Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

Tekea= take care
Shokomzoba= shock absorber
Pedeli= pedal
 
Kwa wale Wanaotumia magari

Saidimira badala ya Sight Mirror....

Rejeta badala ya Radiator...

Eksosi badala ya Exhaust

Spare tyre badala ya Reserve tyre...

Speed Meter badala ya Speed Gauge...

Dabokibini badala ya Double Cabin...
Kama hujielewi vile nadhani. Maana kuna English UK na English USA so wewe unaona kama ni makosa vile but sio Makosa kama uandikaji wako huo jirekebishe Kutamka Saidi sidhani watu hutamka Side(Said)Mirror(Mira) sio Makosa kivile yeyote anayeongea English huwezi kumfanya ashindwe kuelewa. Sight Mirror ni Kioo cha Kuonyesha upeo furani ambapo katika Gari ni kile cha Kati kati so inaonesha kiasi huelewi na humu jf utajifunza kutokana na makosa yako.

Spare Tyre na Reserve Tyre ni sawa hakuna kosa hapo
Speed Meter hamna kosa
Eksosi ambayo ni Exhaust utamkaji wako ndio sio lakini ndio tatizo ila mwishoni lazima umalizie na st hivyo unaweza andika Eksost.
Rejeta utamkaji tu ila ukitamka Radieta ni sawa
 
Yes nadhani upo bank umetusaidia maana nilijua ina kirefu chake nikababatisha kwa kukusahau...well done mtu wa Mungu
 
Itajirudia tu maana ni bank kwa bank unaweza kusema tu NM kama bank ilishajitaja....National Microfinance inatosha kwa ilishatajwa
 
 
Mtu anaposhika mpira kwenye mchezo wa mpira wa miguu watu husema henzi akimaanisha hands/hand
 
Salute Comrade's.

Ni mada nzuri sana. Kuna kadhaa ya kujifunza.

Unazungumza na mtu kwenye simu anakuambia Nipo barabara ya Kilwa road. Ni makosa kiufundi.

Nipo barabara ya Kilwa road- Nipo Kilwa road.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…