Yaani Raia wakizungu wanamjua na wanamkubali sana sijui kwasababu gani, yani kipindi yupo hai Akiwa anatoa hotuba wazungu wanamsikiliza, niliwai kuwasikia wazungu wafurahia Magufuli kukataa lockdown na chanjo wazungu wengi waliokuwepo nchi hawaja chanja chanjo hawazitaki na hawaziamini, kuna Mwarabu kutoka Irani alikuwa anasema Magufuli sawa Samia Matatizo na huyo anayesema hayo ni Raia wa nje.Itafika siku jina la Magufuli litakuwepo kwenye somo la historia na hapo ndio tutajua yule ni nabii
Usimsanuwe wwe muachee, anaonekana ana hofu sana japo kachoma chanjo!!Hiyo mRNA ni chanjo ya covid aliyoiasisi gates
Wewe unasumbuliwa na usukuma gang, huna lolote unalolijuaView attachment 2366896View attachment 2366893
Kwa wale waliomdhihaki Magufuli kuhusu chanjo ya Corona (planndemic disease) hii inawahusu,mkajidai mmesoma mnajua sana kuliko Rais🥺
Magonjwa ya ajabu ajabu yanapiga watu huko, infertility, heart attack.
"Msidhani kua mnapendwa sana -In Magufuli voice"
Nakumbuka Hii kauli ya Magufuli aliisema akiwa chato kuonya kuhusu corona virus vaccine
Leo hii wazungu wanakiri wenyewe ni very risky
RIP JPM,RIP Mwamba
Jamaa alikuwa anaamini ushirikina badala ya science mpaka Corona ikapita nayeYule pimbi alikataa uwepo wa COVID-19 na akasema tujifukize kwa njia za kienyeji. Akakataa kupima wagonjwa na kutoa takwimu.
COVID-19 haikumkopesha, ikamswaga kama ilivyomswaga Mrundi mwenzie Nkurunzinza aliyekaidi.
Dunia lazima iambiwe kuwa Magufuli alikufa kwa COVID 19.
Nabii wa Sukuma gang. Watanzania siyo wajinga, walikosea mara moja hawawezi kosea tenaItafika siku jina la Magufuli litakuwepo kwenye somo la historia na hapo ndio tutajua yule ni nabii
Kumbe tatizo ni usukuma gang wakoWewe BAWACHA unafahamu katibu mkuu wako Catherine Ruge anafadhili mtandao wa majambazi ? BAWACHA na CHADEMA itolee ufafanuzi ,kama pesa za ruzuku hawachukui na tunajua wanategemea ruzuku kujiendesha, je pesa zinatoka wapi?
Isije ikawa panyaroad ni mradi wa....ili kupata pesa.
Yule jamaa alikuwa chizi fresh, alileta ujinga corona ikapita nayeKama alikataa uwepo wake ilikuwaje akawaambia mjifukize?
Siyo Wakristo, sema wajinga au Sukuma gang😂😂 wakristo huwa mnanichekesha, yaani nyie kwenu kila mtu akifanya upuuzi wa aina yoyote hamkawii kumuamini na kumuita Nabii, hipo siku hata Mandonga mtamuita nabii, Aisee mtaibiwa sanaa, Bora kutokuwa na dini tu
So wewe unadhani hakuna Wazungu wenye akili kama zako?Mbona wazungu wanasema Raisi wetu kauwawa, kama hujui wazungu na waarabu wanamjua Magufuli kuliko MaRaisi wote waliowahi kuiongoza Tanzania, Yani nimeshangaa wazungu wakaida wanamjua Magufuli chakushangaza wana mkubali sana na wana muheshimu.
Mkuu hata raia wa nje kuna wenye akili kama zakoYaani Raia wakizungu wanamjua na wanamkubali sana sijui kwasababu gani, yani kipindi yupo hai Akiwa anatoa hotuba wazungu wanamsikiliza, niliwai kuwasikia wazungu wafurahia Magufuli kukataa lockdown na chanjo wazungu wengi waliokuwepo nchi hawaja chanja chanjo hawazitaki na hawaziamini, kuna Mwarabu kutoka Irani alikuwa anasema Magufuli sawa Samia Matatizo na huyo anayesema hayo ni Raia wa nje.
Sasa mkapa asemwe kwa uovu upi? Jamaa alikuwa mwizi, muongo na muuaji, vichwa maji wakamwamini. Inabidi historia yake iandikwe ili Taifa kama Taifa tusije rudia kosaHuu mzimu wa Magufuli utawatesa sanaaa wenye vijiba.
Maana hata Mkapa hatajwi kila kukicha ni Magufuli tuu.
Hakika tunako elekea alie na akili ndo anaona ukweli na uwongo wa Mzee Jembe la Jembe Maguful.
🤣🤣Kwa kutujaza hofu na kutaka tumwone Yeye Mungu mwongoza malaika.Kwa lipi?Kwa kuvaa mashati na makoti mapana?Eeeee...ndaulindauli?
We sema umechanja na familia yako. Baadae msije na vilio miaka 20 ijayo kuhusu magonjwa ya ajabu kwa watoto.Nimechanja na niko barida tu na mimba zimetunga tu.
Kama ni target yao kupunguza watu basi hizo wanazodungwa watoto huko mahospitalini unajuaje usalama wake.
Naah! wengi waliochanja ninawajua wako safi na mimba zimetunga hiyo ni scare mongering hahaha!We sema umechanja na familia yako. Baadae msije na vilio miaka 20 ijayo kuhusu magonjwa ya ajabu kwa watoto.
Asante Mkuu😂🤣So wewe unadhani hakuna Wazungu wenye akili kama zako?
Haya, jibu hoja iliyoletwa mezani sasa.Yule pimbi alikataa uwepo wa COVID-19 na akasema tujifukize kwa njia za kienyeji. Akakataa kupima wagonjwa na kutoa takwimu.
COVID-19 haikumkopesha, ikamswaga kama ilivyomswaga Mrundi mwenzie Nkurunzinza aliyekaidi.
Dunia lazima iambiwe kuwa Magufuli alikufa kwa COVID 19.
Bila kuwepo kwa vita kati ya urusi na ukraine, tungekuwa na wimbi la tano la corona virus mpaka sasa.Watanzania bwana
Kila kinachoandikwa kiingereza mnachukulia Kama source ya kuaminika
Hyo article n Kama kijarida Cha gazet la uhuru tu wataandika kile chenye maslahi kwao
Tanua ubongo ndugu
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app