Mkuu, hoja uliyoshusha ni ya msingi sana na inafungua mlango wa kutazama kiini cha tofauti kati ya mifumo hii miwili ya mikataba. Ni kweli kabisa kuwa wakati wa TICTS (Tanzania International Container Terminal Services) wananchi wengi hawakuwa na uelewa mpana, na kimsingi hawakupiga kelele kama inavyoshuhudiwa sasa kwa DP World.Mkuu umejibu vizuri sana na nimekuelewa vizuri tu,ila huenda kuna mambo mengine ambayo yapo nje ya hizo sababu ulizo ziweka,
Mfano wakati Bandari inaendeshwa na ile kampuni iliyomaliza mkataba wake,hakukua na kelele sana wala kupinga,ila ilipokuja tu DP WORLD ndio tukaanza kuona watu wakipinga,tena wengine wala walikua hawajui ni kampuni gani ilikua inaendesha bandari kabla ya ujio wa DPW.
Wamekata kisa mwaraby ,haki yao ipi wakati wanapigania maslahi yao..Wanafanya biashara bila ya kulipa kodi tena wanapewa ruzuku ,watulize matumbo yaoMkuu Tanganian 🎪🤡, pole sana kwa kuona vizuka vya udini kila mahali! Yaani badala ya kujadili uchumi wa nchi, mifumo ya TEHAMA, na foleni za malori barabarani, wewe akili yako yote inawaza sadaka na kwaya? 🤦‍♂️
Hizo PhD unazoziandama na kuzidhihaki hapa zilitumia Haki zao za Kikatiba (Ibara ya 18 na 21) kuhoji, kushauri, na kulinda maslahi ya rasilimali za nchi yao kama raia kamili na wasomi huru. Kuliko wewe unayejiita chawa wa udini, uliyebaki kuwa pawni (pawn) wa kiimani unayetumiwa kutetea mikataba ya kigeni kwa mihemko ya kidhehebu.
Ndio maana nchi inapigwa mkataba wa miaka 30 huku ninyi wapiga debe mkifikiri mko kwenye mashindano ya kaswida vs kwaya ya kanda! 🎤✨ Humu tunajadili ufanisi wa kontena, kodi za wananchi, na ripoti za CPPI, weka udini wako pembeni rudi darasani!
Mwisho kabisa, ni mapema mno kufurahia ushindi huo wa kwenye makaratasi. Punguza mihemko na subiri Mzee CAG apite na afanye ukaguzi wake wa kiutendaji uone kama hakuna madudu au yapo ya kutosha. Hapo ndipo utajua hujui! 🤡📉
Unaweza kuweka hiyo mikataba yote tuione? DPW na hao TICTSMkuu, hoja uliyoshusha ni ya msingi sana na inafungua mlango wa kutazama kiini cha tofauti kati ya mifumo hii miwili ya mikataba. Ni kweli kabisa kuwa wakati wa TICTS (Tanzania International Container Terminal Services) wananchi wengi hawakuwa na uelewa mpana, na kimsingi hawakupiga kelele kama inavyoshuhudiwa sasa kwa DP World.
Hata hivyo, kitaalamu na kiutawala, utulivu wa kipindi cha nyuma na dhoruba ya sasa haitokani na chuki dhidi ya kampuni fulani, bali inasababishwa na mambo makuu matatu ya kisheria na kimkakati:
Kwahiyo, tahadhari inayotolewa sasa hivi si kwa sababu watu wanapenda TICTS au wanachukia DP World. Ni kwa sababu mfumo wa sasa uliwasilishwa kwa namna iliyoacha maswali mengi ya kisheria na ya kikatiba. Kuhoji huku ndiko kulikoisaidia serikali kufanya maboresho na kuja na mikataba ya kibiashara iliyoweka ukomo wa miaka 30 na mapitio ya kila baada ya miaka 5. Huu ndio umuhimu wa jamii kuwa macho na kuhoji.
- Aina ya Mkataba na Mipaka ya Uendeshaji (Scope of Agreement): Mkataba wa TICTS ulikuwa ni wa upangaji wa kibiashara wa kawaida (Lease Agreement) kwa ajili ya kuendesha magati maalumu ya makasha pekee (Berths 8-11). Kinyume chake, mkataba wa kwanza uliohusu DP World haukuwa mkataba wa kibiashara tu, bali ulikuwa ni Makubaliano ya Kiserikali (Intergovernmental Agreement - IGA) ambayo yalihusisha maeneo mapana sana—ikiwemo bandari zote za baharini na maziwa makuu, ukanda wa viwanda (Special Economic Zones), na kutoa haki za upendeleo. Upana huu wa mkataba ndio ulioamsha hofu ya kiusalama na kimaslahi kwa wasomi, wanasheria, na wananchi.
- Kipengele cha Muda na Ukomo (Exclusivity & Duration): Moja ya mambo yaliyozua tahadhari kubwa kwenye IGA ya awali ya DP World ilikuwa ni uwepo vya vipengele vilivyoonekana kuzuia nchi kujitoa kwa urahisi au kutoweka ukomo wa miaka wa mkataba (open-ended framework). Hali hii ilitofautiana na TICTS ambao mkataba wao ulikuwa wa miaka iliyojulikana (fixed term) na uliweza kuvunjika au kuisha kama ilivyotokea. Wakati jamii inapoona mkataba unagusa rasilimali ya urithi wa taifa bila ukomo wa wazi, kisaikolojia inajenga hofu kubwa ya kupoteza mamlaka ya nchi (Sovereignty).
- Mabadiliko ya Uelewa wa Jamii na Teknolojia (Information Age): Kipindi TICTS inaingia mkataba miaka ya 2000, upatikanaji wa taarifa na mitandao ya kijamii ulikuwa mdogo sana. Leo hii, tuko kwenye zama za uwazi wa habari (digital age) ambapo mikataba ikivuja inasomwa na kuchambuliwa na wataalamu wa sheria na uchumi ndani ya dakika chache. Kelele za sasa ni ishara ya kukua kwa uelewa wa uraia (civic awareness), ambapo wananchi wanataka kuhoji kila kitu kinachohusu rasilimali zao kabla ya kusainiwa.
Mkuu, hapa ndipo linapokuja swali la msingi linaloweza kuwatatiza wengi—na kwa hakika, ninaliona swali lako la mtego hapa na nataka kuutegua kabla hata hujaja nalo: "Kama mikataba ya kibiashara haipo wazi kikamilifu, kwa nini kulikuwa na ukosoaji mkubwa kwa DP World wakati wa TICTS watu walikaa kimya?"Unaweza kuweka hiyo mikataba yote tuione? DPW na hao TICTS
Acha ubaguzi wengine wanafikiri habari ya maslahi ya taifa na Watanzania ADI na habari zako za kibaguziKama ninavyowaona PhD za kukusanya sadaka , hii habari hawaitaki kabisa , adui wao ni mwarabu tu hata awe upande wao.
Wapo waliochukia na wanaochukia na wala sio sababu ya mkataba bali ni kwa chuki zao tu kwa DPW kutokana na origin ya hiyo kampuni,Mkuu, hapa ndipo linapokuja swali la msingi linaloweza kuwatatiza wengi—na kwa hakika, ninaliona swali lako la mtego hapa na nataka kuutegua kabla hata hujaja nalo: "Kama mikataba ya kibiashara haipo wazi kikamilifu, kwa nini kulikuwa na ukosoaji mkubwa kwa DP World wakati wa TICTS watu walikaa kimya?"
Ukweli ni kwamba wakosoaji na wataalamu hawakubuni mambo, na tofauti ya mitazamo hiyo inasimamia misingi hii miwili ya kitaalamu:
Kwahiyo, hoja hapa si kwamba jamii ililalamikia "isichokijua" au inachukia DP World, bali ilichambua kile kilichowekwa mezani rasmi na Serikali yenyewe. Hii inathibitisha kuwa uwazi na ukosoaji wenye tija siyo uadui wala siasa, bali ni nguzo muhimu inayosaidia kulinda maslahi mapana ya taifa letu.
- Uchambuzi ulitokana na Nyaraka Rasmi za IGA: Ukosoaji mkubwa wa kisheria haukuelekezwa kwenye mikataba ya siri ya kibiashara, bali kwenye Azimio la Bunge na Mkataba wa Kwanza wa Kiserikali (IGA) ambao uliwekwa wazi kisheria kwa ajili ya kuridhiwa na Bunge [JamiiForums]. Wale wanaotaka kujikumbusha wanaweza kusoma Tafsiri Isiyo Rasmi ya IGA ya DP World kwenye JamiiForums au kupitia makala ya Uchambuzi wa Mapungufu 10 ya Mkataba kwenye JamiiForums. Yale mapungufu yaliyolalamikiwa na wanasheria na wasomi—kama vile kutokuwa na ukomo wa miaka au kuhusisha bandari zote za nchi kavu na baharini—yalikuwa humu humu kwenye maandishi hayo rasmi ya serikali [JamiiForums].
- Tofauti Kubwa ya Kimkataba kati ya TICTS na DP World: Wakati wa TICTS, mkataba ulikuwa wa upangaji wa kibiashara wa kawaida (Lease Agreement) kwa ajili ya kuendesha magati maalumu ya makasha pekee (Berths 8-11) na ulikuwa na ukomo wa miaka uliojulikana (fixed term). Wakati ukomo ulipofika, mkataba uliisha na TPA ilichukua uendeshaji wake yenyewe. Kinyume chake, IGA ya awali ya DP World ilionyesha mfumo unaogusa mamlaka pana ya rasilimali zote za urithi wa nchi bila ukomo wa wazi, jambo lililoamsha tahadhari ya kiusalama wa nchi (Sovereignty) [JamiiForums].
- Ukosoaji ulileta Tija na Maboresho: Ni kwa sababu wataalamu na wananchi walisimamia IGA hiyo ya kwanza na kuonyesha mapungufu yake kwa kuilinganisha na uzoefu wa mikataba ya nyuma, ndipo Serikali iliposikia na kufanya maboresho makubwa kwenye mikataba iliyofuata ya kibiashara. Unaweza kuona kumbukumbu za hatua hii kwenye ukurasa wa Utiaji Saini Mkataba wa Miaka 30 JamiiForums ambapo sasa iliwekwa ukomo wa miaka 30 na mapitio ya kila baada ya miaka 5.
Chama twawala,indenguwa tawala mambo yasingeenda holela kwa kiwango vinavyo shuhudiwa!CCM ndio chama Tawala
Wenye dhamana ya kuwatumikia Watanzania milioni 60+
Chama Tawala hakiwezi kupangiwa au kuchaguliwa mwekezaji na taasisi ya Dini
Taasisi za Dini zenyewe zinayo majukumu yake wajielekeze kwenye Majukumu yao !!
Serikali yetu sio dhaifu inaweza kumbambana na Wachochezi wowote kutokea mlengo
wowote !!!
Ni wachochezi
Sio kweli kwamba wanapigania Haki
Haki kwao kupata wao tu Kanisa katoliki kwao. Ndio wanaita Haki.
Kukivunjwa Haki lkn wao Kanisa katoliki ni wanufaika Kanisa katoliki ukaa kimyaaaa
Mfano ipo mingi namna Kanisa limepiga kimyaa
Mfano mmoja kipindi cha Rais Benjamin William Mkapa
Mkapa haliziuza nyumba za Serikali kwasamani ndogo sana !!!
huku akijua wanufaika wakubwa kwenye zile nyumba ni Wakristo na %80 ni Wakatoliki
JE Kanisa katoliki lilipinga kile kitendo nyumba za Watanzania sio za Wakristo pekeyao
zimejengwa kwa kodi ya Watanzania wote!!!
ule ni Wizi waziwazi kabisa rasilimali za Taifa kupewa Wakristo!!!
Kanisa Kotoliki lina lengo moja kuwapora Utajiri jamii ya Waislamu kwa Ujumla wake
Kupitia njia tofauti tofauti zikiwemo za kinafiki kujifanya
wanatetea Haki !!
Ndiomana kwasasa Waislamu wameungana kuteteana na kuyapinga
Majambazi makubwa
yasio na aibu yoyote mbele ya Jamii!!!!
MASHEKH WAKIAMUA KUHAMASISHANA NA WAUMINI WAO NDANI YA JIJI LA DAR ES SALAAM
Wataitaji siku moja tu kukomboa Utajiri wao wote mikononi
mwa waliowapora kwa msaada wa Kanisa katoliki!!!
SIKU YAJA
msidhani Waislamu ni mazezeta kwenye miji yao
Kwasasa wacha Kanisa liendelee kuwakandamiza Waislamu wakidhani ni wao tu ndio wamepewa rohoo mbaya na akili✍️
Watu wao ndio watetezi wakubwa wa DP WORLD, kwasababu ya vimisaada vya tende halafu hata kulipa LUKU misikini hawawezi.Bakwata inaingiaje hapa kwenye comment yangu? Kama umegombana na mumeo basi hasira zako usiniletee mimi,malizana nae huko huko chumbani kwenu.
Haya, umemaliza.CCM ndio chama Tawala
Wenye dhamana ya kuwatumikia Watanzania milioni 60+
Chama Tawala hakiwezi kupangiwa au kuchaguliwa mwekezaji na taasisi ya Dini
Taasisi za Dini zenyewe zinayo majukumu yake wajielekeze kwenye Majukumu yao !!
Serikali yetu sio dhaifu inaweza kumbambana na Wachochezi wowote kutokea mlengo
wowote !!!
Ni wachochezi
Sio kweli kwamba wanapigania Haki
Haki kwao kupata wao tu Kanisa katoliki kwao. Ndio wanaita Haki.
Kukivunjwa Haki lkn wao Kanisa katoliki ni wanufaika Kanisa katoliki ukaa kimyaaaa
Mfano ipo mingi namna Kanisa limepiga kimyaa
Mfano mmoja kipindi cha Rais Benjamin William Mkapa
Mkapa haliziuza nyumba za Serikali kwasamani ndogo sana !!!
huku akijua wanufaika wakubwa kwenye zile nyumba ni Wakristo na %80 ni Wakatoliki
JE Kanisa katoliki lilipinga kile kitendo nyumba za Watanzania sio za Wakristo pekeyao
zimejengwa kwa kodi ya Watanzania wote!!!
ule ni Wizi waziwazi kabisa rasilimali za Taifa kupewa Wakristo!!!
Kanisa Kotoliki lina lengo moja kuwapora Utajiri jamii ya Waislamu kwa Ujumla wake
Kupitia njia tofauti tofauti zikiwemo za kinafiki kujifanya
wanatetea Haki !!
Ndiomana kwasasa Waislamu wameungana kuteteana na kuyapinga
Majambazi makubwa
yasio na aibu yoyote mbele ya Jamii!!!!
MASHEKH WAKIAMUA KUHAMASISHANA NA WAUMINI WAO NDANI YA JIJI LA DAR ES SALAAM
Wataitaji siku moja tu kukomboa Utajiri wao wote mikononi
mwa waliowapora kwa msaada wa Kanisa katoliki!!!
SIKU YAJA
msidhani Waislamu ni mazezeta kwenye miji yao
Kwasasa wacha Kanisa liendelee kuwakandamiza Waislamu wakidhani ni wao tu ndio wamepewa rohoo mbaya na akili✍️
Chama twawala,indenguwa tawala mambo yasingeenda holela kwa kiwango vinavyo shuhudiwa!
Wewe punguani una shule gani kichwani kwa haya matapishi unayo yatapika hapa?Watu wao ndio watetezi wakubwa wa DP WORLD, kwasababu ya vimisaada vya tende halafu hata kulipa LUKU misikini hawawezi.
Mkiambiwa nendeni shule, mnaona mnatukanwa
Wewe huna akili ya kuweza kujadili hii mada,kichwani umejaza makamasi tu,rudi huko Tiktok ukaendelee ku like mitindo ya nywele na madela na rangi za kucha,huna akili ya kujadili jambo hapa.Haya, umemaliza.
Kuna msaada wa Tende hapo Mtoro
Wapo waliochukia na wanaochukia na wala sio sababu ya mkataba bali ni kwa chuki zao tu kwa DPW kutokana na origin ya hiyo kampuni,
Hili ukubali au ukatae ila huo ndio ukweli na kila mtu aliuona,hiyo DPW hata ilete faida kiasi gani ila wale wenye chuki na DPW hawawezi kubadili chuki zao,hili lipo wazi kabisa,
Mfano soma comment #4 na #10
Ndugu yangu, inasikitisha sana kuona umechagua kwa makusudi kukimbilia kusoma comment #4 na #10, lakini ukawa kipofu kabisa kushindwa kuona ukweli uliowekwa wazi kwenye comment namba moja. Huu ni ushahidi wa wazi wa upendeleo wa kuchagua (selective bias)—unachukua tu kile kinachobeba masimulizi yako na kufunga macho mbele ya kile kinachokukabili.Wapo waliochukia na wanaochukia na wala sio sababu ya mkataba bali ni kwa chuki zao tu kwa DPW kutokana na origin ya hiyo kampuni,
Hili ukubali au ukatae ila huo ndio ukweli na kila mtu aliuona,hiyo DPW hata ilete faida kiasi gani ila wale wenye chuki na DPW hawawezi kubadili chuki zao,hili lipo wazi kabisa,
Mfano soma comment #4 na #10
Wakati unajinasibu kuwa wewe unajielekeza kwenye uchambuzi huru na wa kiweledi tofauti na wale uliowataja kwenye comment #4 na #10, unaanguka kwenye mtihani uleule wa ubaguzi kwa kuandika maneno haya: "Wewe punguani una shule gani kichwani kwa haya matapishi unayo yatapika hapa? Angalia hawa wenzako huku wanafukuana mitaro kisha wanaenda hija Vatican."Wewe punguani una shule gani kichwani kwa haya matapishi unayo yatapika hapa?
Angalia hawa wenzako huku wanafukuana mitaro kisha wanaenda hija Vatican,