Uchaguzi 2020 Pinga pinga wa ndege, Zitto Kabwe aumbuliwa na ndugu zake

Uchaguzi 2020 Pinga pinga wa ndege, Zitto Kabwe aumbuliwa na ndugu zake

Elitwege

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
5,294
Reaction score
10,970
Leo wananchi wa Kigoma wameamua kumtolea uvivu Zitto Kabwe baada ya kuonyesha picha yake akishuka kwenye ndege aina ya bombardier mbele ya Rais Magufuli.

Picha hiyo ilibua shangwe uwanjani hapo na watu wengi walifurahi kwamba sasa unafiki wa Zitto Kabwe na vibaraka wa mabeberu wenzake wameumbuka.!!

My take .

Ina maana Zito Kabwe amechokwa kiasi hiki na wana Kigoma kiasi cha kutwezwa utu wake mbele ya Rais Magufuli? Pole sana Zitto na mwenzako Lissu mkae mkijua watanzania siyo wajinga, wanajua upi ni mchele na zipi ni pumba na tarehe 28 Oktoba mtanyolewa kwa wembe mkali sana.

IMG_20200918_211214.jpg
 
Huo ni ujinga mkubwa sana; kwani Zitto alisema lini kwamba hatopanda ndege za Magufuli? Anachosema Zitto na wapinzani wengine wa kisiasa ni kwamba manunuzi ya ndege yamegubikwa na usiri mkubwa, bunge halijui gharama ya hizo ndege, taratibu za manunuzi zipoje nk, kifupi nj kwamba manunuzi ya hizo ndege hayakufuata taratibu za zabuni nk,

Hivyo kuna harufu ya ufisadi mkubwa katika mchakato mzima wa manunuzi na ndiyo maana mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali haruhusiwa kukagua hesabu za hizo ndege, kifupi ni kwamba kuna harufu ya ufisadi mkubwa juu ya pesa ya umma kuhusu hayo manunuzi, yawezekana hata huyo mwananchi aliyebeba bango la picha ya Zitto hajui pesa ya umma ni kitu gani!

Hiyo ndiyo elimu ya Watz ilivyo.
 
Huo ni ujinga mkubwa sana; kwani Zitto alisema lini kwamba hatopanda ndege za Magufuli???!!, Anachosema Zitto na wapinzani wengine wa kisiasa ni kwamba manunuzi ya ndege yamegubikwa na usiri mkubwa, bunge halijui gharama ya hizo ndege...
Usikwepeshe, walisema hawataki maendeleo ya vitu. Wakataja ndege,madaraja si mabarabara, majengo ya hospitali na sgr.
 
Huo ni ujinga mkubwa sana; kwani Zitto alisema lini kwamba hatopanda ndege za Magufuli???!!, Anachosema Zitto na wapinzani wengine wa kisiasa ni kwamba manunuzi ya ndege yamegubikwa na usiri mkubwa...
Shida yenu ni moja tu, na hata hivyo siwashangai ninyi vijana wa Chadema, maana kawaida yenu ni kutaka kitu msichokijua

2015, Viongozi wenu walikuwa na nyimbo zao nzuri Sana bungeni, lakini leo mnaziruka tena,
Ni kina Nani waliokuwa wanasema, wanataka kiongozi mwenye udicteta?
Ni kinanani walisema, Wanataka Raisi asiyesafirisafiri kwenda nje?
Ni kina Nani walisema, Tunataka Raisi mkali asiyechekacheka?

Yote hayo mmejifanya hamyakumbuki, kana kwamba hamkusema ninyi

Kina Nani waliokuwa wanadharau nchi Kwa kukosa ndege hata moja? Eti nchi inazidiwa na Rwanda, Ka nchi kadoogo kanatuzidi?

Leo mnakataa tena? Waghosha!!
Ninyi ni malofa na wapumbavu, huwa HAMJUI mnataka nini,

Chama chenu ni cha hovyo Sana na watu wenu wote ni walaghai na makanjanja
 
Huo ni ujinga mkubwa sana; kwani Zitto alisema lini kwamba hatopanda ndege za Magufuli???!!, Anachosema Zitto na wapinzani wengine wa kisiasa ni kwamba manunuzi ya ndege yamegubikwa na usiri mkubwa, bunge halijui gharama ya hizo ndege, taratibu za manunuzi zipoje nk...
Apana ndugu, wamebeza ununuzi wa cash, wakitaka serekali ikope na kutoa riba, ili tupate hasara kubwa.

Pia walibeza kuwa watu hawataweza kuzipanda
 
Usikwepeshe, walisema hawataki maendeleo ya vitu. Wakataja ndege,madaraja si mabarabara, majengo ya hospitali na sgr.
Na baada ya kusema hivyo wakasamehewa kulipa kodi ya aina yoyote ili pesa zao zisichangie kwenye maendeleo ya vitu. Wao na wanachama wa vyama vyao. Kweli hawana aibu.

Amandla ....
 
Shida yenu ni moja tu, na hata hivyo siwashangai ninyi vijana wa Chadema, maana kawaida yenu ni kutaka kitu msichokijua

2015, Viongozi wenu walikuwa na nyimbo zao nzuri Sana, lakini leo mmeziruka zote,
Ni kina Nani waliokuwa wanasema, wanataka kiongozi mwenye udicteta?
Ni kinanani walisema, Wanataka Raisi asiyesafiri kwenda nje?
Ni kina Nani walisema, Tunataka Raisi mkali asiyechekacheka?

Yote hayo mmejifanya kuyakataa kana kwamba hamkusema ninyi

Kina Nani waliokuwa wanadharau nchi Kwa kuwa haina hata ndege moja?

Leo mnakataa tena, ninyi ni malofa na wapumbavu, huwa HAMJUI mnataka nini,

Ole wenu msiingize wabunge 5 bungeni? Tutawasahau kwamba kulikuwepo Chama cha hovyo kuwahi Kutokea Tanzania
Walisema tunazidiwa hadi na rwanda inamiliki ndege, wamegeuka tena hawa jamaa hawajui wanachokitaka.
 
Leo wananchi wa Kigoma wameamua kumtolea uvivu Zitto Kabwe baada ya kuonyesha picha yake akishuka kwenye ndege aina ya bombardier mbele ya Rais Magufuli.

Picha hiyo ilibua shangwe uwanjani hapo na watu wengi walifurahi kwamba sasa unafiki wa ZitTo Kabwe na vibaraka wa mabeberu wenzake wameumbuka.!!

My take .

Ina maana Zito Kabwe amechokwa kiasi hiki na wana Kigoma kiasi cha kutwezwa utu wake mbele ya Rais Magufuli?? Pole sana Zitto na mwenzako Lissu mkae mkijua watanzania siyo wajinga, wanajua upi ni mchele na zipi ni pumba na tarehe 28 October mtanyolewa kwa wembe mkali sana.View attachment 1573768
Kwani hizo ndege mnanunulia kwa fedha zenu za mishahara? Ebu tutolee umbumbumbu huo.

Ndege zinanunuliwa kwa fedha za walipa kodi wakiwemo na wapinzani ikiwa ni pamoja na mh Zitto Kabwe.

Wacheni kuwa na akili za majisifu siku zote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ni ujinga mkubwa sana; kwani Zitto alisema lini kwamba hatopanda ndege za Magufuli???!!, Anachosema Zitto na wapinzani wengine wa kisiasa ni kwamba manunuzi ya ndege yamegubikwa na usiri mkubwa, bunge halijui gharama ya hizo ndege, taratibu za manunuzi zipoje nk, kifupi nj kwamba manunuzi ya hizo ndege hayakufuata taratibu za zabuni nk, hivyo kuna harufu ya ufisadi mkubwa katika mchakato mzima wa manunuzi na ndiyo maana mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali haruhusiwa kukagua hesabu za hizo ndege, kifupi ni kwamba kuna harufu ya ufisadi mkubwa juu ya pesa ya umma kuhusu hayo manunuzi, yawezekana hata huyo mwananchi aliyebeba bango la picha ya Zitto hajui pesa ya umma ni kitu gani!!!.

Hiyo ndiyo elimu ya Watz ilivyo.
Pia Magufuli hana ndege hapa Tanzania, ndege zoote zimenunuliwa na pesa za walipa kodi watanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom