mwakaboko
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,931
- 757
Hapo ndipo unapopata picha halisi ya Watz na wasomi walio wengi WakiTZ, ni wavivu wa kusoma vitabu na hata majarida mbalimbali. Inakera kweli ndiyo maana tunadanganywa hovyo hovyo. Because we don't read books we know not where we're fromAhsante mkuu The bold Nashangaa kuna watu wanasema eti ndefu..!! Me nimesoma yote na nimesoma michango yote. Lkn mkuu kwenye hiyo issue ya ubia me pia npo tayari,ntakutafuta mkuu!!