Plasduce Mbossa: Bandari ya Dar es Salaam imepanda Kimataifa kutoka nafasi ya 360 hadi 255 katika ufanisi wa kuhudumia makasha

Kwahiyo wewe ulikua unatokwa povu bila hata ya kuona hiyo mikataba sio?
Inaonekana Islamophobia inakutesa sana,

Soma comment yangu #24 huyo aliyetolea maelezo ya hiyo mikataba nimemuomba aiweke hapa hiyo mikataba ila ameshindwa.
Islamophobia??

Watu ambao wanamwambudu Allah Samia,.mtume Abdul kwa mshahara wa Yende na tiketi ya Saudia.

Watu wanaobdu Mwarabu.

Wako tayari hapa kumfia Mwarabu, ambaye hachangii hata LUKU ya msikiti?

Watu ambao wamefutwa kabisa kihisia wanajiona waarabu isipokuwa rangi??
 
Nenda shuke.

Unajidhalilisha sana hapa.

Islamophobia??

Watu ambao wanamwambudu Allah Samia,.mtume Abdul kwa mshahara wa Yende na tiketi ya Saudia.

Watu wanaobdu Mwarabu.

Wako tayari hapa kumfia Mwarabu, ambaye hachangii hata LUKU ya msikiti?

Watu ambao wamefutwa kabisa kihisia wanajiona waarabu isipokuwa rangi??
Unaona jinsi usivyokua na akili? ndio maana nikakwambia kua chuki ya udini inakutesa coz hata ulipovamia tu huu uzi ukaanza na matusi na kashfa ya udini coz huna akili ya kuchangia huu uzi,kajifundishe kuandika kwanza kisha njoo tena,inaonekana maisha yamekupiga kinoma,faraja yako pekee iliyobaki ni chuki ya udini tu,

Nakusubiri uje tena coz kuna dozi ya matibabu nakuandalia hapa,watu kama wewe ndio hua nawatafuta.
 
Hatutaki ufanisi wa kuhudumia makasha tu, tunataka bei za magari zishuke na pia tuone hiyo pesa ya bandari inajenga barabara za lami vijijini na SGR.
 
Kwa nini kila mara tunariport ufanisi wa juu wa kile na hiki lakini wakati huduma za kijamii na miundo mbinu zikizorota?
 
Kwahiyo wewe ulikua unatokwa povu bila hata ya kuona hiyo mikataba sio?
Inaonekana Islamophobia inakutesa sana,

Soma comment yangu #24 huyo aliyetolea maelezo ya hiyo mikataba nimemuomba aiweke hapa hiyo mikataba ila ameshindwa.
Unadanganya hapa sababu nimekuelezea kila kitu kwanini watu wanapigia makelele, na nilikuambia mapema kabisa kwamba ulidhani unanitega nimeweka hilo jibu langu soma maelezo ya mwanzo.

Mkuu, hapa ndipo linapokuja swali la msingi linaloweza kuwatatiza wengi—na kwa hakika, ninaliona swali lako la mtego hapa na nataka kuutegua kabla hata hujaja nalo: "Kama mikataba ya kibiashara haipo wazi kikamilifu, kwa nini kulikuwa na ukosoaji mkubwa kwa DP World wakati wa TICTS watu walikaa kimya?"
Ukweli ni kwamba wakosoaji na wataalamu hawakubuni mambo, na tofauti ya mitazamo hiyo inasimamia misingi hii miwili ya kitaalamu:
  1. Uchambuzi ulitokana na Nyaraka Rasmi za IGA: Ukosoaji mkubwa wa kisheria haukuelekezwa kwenye mikataba ya siri ya kibiashara, bali kwenye Azimio la Bunge na Mkataba wa Kwanza wa Kiserikali (IGA) ambao uliwekwa wazi kisheria kwa ajili ya kuridhiwa na Bunge [JamiiForums]. Wale wanaotaka kujikumbusha wanaweza kusoma Tafsiri Isiyo Rasmi ya IGA ya DP World kwenye JamiiForums au kupitia makala ya Uchambuzi wa Mapungufu 10 ya Mkataba kwenye JamiiForums. Yale mapungufu yaliyolalamikiwa na wanasheria na wasomi—kama vile kutokuwa na ukomo wa miaka au kuhusisha bandari zote za nchi kavu na baharini—yalikuwa humu humu kwenye maandishi hayo rasmi ya serikali [JamiiForums].
  2. Tofauti Kubwa ya Kimkataba kati ya TICTS na DP World: Wakati wa TICTS, mkataba ulikuwa wa upangaji wa kibiashara wa kawaida (Lease Agreement) kwa ajili ya kuendesha magati maalumu ya makasha pekee (Berths 8-11) na ulikuwa na ukomo wa miaka uliojulikana (fixed term). Wakati ukomo ulipofika, mkataba uliisha na TPA ilichukua uendeshaji wake yenyewe. Kinyume chake, IGA ya awali ya DP World ilionyesha mfumo unaogusa mamlaka pana ya rasilimali zote za urithi wa nchi bila ukomo wa wazi, jambo lililoamsha tahadhari ya kiusalama wa nchi (Sovereignty) [JamiiForums].
  3. Ukosoaji ulileta Tija na Maboresho: Ni kwa sababu wataalamu na wananchi walisimamia IGA hiyo ya kwanza na kuonyesha mapungufu yake kwa kuilinganisha na uzoefu wa mikataba ya nyuma, ndipo Serikali iliposikia na kufanya maboresho makubwa kwenye mikataba iliyofuata ya kibiashara. Unaweza kuona kumbukumbu za hatua hii kwenye ukurasa wa Utiaji Saini Mkataba wa Miaka 30 JamiiForums ambapo sasa iliwekwa ukomo wa miaka 30 na mapitio ya kila baada ya miaka 5.
Kwahiyo, hoja hapa si kwamba jamii ililalamikia "isichokijua" au inachukia DP World, bali ilichambua kile kilichowekwa mezani rasmi na Serikali yenyewe. Hii inathibitisha kuwa uwazi na ukosoaji wenye tija siyo uadui wala siasa, bali ni nguzo muhimu inayosaidia kulinda maslahi mapana ya taifa letu.
Kiongozi, tatizo lenu kubwa ninyi mnaoongozwa na udini, mmejipanga kulinda imani zenu kuliko kuipigania nchi yenu na maslahi yenu wenyewe. Mimi niko radhi nikae bila dini kuliko kuwa na ushabiki unaonifanya nishabikie watu wasionijali.
Hali yako haina tofauti kabisa na wale Wakristo wanaotetea mauaji yanayoendelea Palestine wakidhani Waisrael ni wenzao wa kidini, wakati kiuhalisia Waisrael hawawajui, hawawathamini, na wanajali utaifa wao tu wa Kiyahudi. Na wewe unawashabikia Waarabu wa UAE na DP World ukidhani wanakuthamini au wanakuja kutusaidia kwa sababu ya Uislamu wako.
Kudhani kwamba Waarabu wa Dubai wanawathamini kwa sababu tu ninyi ni Waislamu wenzao ni kujidanganya. Ukweli ni kwamba upendo wenu kwao unatokana na imani, lakini upendo wao kwenu unategemea hadhi ya kibiashara, uchumi na pasipoti mnavyoshikilia. Kwenye biashara kama ya DP World, wao wanaangalia maslahi ya nchi yao ya UAE, na Mwafrika yeyote kwao—awe Mwislamu au Mkristo—wanaona ni fursa tu ya kibiashara na raia wa nchi masikini.
Wote ninyi mnaanguka kwenye mtego mmoja wa udini: mnaweka ushabiki wa kidini mbele kwa mataifa ambayo yenyewe yanaongozwa na ubepari, maslahi ya kibiashara, na utaifa wao badala ya kupigania maslahi ya Taifa lenu.
 
Unadanganya hapa sababu nimekuelezea kila kitu kwanini watu wanapigia makelele, na nilikuambia mapema kabisa kwamba ulidhani unanitega nimeweka hilo jibu langu soma maelezo ya mwanzo.

Kiongozi, tatizo lenu kubwa ninyi mnaoongozwa na udini, mmejipanga kulinda imani zenu kuliko kuipigania nchi yenu na maslahi yenu wenyewe. Mimi niko radhi nikae bila dini kuliko kuwa na ushabiki unaonifanya nishabikie watu wasionijali.
Hali yako haina tofauti kabisa na wale Wakristo wanaotetea mauaji yanayoendelea Palestine wakidhani Waisrael ni wenzao wa kidini, wakati kiuhalisia Waisrael hawawajui, hawawathamini, na wanajali utaifa wao tu wa Kiyahudi. Na wewe unawashabikia Waarabu wa UAE na DP World ukidhani wanakuthamini au wanakuja kutusaidia kwa sababu ya Uislamu wako.
Kudhani kwamba Waarabu wa Dubai wanawathamini kwa sababu tu ninyi ni Waislamu wenzao ni kujidanganya. Ukweli ni kwamba upendo wenu kwao unatokana na imani, lakini upendo wao kwenu unategemea hadhi ya kibiashara, uchumi na pasipoti mnavyoshikilia. Kwenye biashara kama ya DP World, wao wanaangalia maslahi ya nchi yao ya UAE, na Mwafrika yeyote kwao—awe Mwislamu au Mkristo—wanaona ni fursa tu ya kibiashara na raia wa nchi masikini.
Wote ninyi mnaanguka kwenye mtego mmoja wa udini: mnaweka ushabiki wa kidini mbele kwa mataifa ambayo yenyewe yanaongozwa na ubepari, maslahi ya kibiashara, na utaifa wao badala ya kupigania maslahi ya Taifa lenu.
Kumbe hiyo ID ya Mpwimbe ndio wewe! Naona umejisahau ukanijibu kwa hiyo ID
 
Maelezo marefu ila unarudia yale yale tu,ni wapi mimi nimeshabikia DPW?
 
Damu za watu alizomwaga Allah Samia zimekutafuna kabisa Ubongo.

Kamswalie Mtume Abdul kwanza.
Wewe punguani umesha changanyikiwa,nilijua tu kua Islamophobia inakutesa sana,

Mwanzo ulijaribu kujificha ila wanafiki hua hawajifichi,unaonekana maisha yamekutwanga hasa,faraja yako pekee iliyobaki ni hizi kashfa za udini tu,
Wazazi wako wana hasara kubwa sana kuzaa Papai kama wewe.
 
Maelezo marefu ila unarudia yale yale tu,ni wapi mimi nimeshabikia DPW
Ni kweli kwamba haujatamka waziwazi msimamo wako, lakini katika uchambuzi wa kimuktadha—kile tunachokiita 'reading between the lines'—mtiririko na mwelekeo wa majibu yako unatoa ishara kubwa ya upande unaouwakilisha. Hoja hazipatikani tu kwenye maneno ya moja kwa moja, bali kwenye uzito wa majibu yenyewe. Pamoja na jitihada za kuonyesha usawa, kuna maeneo ambapo 'mask' yako imejivua kwa bahati mbaya na kuacha uhalisia wa kile unachokisimamia ukiwa wazi
 
Wewe toka mwanzo nilishakuona upande ulioelekea,ulijaribu kujificha ficha ila at end ukaonyesha uhalisia wako.

Endelea kujadili na wengine wala huna haja ya kujibu hii comment.
 
Back
Top Bottom