- Thread starter
- #121
Duh kwa hiyo ziliachwa mlangoni.Barua zilifikishwa tarehe tajwa lakini hazikuwa HAZIKUWA ZIMEPOKELEWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh kwa hiyo ziliachwa mlangoni.Barua zilifikishwa tarehe tajwa lakini hazikuwa HAZIKUWA ZIMEPOKELEWA
Jina tu latosha kujua ni mtu wa aina gani ;"Hufuata mkumbo!"mkuu mtu mwenye akili timamu hawezi kumsikiliza Kitila. kwa common sense tu yule sio chanzo cha media kupata ufafanuzi
@Pascal Mayalla umemsikia Mh Pius MsekwaSpika Mstaafu wa Bunge, Pius Msekwa, amesema kwa mujibu wa katiba mpaka sasa Halima Mdee na wenzake 18, hawana tena sifa za kuwa wabunge
Kwa kuwa hawana chama kilichowapeleka Bungeni na hata wakihamia chama kingine hawawezi kupata nafasi hizo, labda mpaka uchaguzi ujao.
====
Mambo yameanza kuwa sio mambo.
Kila akipumua chafya kibao hadi magogoni. Ni hatareeee!Ila huyu anastahili kuitwa MWAMBA View attachment 1636581
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Lazima utakuwa mtoto wa shehe yahya.Hilo tunalijua vzr,na usifikiri Kama wao ni wajinga hawajui Sheria,ipo hv Jambo hili limefanyika makusudi na vyongozi wajuu wa chadema walilipa baraka japo hawawezi kukubali wanabakia wakisema nyaraka zimegushiwa,utakubaliana na mm kuwa tume inabarua ya uteuzi kutoka chadema na hiyo barua nikielelezo mahakamani kuwa wameonewa na kesi itaenda mahakamani na kusikilizwa chap shahidi no moja akiwa mwenyekit wa tume na ina tolewa hukumu ndani ya mwezi mmoja na bunge lijalo kina Halina ndani ya mjengo
Hili famba halijui katiba inasemajeKichekesho cha asubuhi,
Akihojiwa na Azam FM Radio, Propesa Kitila Mkumbo amedai kuwa hata baada ya kuvuliwa uanachama, akina Halima watakuwa wabunge wa Jamhuri. Lakini huyohuyo pia kawataka kwenda mahakamani kudai uanachama wao.
Sisi wananchi tunataka kumuona mvunjaji wa Katiba sasaTime will tell.Tuone hili sakata litaisha vipi. Iam sick and tired of being sick and tired. Kwa mujibu wa katiba Yes. Ila.........let us give time to time. Yajayo.......
Tatizo waliowabeba wamefanya hivyo kwa maslahi yao, hivyo hawawezi kuwaachia bunge libaki bila wa "upinzani" masharti ya dona kandri yanagoma.Kama hawa akinadada wapo humu nawashauri wakaombe msamaha ktk chama chao.
Kwani hawatapoteza zaidi japokuwa mm ni ccm.
Wajipime waliko na wanakoelekea
Mkuu Rudisha avatar picha yako tuliyokuzoea yule niga ana upara unaong'aa na sura ngumuBaadae atapigwa bati utasikia nilinukuliwa vibaya sikumaanisha hivyo 😅 😅 😅 😅
Huyo kigogo alisahau kuwa kila zama na shetani wakeNi kweli. Hili halina shaka. Lakini uhuni unaofanywa utabaki kwenye historia na utazidi kuwafunua watanzania, hasa wana CCM umuhimu wa kuchuja viongozi wa ngazi za juu kwa umakini. Juzi ´nilikuwa nazungumza na kiongozi mmoja aliyewahi kuwa kigogo nadani ya serikali na CCM na alikuwa na majuto kweli kweli hapa tulipofikia.
Subiri jumatatu utalia mchoziKama vinakera vumilia tu hali ndiyo hiyo.
Ndiyoo, yeye ndo aliandika katiba pamoja na wenzake.Kwani kamaanisha yeye au ni vifungu vya katiba? Atapigwa biti kwani yeye ndio kaandika hiyo katiba? Hili ni suala la kikatiba uwe unataka au hutaki otherwise badilisha sheria.
Dah mkuu mbona umedilsha avatar picha yako ya halima ile umevaa miwani ukiangalia kwa madahaaIla huyu anastahili kuitwa MWAMBA View attachment 1636581
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Kama hujui uongozi, ni vyema ukapumzika! Kuna divide and rule mweshimiwa! CCM wanapata ushindi bwelele kwa hili. Maana sasa baadala ya Amsterdam kuwananga CCM, Tototundu na chadema wapo busy kuondoa nyamaume aliye ndani. Wakisawazisha ya ndani, it will be too late. Hizo ndizo siasa za kimkakati mweshimiwaWawe wabunge wa mahakama kwa miaka mitano, ni sawa tu. Huko ndo kuwalinda kwa nguvu zote. Hivi hizi nguvu zilizotumika na zitakazoendelea kutumika ni kwa lengo lipi?
Ajue hatuko enzi za Nyerere, siku hizi mambo ya binge yako chini ya watu wawili, watimue bungeni na mimi nitawanyoosha huku.Spika Mstaafu wa Bunge, Pius Msekwa, amesema kwa mujibu wa katiba mpaka sasa Halima Mdee na wenzake 18, hawana tena sifa za kuwa wabunge
Kwa kuwa hawana chama kilichowapeleka Bungeni na hata wakihamia chama kingine hawawezi kupata nafasi hizo, labda mpaka uchaguzi ujao.
====
Mambo yameanza kuwa sio mambo.