili na utalii asiwe na taarifa na tangazo kubwa na nyeti kama lile?
Ni kweli waziri hakuwa na taarifa la na tangazo lile? Ni kweli waziri hakuambiwa kuhusu tangazo?
Watasafirishwa kimya kimyaWaziri wa Maliasili na utalii Mh Pindi Chana amesema kuna tangazo limekuwa likizunguka kwenye mitandao kuhusu usafirishaji wa wanyamapori ambalo lilizua taharuki toka jana !