Uchaguzi 2020 Pinga pinga wa ndege, Zitto Kabwe aumbuliwa na ndugu zake

Uchaguzi 2020 Pinga pinga wa ndege, Zitto Kabwe aumbuliwa na ndugu zake

Kampuni ya Airbus huijui? Si ukawaulize hizo ndege wanauza shs ngapi?

Kweli hapo ufipa hata kuingia kwenye mtandao hamuwezi mpaka msubiri Magufuli awaambie?
Kweli wewe ndo mjinga wa wajinga wote wa huko CCM eti aulizwe mtu aliyeuza mali aliyeko maili maelfu asiulizwe aliyenunua kwa niaba yangu na kwa fedha yangu ninayemwona anapiga push-up kunionyesha yuko fit nimchague tena. Kama hana cha kuficha kwa nini asiniambie amenunua bei gani hata kama sikumruhusu anunue mali yenyewe? Mfanya biashara mzuri huficha siri za wateja wake hata wapiga dili.
 
Kwani huyo zitto ndo anawakilisha hali halisi ya watanzania wanyonge ambao hata hawafikirii kupanda ndege.
 
Hoja kuu ya zito ni"HATUNAHAJA YA KUNUNUA NDEGE...."

Tumenunua ndege kwasababu Rwanda wamenunua ndege, hii ni sawa na jirani yako awe na gari na wewe ununue gari kumringishia jirani,🤣🤣-- what a ridiculous thing!!!. Licha ya manunuzi ya ndege kugubikwa na ufisadi bado hakukuwa na haja ya hizo ndege zisizoleta faida kwa nchi bali majivuno ya: "nasisi tunazo ndege" 🤣🤣
 
..huyo aliyeshika bango yeye amewahi kupanda ndege?

..kwenye ndege ccm mnalazimisha tu, lakini hazina faida kwa mwananchi wa kawaida.

Ni kweli huyo mwananchi kabebeshwa tu Hilo bango.
Haelewi hata limechapishwa na nani.

CCM wameondoa ushindani kwenye biashara ya anga ili kujihakikishia utawala wa soko.
 
kwahio kumbe ndege zna umuhimu basi mtulie sasa wakati wanaongeza zngine 5 mpya

Kwani ela ya kununulia hizo ndege ni ya nani??-- ni ela ya kila mtz akiwemo Zitto, tunasema hivi; manunuzi ya ndege hizo ni ya kifisadi na untimely, kwanini mtulaumu tunapohoji juu ya pesa na mali zetu za umma???.

Tunataka CAG akague mapato ya hizo ndege hivi sasa ili tujue kuna hasara kiasi gani, hasara ipo ila ni kiasi gani?? tunataka tujue.
 
Leo wananchi wa Kigoma wameamua kumtolea uvivu Zitto Kabwe baada ya kuonyesha picha yake akishuka kwenye ndege aina ya bombardier mbele ya Rais Magufuli.

Picha hiyo ilibua shangwe uwanjani hapo na watu wengi walifurahi kwamba sasa unafiki wa ZitTo Kabwe na vibaraka wa mabeberu wenzake wameumbuka.!!

My take .

Ina maana Zito Kabwe amechokwa kiasi hiki na wana Kigoma kiasi cha kutwezwa utu wake mbele ya Rais Magufuli?? Pole sana Zitto na mwenzako Lissu mkae mkijua watanzania siyo wajinga, wanajua upi ni mchele na zipi ni pumba na tarehe 28 October mtanyolewa kwa wembe mkali sana.View attachment 1573768
Cheap argument.
 
1600506828110.png

hapo vp
 
Huo ni ujinga mkubwa sana; kwani Zitto alisema lini kwamba hatopanda ndege za Magufuli? Anachosema Zitto na wapinzani wengine wa kisiasa ni kwamba manunuzi ya ndege yamegubikwa na usiri mkubwa, bunge halijui gharama ya hizo ndege, taratibu za manunuzi zipoje nk, kifupi nj kwamba manunuzi ya hizo ndege hayakufuata taratibu za zabuni nk,

Hivyo kuna harufu ya ufisadi mkubwa katika mchakato mzima wa manunuzi na ndiyo maana mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali haruhusiwa kukagua hesabu za hizo ndege, kifupi ni kwamba kuna harufu ya ufisadi mkubwa juu ya pesa ya umma kuhusu hayo manunuzi, yawezekana hata huyo mwananchi aliyebeba bango la picha ya Zitto hajui pesa ya umma ni kitu gani!

Hiyo ndiyo elimu ya Watz ilivyo.
Ukimsikiliza Zitto inabidi uwe ndotoni,Kwanza alibeza Bombardier kuwa na Pangaboy ukihiyio wake hakujua kuwa ndege hizo zina gas turbine engine na uwepo wa pangaboy ni matumizi mazuri ya mafuta na ufanisi mkubwa wa engine zake. Hakujua kuwa aina ya ndege hiyo ni hot cake kwa makampuni kama Lufthansa yenye Bombardier zaidi ya 50.
Baadae kaja ohhh ndege za Dream Liner ni kukuu ,huku akijua hana a,b,c ya elimu ya ndege.Baadae Boeing walipomtishia kumchukulia hatua za kinidhamu kwa kupotosha ukweli alifyata mkia hadi leo.
Tukija kwa gharama kununua ndege by cash,kuwa pesa ililipwa direct kwa mtengenezaji na serikali ya Magufuli bila interest wala cha juu kama alivyokuwa amezoea inamuuma hadi leo.Lakini kama mbunge akitaka report ya manunuzi ya ndege hizo hawezi kunyimwa.
Huyo Zitto ni mawenge tu katika kashfa ya ESCROW alizoea kuchukuwa pesa IPTL kama blackmail hadi Singh alipochoka kulipa ndio Zitto akaivujisha kwa mbunge mwenzake,na ushahidi huo ulitolewa na Kibajaji bungeni.
 
Hata unavyoweza kupost ulichopost hapa ni demokrasia

Wewe chagua unaemwona anakufaa, kura zake zikitosha atapita halafu uone kama utanyimwa barabara, maji, umeme au ukienda hospitali hutotibiwa

Kwani mbona unajitisha sana😂😂😂
Unavyosema sawa nimekupata kabisa. Ila inavyoonekana unamzungumzia aliyetamka hayo maneno. Yeye kamaanisha hivyo. Na anawaambia wananchi kabisa mnaona sijafanya hiki?! Sababu mmeniwekea wapinzani. Sasa yeye kayasema hayo halafu wewe unakuja hapa unayalainisha maneno na vitendo vyake.
Democracia lazima iwe total democracy. Sio eti naandika hapa democracy lkn kwingine kusiwe na democracy.
Mimi sitishwi ila wananchi wanatishwa. Haifai hata kidogo.
Kwanza wewe mwanamke mnadhalilishwaga mnaishia kuinamisha vichwa tu. Hii ya kudhalilishwa nyie I won't go into details wewe ni mfuatiliaji wa hizi mambo nadhani umeshaona matukio kadhaa. Kalaga baho
 
Watu wengi huwa wanaelewa kile wanachokiwaza wao.

Wewe ulitegemea awaambie muwachague wapinzani wake?

Halafu wakishachaguliwa na kufika bungeni kazi iwe ileile kusisia na kutoka nje ya bunge badala ya kuwasilisha mahitaji ya wananchi wao? Halafu wananchi wasubiri rais akipita ndio wamdai maendeleo ambayo wawakilishi wao walitakiwa kuyafanyia kazi?

Rais anafanya kadri ya mtazamo wake kwa ngazi ya taifa, vile vilivyo mitaani wawakilishi wanatakiwa kuvijumuisha na kuwakilisha ili vifanyiwe kazi. Na ndio maana hata viongozi wa upinzani wanamshukuru kwamba hana ubaguzi, wacheck viongozi wako hapo chini👇

Hilo la kudhalilisha wanawake mnalifanya nyie kwa tafsiri zenu wanaotaka na sio rais Magufuli ambae makamu wake ni mwanamke.
Ifike mahala tutofautishe siasa za kistaarabu na ujanjaujanja wa kutaka madaraka
 
Aisee hii video inaonyesha jinsi gani hawa jamaa ni walaghai; walimkubali mchana sasa wanamkataa mchana. Hawaaminiki hata kidogo. Unajua mtu anayekudanganya anadhani wewe ni mjinga hutatambua uongo wake. Watutake radhi Watanzania. Hatudanganyiki.
Wanaoteseka ni hao hapo 👇
View attachment 1573843
na wafuasi wao
 
Huo ni uongo mkubwa sana unaowazulia akina zitto, wao wanataka "KWANZA" maendeleo ya WATU halafu ndipo maendeleo ya vitu.

Wao na hata mimi na hata baba wa taifa tunataka kwanza maendeleo ya watu ndipo maendeleo ya vitu, maendeleo ya watu ni kama:- Uhuru na haki zao, Afya (huduma za afya bora, madaktari, vifaa tiba, madawa nk ), maji safi ya kunywya nk, lishe bora, watu waweze kujijengea makazi bora nk, mzunguko mzuri wa pesa, mazingira bora ya kufanya biashara, kilimo ufugaji nk, (kuondoa kodi gandamizi), wafanyakazi wa serikali wapewe haki zao zilizopo kisheria nk, uhuru wa watu kupata habari na kutoa habari kuhusu nchi yao, usalama wa watu na mali zao, wananchi wapewe nafasi kuchangia katika uchumi wa nchi na kuepukana na uchumi dola nk,--- hiyo ni baadhi ya maendeleo ya watu kwanza baadaye ndipo maendeleo ya vitu yaje.
Mkuu hata sikuelewi kabisa japo nikisema hivyoawewe utajiona kichwa sana.
Kwa hiyo unazani hayo watapate bila kuwa na miundo mbinu mizuri ya usafirishaji, hospitali zimejengwa nyingi unataka upeleke madaktari bila kuwa na majengo.
Mkuu hata uumbaji ulianza na vitu vingine baadae binadamu akawa wa mwisho. Tunataka umeme wakutosha je mitambo mipya isipo jengwa mkuu tutarudi kwenye mgawao tu.
 
Ukimsikiliza Zitto inabidi uwe ndotoni,Kwanza alibeza Bombardier kuwa na Pangaboy ukihiyio wake hakujua kuwa ndege hizo zina gas turbine engine na uwepo wa pangaboy ni matumizi mazuri ya mafuta na ufanisi mkubwa wa engine zake. Hakujua kuwa aina ya ndege hiyo ni hot cake kwa makampuni kama Lufthansa yenye Bombardier zaidi ya 50.
Baadae kaja ohhh ndege za Dream Liner ni kukuu ,huku akijua hana a,b,c ya elimu ya ndege.Baadae Boeing walipomtishia kumchukulia hatua za kinidhamu kwa kupotosha ukweli alifyata mkia hadi leo.
Tukija kwa gharama kununua ndege by cash,kuwa pesa ililipwa direct kwa mtengenezaji na serikali ya Magufuli bila interest wala cha juu kama alivyokuwa amezoea inamuuma hadi leo.Lakini kama mbunge akitaka report ya manunuzi ya ndege hizo hawezi kunyimwa.
Huyo Zitto ni mawenge tu katika kashfa ya ESCROW alizoea kuchukuwa pesa IPTL kama blackmail hadi Singh alipochoka kulipa ndio Zitto akaivujisha kwa mbunge mwenzake,na ushahidi huo ulitolewa na Kibajaji bungeni.

Sijui umeandika ukiwa usingizini????
 
Zito Kabwe angepanda nini?

Tungependa kuona, je kuna ulazima wakati huu tununue ndege au tujenge barabara itakayotumiwa na mamilioni ya watanzania, na kama itakuwa ni lazima kununua ndege basi taratibu zote za procurement nk, zifuatwe na kuwe na uwazi kuliko ilivyokuwa hivi sasa. Na ukaguzi wa faida au hasara ufanywe tujue maendeleo ya hiyo biashara.
 
Mkuu hata sikuelewi kabisa japo nikisema hivyoawewe utajiona kichwa sana.
Kwa hiyo unazani hayo watapate bila kuwa na miundo mbinu mizuri ya usafirishaji, hospitali zimejengwa nyingi unataka upeleke madaktari bila kuwa na majengo.
Mkuu hata uumbaji ulianza na vitu vingine baadae binadamu akawa wa mwisho. Tunataka umeme wakutosha je mitambo mipya isipo jengwa mkuu tutarudi kwenye mgawao tu.

Umeelewa ninaposema maendeleo ya watu na vitu???, maendeleo ya watu ni yale yanayohusu watu wengi kwa ujumla,

---Ni watz wangapi wenye uwezo wa kupanda ndege??

--- Ni watz wangapi fly overs za dar zitawaondolea njaa yao ya kila siku??

Kwa umeme wa stiegler hapo sipingi jambo, Magu yupo sahihi kwani umeme huo utawasaidia watz wengi sana, hayo ndiyo maendeleo ya watu, ila kwenye ndege mmebugi.
 
Kwa hiyo mwananchi wa kawaida kupata faida ya ndege za umma ni mpaka azipande?

Je zinapoingiza mapato kwa taifa na zikajengwa hospital hanufaiki? Hivi Mbowe anafuga watu gani! Mbona wakati wa Slaa kulikuwa hamna watu kama wa namna hii
Cc tindo

..shirika la ndege linaendeshwa kwa hasara, kwa hiyo wananchi wa kawaida hatunufaiki.
 
Leo wananchi wa Kigoma wameamua kumtolea uvivu Zitto Kabwe baada ya kuonyesha picha yake akishuka kwenye ndege aina ya bombardier mbele ya Rais Magufuli.

Picha hiyo ilibua shangwe uwanjani hapo na watu wengi walifurahi kwamba sasa unafiki wa ZitTo Kabwe na vibaraka wa mabeberu wenzake wameumbuka.!!

My take .

Ina maana Zito Kabwe amechokwa kiasi hiki na wana Kigoma kiasi cha kutwezwa utu wake mbele ya Rais Magufuli?? Pole sana Zitto na mwenzako Lissu mkae mkijua watanzania siyo wajinga, wanajua upi ni mchele na zipi ni pumba na tarehe 28 October mtanyolewa kwa wembe mkali sana.View attachment 1573768

Hizo picha zimeandaliwa na ccm.
Nijualo mimi, zitto hapinga
kununuliwa kwa ndege, pia hakupinga
watu wasipande ndege, wala hakupinga
kuwa hata panda hizo ndege.

Akichopinga ni utaratibu wa kununua hizo ndege, gharama za kununua hizo ndege na pia kuwa hizo ndege si mpya bali ni mutumba.
 
Back
Top Bottom