Elitwege
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 5,294
- 10,970
Leo wananchi wa Kigoma wameamua kumtolea uvivu Zitto Kabwe baada ya kuonyesha picha yake akishuka kwenye ndege aina ya bombardier mbele ya Rais Magufuli.
Picha hiyo ilibua shangwe uwanjani hapo na watu wengi walifurahi kwamba sasa unafiki wa Zitto Kabwe na vibaraka wa mabeberu wenzake wameumbuka.!!
My take .
Ina maana Zito Kabwe amechokwa kiasi hiki na wana Kigoma kiasi cha kutwezwa utu wake mbele ya Rais Magufuli? Pole sana Zitto na mwenzako Lissu mkae mkijua watanzania siyo wajinga, wanajua upi ni mchele na zipi ni pumba na tarehe 28 Oktoba mtanyolewa kwa wembe mkali sana.