Hii ni salaam pia Kwa Lissu, Ha haaaa siku ya tareh 28 next month Tunamkoa kwenzi nzito Sana Lissu akaangukie ubelgiji 😀 , CCM hatupend dharau .....
Alaf juzi kaanguka baada ya kusikia kishindo cha JPM
Huyu Lisu anajifanya kuvaa kanzu na baragashia kila ijumaa alivyokuwa tapeli.Hii ni salaam pia Kwa Lissu, Ha haaaa siku ya tareh 28 next month Tunamkoa kwenzi nzito Sana Lissu akaangukie ubelgiji 😀 , CCM hatupend dharau .....
Alaf juzi kaanguka baada ya kusikia kishindo cha JPM
Usikwepeshe, walisema hawataki maendeleo ya vitu. Wakataja ndege,madaraja si mabarabara, majengo ya hospitali na sgr.Huo ni ujinga mkubwa sana; kwani Zitto alisema lini kwamba hatopanda ndege za Magufuli???!!, Anachosema Zitto na wapinzani wengine wa kisiasa ni kwamba manunuzi ya ndege yamegubikwa na usiri mkubwa, bunge halijui gharama ya hizo ndege...
Shida yenu ni moja tu, na hata hivyo siwashangai ninyi vijana wa Chadema, maana kawaida yenu ni kutaka kitu msichokijuaHuo ni ujinga mkubwa sana; kwani Zitto alisema lini kwamba hatopanda ndege za Magufuli???!!, Anachosema Zitto na wapinzani wengine wa kisiasa ni kwamba manunuzi ya ndege yamegubikwa na usiri mkubwa...
Apana ndugu, wamebeza ununuzi wa cash, wakitaka serekali ikope na kutoa riba, ili tupate hasara kubwa.Huo ni ujinga mkubwa sana; kwani Zitto alisema lini kwamba hatopanda ndege za Magufuli???!!, Anachosema Zitto na wapinzani wengine wa kisiasa ni kwamba manunuzi ya ndege yamegubikwa na usiri mkubwa, bunge halijui gharama ya hizo ndege, taratibu za manunuzi zipoje nk...
Acha kujitoa umbumbumbu!!
Na baada ya kusema hivyo wakasamehewa kulipa kodi ya aina yoyote ili pesa zao zisichangie kwenye maendeleo ya vitu. Wao na wanachama wa vyama vyao. Kweli hawana aibu.Usikwepeshe, walisema hawataki maendeleo ya vitu. Wakataja ndege,madaraja si mabarabara, majengo ya hospitali na sgr.
Walisema tunazidiwa hadi na rwanda inamiliki ndege, wamegeuka tena hawa jamaa hawajui wanachokitaka.Shida yenu ni moja tu, na hata hivyo siwashangai ninyi vijana wa Chadema, maana kawaida yenu ni kutaka kitu msichokijua
2015, Viongozi wenu walikuwa na nyimbo zao nzuri Sana, lakini leo mmeziruka zote,
Ni kina Nani waliokuwa wanasema, wanataka kiongozi mwenye udicteta?
Ni kinanani walisema, Wanataka Raisi asiyesafiri kwenda nje?
Ni kina Nani walisema, Tunataka Raisi mkali asiyechekacheka?
Yote hayo mmejifanya kuyakataa kana kwamba hamkusema ninyi
Kina Nani waliokuwa wanadharau nchi Kwa kuwa haina hata ndege moja?
Leo mnakataa tena, ninyi ni malofa na wapumbavu, huwa HAMJUI mnataka nini,
Ole wenu msiingize wabunge 5 bungeni? Tutawasahau kwamba kulikuwepo Chama cha hovyo kuwahi Kutokea Tanzania
Kwani hizo ndege mnanunulia kwa fedha zenu za mishahara? Ebu tutolee umbumbumbu huo.Leo wananchi wa Kigoma wameamua kumtolea uvivu Zitto Kabwe baada ya kuonyesha picha yake akishuka kwenye ndege aina ya bombardier mbele ya Rais Magufuli.
Picha hiyo ilibua shangwe uwanjani hapo na watu wengi walifurahi kwamba sasa unafiki wa ZitTo Kabwe na vibaraka wa mabeberu wenzake wameumbuka.!!
My take .
Ina maana Zito Kabwe amechokwa kiasi hiki na wana Kigoma kiasi cha kutwezwa utu wake mbele ya Rais Magufuli?? Pole sana Zitto na mwenzako Lissu mkae mkijua watanzania siyo wajinga, wanajua upi ni mchele na zipi ni pumba na tarehe 28 October mtanyolewa kwa wembe mkali sana.View attachment 1573768
Pia Magufuli hana ndege hapa Tanzania, ndege zoote zimenunuliwa na pesa za walipa kodi watanzania.Huo ni ujinga mkubwa sana; kwani Zitto alisema lini kwamba hatopanda ndege za Magufuli???!!, Anachosema Zitto na wapinzani wengine wa kisiasa ni kwamba manunuzi ya ndege yamegubikwa na usiri mkubwa, bunge halijui gharama ya hizo ndege, taratibu za manunuzi zipoje nk, kifupi nj kwamba manunuzi ya hizo ndege hayakufuata taratibu za zabuni nk, hivyo kuna harufu ya ufisadi mkubwa katika mchakato mzima wa manunuzi na ndiyo maana mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali haruhusiwa kukagua hesabu za hizo ndege, kifupi ni kwamba kuna harufu ya ufisadi mkubwa juu ya pesa ya umma kuhusu hayo manunuzi, yawezekana hata huyo mwananchi aliyebeba bango la picha ya Zitto hajui pesa ya umma ni kitu gani!!!.
Hiyo ndiyo elimu ya Watz ilivyo.