Plata O Plomo: Ulimwengu wa Siri Kiganjani Kwa Binadamu Mmoja[ Pablo Escobar]

Plata O Plomo: Ulimwengu wa Siri Kiganjani Kwa Binadamu Mmoja[ Pablo Escobar]

Ahsante mkuu The bold Nashangaa kuna watu wanasema eti ndefu..!! Me nimesoma yote na nimesoma michango yote. Lkn mkuu kwenye hiyo issue ya ubia me pia npo tayari,ntakutafuta mkuu!!
Hapo ndipo unapopata picha halisi ya Watz na wasomi walio wengi WakiTZ, ni wavivu wa kusoma vitabu na hata majarida mbalimbali. Inakera kweli ndiyo maana tunadanganywa hovyo hovyo. Because we don't read books we know not where we're from
 
Hapo ilipo hiyo makala ina 'machata' kibao nimeyaficha ndani kwa ndani humo humo.. Ujanja huo alinifundisha mkuu Kiranga
Hayo machata me nimeyang'amua mengi tu, cos kuna titles haziusiani na uzi, kwa mf, Mkuu......., en unaporomosha vipande, asee kwa code hizi hatuibiwi kazi zetu. NO Plagiarism, Big up mkuu ingayo hukunitag mamamaeeee.......
 
....ingekuwa poa watu wangepunguza pongezi,like inatosha!...tutoe nafasi kwa maswali na ufafanuzi zaidi!
 
Mkuu the Bold shukran kwa story,nimeisoma mwanzo mwisho,ila hawa colombian ni mafia sana,mkuu unakumbuka mwaka flani kulikuwa na kombe la dunia wakam shoot mchezaji wao Escobar kisa kafungisha timu?
 
Duuuuh! Story nzuri ila ndefu nimesoma hadi macho yameuma!
 
Ahsante sana The bold, hii ni full dose tunahitaji dose za namba hii kuongeza ufahamu. Shukrani tena na tena. You're always in standards.

Brgds,
Expected Value.
 
Story nzuri sana mkuu, hongera sana kwa kutumia mda wako mwingi kutuelimisha, sema dooooo hadi macho yanapoteza nuru
 
Back
Top Bottom