Valuhwanoswela
JF-Expert Member
- Jun 27, 2019
- 1,229
- 1,125
Kweli wewe ndo mjinga wa wajinga wote wa huko CCM eti aulizwe mtu aliyeuza mali aliyeko maili maelfu asiulizwe aliyenunua kwa niaba yangu na kwa fedha yangu ninayemwona anapiga push-up kunionyesha yuko fit nimchague tena. Kama hana cha kuficha kwa nini asiniambie amenunua bei gani hata kama sikumruhusu anunue mali yenyewe? Mfanya biashara mzuri huficha siri za wateja wake hata wapiga dili.Kampuni ya Airbus huijui? Si ukawaulize hizo ndege wanauza shs ngapi?
Kweli hapo ufipa hata kuingia kwenye mtandao hamuwezi mpaka msubiri Magufuli awaambie?
Hoja kuu ya zito ni"HATUNAHAJA YA KUNUNUA NDEGE...."
..huyo aliyeshika bango yeye amewahi kupanda ndege?
..kwenye ndege ccm mnalazimisha tu, lakini hazina faida kwa mwananchi wa kawaida.
kwahio kumbe ndege zna umuhimu basi mtulie sasa wakati wanaongeza zngine 5 mpya
Cheap argument.Leo wananchi wa Kigoma wameamua kumtolea uvivu Zitto Kabwe baada ya kuonyesha picha yake akishuka kwenye ndege aina ya bombardier mbele ya Rais Magufuli.
Picha hiyo ilibua shangwe uwanjani hapo na watu wengi walifurahi kwamba sasa unafiki wa ZitTo Kabwe na vibaraka wa mabeberu wenzake wameumbuka.!!
My take .
Ina maana Zito Kabwe amechokwa kiasi hiki na wana Kigoma kiasi cha kutwezwa utu wake mbele ya Rais Magufuli?? Pole sana Zitto na mwenzako Lissu mkae mkijua watanzania siyo wajinga, wanajua upi ni mchele na zipi ni pumba na tarehe 28 October mtanyolewa kwa wembe mkali sana.View attachment 1573768
Kwani ela ya kununulia hizo ndege ni ya nani??-- ni ela ya kila mtz akiwemo Zitto, tunasema hivi; manunuzi ya ndege hizo ni ya kifisadi na untimely, kwanini mtulaumu tunapohoji juu ya pesa na mali zetu za umma???.
Tunataka CAG akague mapato ya hizo ndege hivi sasa ili tujue kuna hasara kiasi gani, hasara ipo ila ni kiasi gani?? tunataka tujue.
Ukimsikiliza Zitto inabidi uwe ndotoni,Kwanza alibeza Bombardier kuwa na Pangaboy ukihiyio wake hakujua kuwa ndege hizo zina gas turbine engine na uwepo wa pangaboy ni matumizi mazuri ya mafuta na ufanisi mkubwa wa engine zake. Hakujua kuwa aina ya ndege hiyo ni hot cake kwa makampuni kama Lufthansa yenye Bombardier zaidi ya 50.Huo ni ujinga mkubwa sana; kwani Zitto alisema lini kwamba hatopanda ndege za Magufuli? Anachosema Zitto na wapinzani wengine wa kisiasa ni kwamba manunuzi ya ndege yamegubikwa na usiri mkubwa, bunge halijui gharama ya hizo ndege, taratibu za manunuzi zipoje nk, kifupi nj kwamba manunuzi ya hizo ndege hayakufuata taratibu za zabuni nk,
Hivyo kuna harufu ya ufisadi mkubwa katika mchakato mzima wa manunuzi na ndiyo maana mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali haruhusiwa kukagua hesabu za hizo ndege, kifupi ni kwamba kuna harufu ya ufisadi mkubwa juu ya pesa ya umma kuhusu hayo manunuzi, yawezekana hata huyo mwananchi aliyebeba bango la picha ya Zitto hajui pesa ya umma ni kitu gani!
Hiyo ndiyo elimu ya Watz ilivyo.
Unavyosema sawa nimekupata kabisa. Ila inavyoonekana unamzungumzia aliyetamka hayo maneno. Yeye kamaanisha hivyo. Na anawaambia wananchi kabisa mnaona sijafanya hiki?! Sababu mmeniwekea wapinzani. Sasa yeye kayasema hayo halafu wewe unakuja hapa unayalainisha maneno na vitendo vyake.Hata unavyoweza kupost ulichopost hapa ni demokrasia
Wewe chagua unaemwona anakufaa, kura zake zikitosha atapita halafu uone kama utanyimwa barabara, maji, umeme au ukienda hospitali hutotibiwa
Kwani mbona unajitisha sana😂😂😂
Watu wengi huwa wanaelewa kile wanachokiwaza wao.Unavyosema sawa nimekupata kabisa. Ila inavyoonekana unamzungumzia aliyetamka hayo maneno. Yeye kamaanisha hivyo. Na anawaambia wananchi kabisa mnaona sijafanya hiki?! Sababu mmeniwekea wapinzani. Sasa yeye kayasema hayo halafu wewe unakuja hapa unayalainisha maneno na vitendo vyake.
Democracia lazima iwe total democracy. Sio eti naandika hapa democracy lkn kwingine kusiwe na democracy.
Mimi sitishwi ila wananchi wanatishwa. Haifai hata kidogo.
Kwanza wewe mwanamke mnadhalilishwaga mnaishia kuinamisha vichwa tu. Hii ya kudhalilishwa nyie I won't go into details wewe ni mfuatiliaji wa hizi mambo nadhani umeshaona matukio kadhaa. Kalaga baho
Aisee hii video inaonyesha jinsi gani hawa jamaa ni walaghai; walimkubali mchana sasa wanamkataa mchana. Hawaaminiki hata kidogo. Unajua mtu anayekudanganya anadhani wewe ni mjinga hutatambua uongo wake. Watutake radhi Watanzania. Hatudanganyiki.
Wanaoteseka ni hao hapo 👇
View attachment 1573843
na wafuasi wao
Mkuu hata sikuelewi kabisa japo nikisema hivyoawewe utajiona kichwa sana.Huo ni uongo mkubwa sana unaowazulia akina zitto, wao wanataka "KWANZA" maendeleo ya WATU halafu ndipo maendeleo ya vitu.
Wao na hata mimi na hata baba wa taifa tunataka kwanza maendeleo ya watu ndipo maendeleo ya vitu, maendeleo ya watu ni kama:- Uhuru na haki zao, Afya (huduma za afya bora, madaktari, vifaa tiba, madawa nk ), maji safi ya kunywya nk, lishe bora, watu waweze kujijengea makazi bora nk, mzunguko mzuri wa pesa, mazingira bora ya kufanya biashara, kilimo ufugaji nk, (kuondoa kodi gandamizi), wafanyakazi wa serikali wapewe haki zao zilizopo kisheria nk, uhuru wa watu kupata habari na kutoa habari kuhusu nchi yao, usalama wa watu na mali zao, wananchi wapewe nafasi kuchangia katika uchumi wa nchi na kuepukana na uchumi dola nk,--- hiyo ni baadhi ya maendeleo ya watu kwanza baadaye ndipo maendeleo ya vitu yaje.
Ukimsikiliza Zitto inabidi uwe ndotoni,Kwanza alibeza Bombardier kuwa na Pangaboy ukihiyio wake hakujua kuwa ndege hizo zina gas turbine engine na uwepo wa pangaboy ni matumizi mazuri ya mafuta na ufanisi mkubwa wa engine zake. Hakujua kuwa aina ya ndege hiyo ni hot cake kwa makampuni kama Lufthansa yenye Bombardier zaidi ya 50.
Baadae kaja ohhh ndege za Dream Liner ni kukuu ,huku akijua hana a,b,c ya elimu ya ndege.Baadae Boeing walipomtishia kumchukulia hatua za kinidhamu kwa kupotosha ukweli alifyata mkia hadi leo.
Tukija kwa gharama kununua ndege by cash,kuwa pesa ililipwa direct kwa mtengenezaji na serikali ya Magufuli bila interest wala cha juu kama alivyokuwa amezoea inamuuma hadi leo.Lakini kama mbunge akitaka report ya manunuzi ya ndege hizo hawezi kunyimwa.
Huyo Zitto ni mawenge tu katika kashfa ya ESCROW alizoea kuchukuwa pesa IPTL kama blackmail hadi Singh alipochoka kulipa ndio Zitto akaivujisha kwa mbunge mwenzake,na ushahidi huo ulitolewa na Kibajaji bungeni.
Zito Kabwe angepanda nini?
Mkuu hata sikuelewi kabisa japo nikisema hivyoawewe utajiona kichwa sana.
Kwa hiyo unazani hayo watapate bila kuwa na miundo mbinu mizuri ya usafirishaji, hospitali zimejengwa nyingi unataka upeleke madaktari bila kuwa na majengo.
Mkuu hata uumbaji ulianza na vitu vingine baadae binadamu akawa wa mwisho. Tunataka umeme wakutosha je mitambo mipya isipo jengwa mkuu tutarudi kwenye mgawao tu.
Kwa hiyo mwananchi wa kawaida kupata faida ya ndege za umma ni mpaka azipande?
Je zinapoingiza mapato kwa taifa na zikajengwa hospital hanufaiki? Hivi Mbowe anafuga watu gani! Mbona wakati wa Slaa kulikuwa hamna watu kama wa namna hii
Cc tindo
Leo wananchi wa Kigoma wameamua kumtolea uvivu Zitto Kabwe baada ya kuonyesha picha yake akishuka kwenye ndege aina ya bombardier mbele ya Rais Magufuli.
Picha hiyo ilibua shangwe uwanjani hapo na watu wengi walifurahi kwamba sasa unafiki wa ZitTo Kabwe na vibaraka wa mabeberu wenzake wameumbuka.!!
My take .
Ina maana Zito Kabwe amechokwa kiasi hiki na wana Kigoma kiasi cha kutwezwa utu wake mbele ya Rais Magufuli?? Pole sana Zitto na mwenzako Lissu mkae mkijua watanzania siyo wajinga, wanajua upi ni mchele na zipi ni pumba na tarehe 28 October mtanyolewa kwa wembe mkali sana.View attachment 1573768