Pishi la usiku wa manane: Nimepata hamu ya kitumbua kilichojaa mafuta

Sijalala napiga hesabu za wiki nzima.
Halafu kuna kibaka ananipanga kwenye simu ananiletea kuchi kuchi hotae mwana hip hop hata hatuelewani ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Anasema basi nijitahidi kuwa na haiba kama mwanamke kwanini namjibu dry ๐Ÿ˜น๐Ÿšฎ
 
Bado hajasema huyo, labda ajaribu kukutunishia pochi aone kama utasoftika ๐Ÿ˜…
 
Anajichosha, nikikumbuka MO29 nyege zote zinakataโ€ฆ!!
Mtu akiniletea story za mapenzi namuona km punguani.

Huyo shem wako nimempa kibuti sitaki hata kumuona. Na hivi mbogamboga ndo ananitia hasira km nimtapike..!! ๐Ÿคฎ๐Ÿšฎ
 
Ila MO29 kweli ilikujeruhi, sasa tufanyaje urudi kua sawa, hata ukimuona mkaka mzuri kama yule mjeda atleast kitumbua kishtuke kidogo.
Huyo shem wako nimempa kibuti sitaki hata kumuona. Na hivi mbogamboga ndo ananitia hasira km nimtapike..!! ๐Ÿคฎ๐Ÿšฎ
Kama ni mbogamboga anastahili kibuti ๐Ÿšฎ, ila ukijipatia limzee kama ERoni linajitambua na liko romantic, nahisi utakaa sawa tu!
 
Anajichosha, nikikumbuka MO29 nyege zote zinakataโ€ฆ!!
Mtu akiniletea story za mapenzi namuona km punguani.

Huyo shem wako nimempa kibuti sitaki hata kumuona. Na hivi mbogamboga ndo ananitia hasira km nimtapike..!! ๐Ÿคฎ๐Ÿšฎ
Mkuu usitumie mbinu za ukali 'kupiga kibuti' mtu, tumia siasa.

Mi shapigwa kibuti cha kisomi hadi nikakodi gari la kumbebea mizigo mtu kwa gharama zangu, kumbe nd'o nabwagwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ