Pisi zipo nyingi sana mtaani tafuta Moja ya uhakika tulia

Pisi zipo nyingi sana mtaani tafuta Moja ya uhakika tulia

DR SANTOS

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2019
Posts
12,846
Reaction score
28,106
Yaani wanawake wapo wengi sana Kila Kona unakunana na mwanamke Tena sio mwanamke tu Bali ni mwanamke mrembo.

Kwanini utembee na mke wa mtu?
Yaani hakuna maumivu makali kama kuchapiwa mke wako amini hili.

Trauma anayoipata mwanaume kisaikolojia ni mara mia apigwe risasi ya trako.

Mkesha wa mwaka mpya Kuna mwamba hapa kitaaa alimfumania mke wake akiwa na dereva bodaboda ambae walikua wakimwagiza mizigo yote ya nyumbani😬🚮

Leo hatunae Tena baada ya jamaa kuamua kujiua huku akiacha meseji inayomtuhumu mke wake na bodaboda Kwa mauwaji, mke wake na boda boda wanashikiliwa na jeshi la polisi

Inauma sana ni kama kumfungulia mkeo duka afu analiwa na wateja.

R.I.P mwamba
 
hata hao mademu wengine ni wake/wachumba za wanaume wanaoishi uchumba suguuu. Kile kitendo tu hata ka ni mara moja kinaamsha mwendelezo hata ka ni wa kimya kimyaaa

Hakuna koloni/adhi isiyo na mmiliki, issue tu ni kutokufanya maamuzi ya urasimishajiii
 
Back
Top Bottom