Uchaguzi 2020 Please CHADEMA, mtapata mnachokitafuta

Uchaguzi 2020 Please CHADEMA, mtapata mnachokitafuta

Ili aweze kufahamika nje ya mitandao ya kijamii inabidi mfanye kazi kubwa maana asilimia kubwa (>70%) ya wapiga kura hawana simu janja.

Isitoshe kumuuza kwa wapiga kura ni ngumu kwa sababu hakuna alilofanya la kitaifa hata jimboni kwake wanajuta kumchagua kwa vipindi viwili mfululizo.
1. Kwanza inaonekana hujui maana ya sampling kwenye takwimu ni upuuzi kudhani wanaotumia social network hawapo kitaa!! Ndio maana sampling inakupa picha tu ya the remaining population ambayo kma ikipata smartphone ingetoa maoni gani. Jiuliza mange kuwa na followers 4M toka aanze kuikosoa serikali inakupa picha gani?? Kweli haireflect kitaa? Hao 4M wapo nchi gani? Hawana friends wa kuwashawishi?

2. Kuhusu siasa za kitaifa, ni mpuuzi tu atakosoa mchango wa Lissu kwenye siasa za bunge. Kama uliona mjadala wa sheria ya cybercrime/Gesi, ripoti za CAG, Mpango wa taifa wa 5 years basi una haki ya kusema hana alilofanya ila wote wanafahamu hakuna muswada wa CCM uliwahi pita bila kupitia mchujo wa hoja za Lissu. Kwa hili tumpe credit hta kma wamchukia. Na nikwambie tu Leo akienda CCM atapewa uwaziri na ww hutokua na lakufanya zaidi ya kupiga makofi tu.

3. Jimboni kwake hawamtaki?? Lissu ndio mpinzani pekee ambaye uchaguzi serikali za mitaa wa mara ya mwisho upinzani wanashiriki alipata 98% ya serikali za vijiji then unasema walimchoka?? Kwa data zipi mkuu? Nlikuwepo huko Ikungi january huyo mbunge wa CCM hana ushawishi kabisa na yye anajia tu kashika jimbo kimaguvu tu ila come october atapisha tu kwa nguvu ya sanduku.

Na ndio maana aliwapa challenge leo Maalim kma mnakubalika sana kwanini mnaogopa uchaguzi huru na haki?? Jibu ni Mnafahamu akisimama atapukutisha CCM vipande pande kwa facts!!

Turudi wakati wa kampeni utakuwa umenielewa nachosema
 
Naunga mkono hoja kuhusu ndio the best man wa kum challenge rais Magufuli kwasababu Lissu ni zaidi ya Magufuli katika... kama nilivyoeleza hapa
Elections 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!

However, I'd like to differ kwenye Lissu kumshinda Magufuli!. Lissu will only challenge but not to win but just to challenge na sio kumwangusha Magufuli kwasababu...

Ila hili wimbi la watia nia wa Chadema hadi Mbowe, tells me kuwa Lissu ni Just a Pacemaker and not a contender kwasababu ana mlolongo wa kesi za jinai, hivyo hii hoja yangu kumhusu Lissu na kurejea kwake, kwangu is still valid
Kwa mliomsikia Tundu Lissu kwenye Hard Talk, unadhani atarejea nchini? Mimi sina hakika na akirejea, atakuwa ni shujaa kuliko hata Nelson Mandela!
Usikute wanamngoja kwa hamu!, Lissu anajua!, Chadema wanajua,... wanamsubiri arudi, watasubiri sana!.

P
Lissu atarudi tu he has nothing to lose at the moment afungwe aachiwe, azuiliwe kugombea ama auawe!! All are expected na hivyo kwake yye hana option zaidi ya kusonga mbele maana afterall kma alipona kifo sidhani kma ataogopa kesi tena zilizo baseless!!! Eti uchochezi? Sijui utoro? Are we serious?

Lissu atarudi tu hilo lipo wazi unless CCM wazuie ila kuhusu yye, obviously hana hofu maana anajua hta akibaki huko atakuwa amewapa ushindi CCM "without shots being fired"!!

Muhimu tu chama kimtafutie usalama wa kutosha wakati wote wa kampeni maana huu utawala hauoni aibu hta kurusha grenade jukwaani!! Otherwise CCM are in for it hyo oktoba maana kampeni zitakua kali sana kma Dr Slaa wa 2010!!
 
K
Mleta mada uko sahihi, Hawa akina Nyalandu na Msigwa kwa kutumia kichaka cha demokrasia wanataka kuchelewesha ndoto za Watanzania kumuondoa Jiwe Madarakani.

Sasa hivi tulipaswa tuwe tunaongea namna gani ya kumsaidia Lissu ashinde, siyo kujadili tutampata lini mgombea wa uraisi kupitia Chadema.

Na Chadema wajifunze, wasipompa Lissu tiketi ya kugombea kwa sababu zozote za kimagumashi basi chama kitapata pigo kubwa sana hata kuweza kuwatoa katika reli.

Mtu aliyesimama kuuchallenge utawala wa Magufuli, jasiri asiyeogopa ndiye anayepaswa kupewa tiketi ya kupambana na Magufuli.

Kusimamisha mtu legelege kupambana na Magufuli ni kuuza mechi
Kwanza msaidie lissu kutembea sasa gwaride atakaguaje wakati anatembea kama kaa
 
Wanatangaza nia tu Mkuu,lakini watachujwa Na ushindi atapatikana si lazima sasa hivi ajulikane Nani ndie mgombea uraisi kupitia chadema (ondoa hofu Mkuu)
 
1. Kwanza inaonekana hujui maana ya sampling kwenye takwimu ni upuuzi kudhani wanaotumia social network hawapo kitaa!! Ndio maana sampling inakupa picha tu ya the remaining population ambayo kma ikipata smartphone ingetoa maoni gani. Jiuliza mange kuwa na followers 4M toka aanze kuikosoa serikali inakupa picha gani?? Kweli haireflect kitaa? Hao 4M wapo nchi gani? Hawana friends wa kuwashawishi?

2. Kuhusu siasa za kitaifa, ni mpuuzi tu atakosoa mchango wa Lissu kwenye siasa za bunge. Kama uliona mjadala wa sheria ya cybercrime/Gesi, ripoti za CAG, Mpango wa taifa wa 5 years basi una haki ya kusema hana alilofanya ila wote wanafahamu hakuna muswada wa CCM uliwahi pita bila kupitia mchujo wa hoja za Lissu. Kwa hili tumpe credit hta kma wamchukia. Na nikwambie tu Leo akienda CCM atapewa uwaziri na ww hutokua na lakufanya zaidi ya kupiga makofi tu.

3. Jimboni kwake hawamtaki?? Lissu ndio mpinzani pekee ambaye uchaguzi serikali za mitaa wa mara ya mwisho upinzani wanashiriki alipata 98% ya serikali za vijiji then unasema walimchoka?? Kwa data zipi mkuu? Nlikuwepo huko Ikungi january huyo mbunge wa CCM hana ushawishi kabisa na yye anajia tu kashika jimbo kimaguvu tu ila come october atapisha tu kwa nguvu ya sanduku.

Na ndio maana aliwapa challenge leo Maalim kma mnakubalika sana kwanini mnaogopa uchaguzi huru na haki?? Jibu ni Mnafahamu akisimama atapukutisha CCM vipande pande kwa facts!!

Turudi wakati wa kampeni utakuwa umenielewa nachosema
Nakufagilia kwa jinsi unavyojenga hoja kama nahodha wa chombo kinachoenda mrama.

Ndani ya nafsi yako unajua ukweli kuwa Serikali ya awamu ya tano, bila kumung'unya maneno, imewatendea wananchi haki kubwa kuliko ilivyotegemewa. Kumshindanisha Magufuli katika kunyang'anyiro cha Urais ni kama kumwaga kijiko cha chumvi kwenye mto.

Kimaendeleo, Rais Magufuli hana mfano kwa Marais wa nchi hii. Kisiasa kuna mapungufu lakini maamuzi yake yalikuwa sahihi ndiyo maana amefanikisha yote mazuri ya mfano kimaendeleo.

Jinsi upinzani ulivyotaka nchi ikabili maambukizi ya COVID-19 hakika imewaweka kwenye wakati mgumu wakati wa kampeni.

Tuhuma dhidi ya Mbowe, naamini itakuwa agenda ya vyama vingine vya upinzani, hasa NCCR Mageuzi, ili kirejee kuwa chama kikuu cha upinzani.

Iwapo CHADEMA itaungana na ACT- Mzalendo kwenye uchaguzi mkuu, kitakuwa kimepoteza mwelekeo kwa kuwa Zitto atamzidi kete Mbowe kwa kutumia tuhuma dhidi yake.
 
Mkuu bado naamini ww ni mtu makini sana so jikite kwenye hoja umesema Lissu hana hoja za kitaifa!! Kivp? Mchango wake bungeni haupo?

Umedai hakubaliki jimboni kwake? Aliwezaje Kushinda vijiji 42? Umetumia takwimu gani?

Umedai waliopo social media ndio wanaunga mkono upinzani ila wasio na smartphone hawapo upinzani? Je hao 4 Million wanaosupport critiques wa serikali hapa nchini wanaishi nchi gani?

Naomba uya adress hayo maswali kwa huo mtiririko kabla hatujahamia kujadili Magu na Covid 19!! Kukimbia hoja hakuwezi iokoa CCM.

Nikwambie tu CCM bado haikubaliki mkuu ndio maana wanataka kutembelea mbeleko ya Magufuli ila bado wananchi hawana imani na kijani. So hta upinzani usiposhinda Urais but wataretain majimbo mengi sana trust me on this one!! Considering uchaguzi huru na haki
 
Tupo nje ya muda, hakuna mgombea anayefaa zaidi ya Lissu, huu si wakati wa drama, Lissu ni Alasa`nte Quatara wa Tanzania, hakuna mwenye uwezo wa kum challenge Magufuli na kumwangusha kwenye uchaguzi huu zaidi ya Lissu.

Kura zote za awali kupitia mitandao ya kijamii zinaonyesha Lissu anakubalika kuliko wagombea wote wanaoomba.

Tunajua umuhimu wa Demokrasia ndani ya chama chetu lakini kwa huu muda na mazingira ya kisiasa ya Tanzania Lissu ni bora kuliko wagombea wote kama ilivyokuwa Mandela kwa ANC, waliamua kumpa back up kubwa sana pamoja na Demokrasia yote waliyonayo ANC.

Huu si muda wa Mbowe, Msigwa wala Nyalandu, huu ni muda wa Tundu Lissu.

Kosa lolote ktk uchaguzi huu unaenda kuigharimu CHADEMA na tutaishia kugawana mbao na kuitoa CCM madarakani itakuwa ndoto nawaambia kweli.

Wakati wa ubaguzi wa rangi South Africa angesimamishwa Thabo Mbeki kugombea asingeshinda na wazungu wangeendelea kuitawala hiyo nchi, lakini kwa Mandela ilikuwa ni muda muafaka kwake, huu mwaka ndo utaamua hatima ya Chadema vinginevyo tutagawana mbao
Naunga mkono hoja kwa asilimia 100

Ni Tundu Lissu pekee anayestahili kusimama kwenye nafasi ya Urais, kati ya waliochukua fomu, tiwaombe tena Chadema, watafakari kwa makini hoja za wananchi na waepuke kikigawa chama chao, katika hili suala nyeti sana la kugombea Urais na watambue pia, namna ambavyo adui yao CCM alivyopania kuiua Chadema, kosa kidogo watakalofanya, basi wamekipeleka kaburini chama chao milele
 
Nikwambie tu CCM bado haikubaliki mkuu ndio maana wanataka kutembelea mbeleko ya Magufuli ila bado wananchi hawana imani na kijani. So hta upinzani usiposhinda Urais but wataretain majimbo mengi sana trust me on this one!! Considering uchaguzi huru na haki

Hitimisho lako hilo linaondoa uhalali wa kujadiliana bali kusubiri matokeo ya Uchaguzi Mkuu.

Hata vile, kama nilivyofafanua kwenye bandiko ulilojibu hapo juu wagombea wa upinzani, hasa CHADEMA, watakuwa na wakati mgumu kwenye kampeni. Ama watalazimika kumsafisha Mbowe kwa tuhuma dhidi yake, au kujitetea kwa nini wamekuwa wakibeza juhudi za Serikali kuwaondolea kero wananchi.

Ukumbuke pia, tayari CCM ina mtaji kwa kuwekeza kwenye "maendeleo ya vitu", na upinzani unakiri hivyo. Kama wahenga walivyonena, " mkono mtupu haulambwi"

Mkuu zitto junior, nami nahitimisha kwa kukupongeza umekuwa mwungwana kutambua mchango wa Magufuli katika maendeleo ya nchi hii, nikikunukuu: [wanataka kutembelea mbeleko ya Magufuli/I].
 
Mleta mada, hivi ni wewe pekee unayejua uwezo wa Tundu Lissu kuliko hao wenzake alionao ndani ya chama?

Kwa nini unachochea mifarakano isiyokuwepo ndani ya chama?

Umemuuliza Tundu Lissu kakulalamikia kwamba anaogopa uwezo wake alionao hautaonekana na wala hautambuliwi ndani ya chama?

Tundu Lissu anauwezo mkubwa wa kumkabiri Magufuli, na chama lazima wanajua hivyo.

Inakuwaje wewe uje hapa kuhoji kana kwamba ni jambo lililojificha?

Wewe unadhani CHADEMA kama chama, hawataki mafanikio?

Sasa tulia. Acha chama kifanye taratibu zake. Kama itathibitika kwamba chama hakijitambui, acha wafilie mbali kungali mapema, kabla hawajaingia kutuharibia nchi, zaidi ya ilivyokwishaharibika tayari.
 
Nakufagilia kwa jinsi unavyojenga hoja kama nahodha wa chombo kinachoenda mrama.

Ndani ya nafsi yako unajua ukweli kuwa Serikali ya awamu ya tano, bila kumung'unya maneno, imewatendea wananchi haki kubwa kuliko ilivyotegemewa. Kumshindanisha Magufuli katika kunyang'anyiro cha Urais ni kama kumwaga kijiko cha chumvi kwenye mto.

Kimaendeleo, Rais Magufuli hana mfano kwa Marais wa nchi hii. Kisiasa kuna mapungufu lakini maamuzi yake yalikuwa sahihi ndiyo maana amefanikisha yote mazuri ya mfano kimaendeleo.

Jinsi upinzani ulivyotaka nchi ikabili maambukizi ya COVID-19 hakika imewaweka kwenye wakati mgumu wakati wa kampeni.

Tuhuma dhidi ya Mbowe, naamini itakuwa agenda ya vyama vingine vya upinzani, hasa NCCR Mageuzi, ili kirejee kuwa chama kikuu cha upinzani.

Iwapo CHADEMA itaungana na ACT- Mzalendo kwenye uchaguzi mkuu, kitakuwa kimepoteza mwelekeo kwa kuwa Zitto atamzidi kete Mbowe kwa kutumia tuhuma dhidi yake.
Tuhuma zip? ameiba?
 
Ila kwa hiyo clip ya Lema inayozunguka kwenye mitandao, kwa kweli nimekwazika sana aisee! Sijui MATAGA wamefanya yao au ni kweli? Kama ni kweli wamenivunja moyo sana! Wapinzani wana akili gani aisee? Lema katia aibu sana!! Bora tu Jiwe liendelee kututawala hamna namna!!
 
Baba pasco kuwa muwaz tuu usiwe popo upo upande gani mzee baba??
Mpuuzi sana huyo, ameng'ang'ania hoja za kijinga jinga tu mara kesi za jinai n.k? Kesi zenyewe za jinai ni za kubuni buni tu na kutungwa na maCCM yenyewe.
 
Unachoamini ni hicho kuwa mna Rais wa mtandao ya kijamii. Hongereni.

Ili aweze kufahamika nje ya mitandao ya kijamii inabidi mfanye kazi kubwa maana asilimia kubwa (>70%) ya wapiga kura hawana simu janja.

Isitoshe kumuuza kwa wapiga kura ni ngumu kwa sababu hakuna alilofanya la kitaifa hata jimboni kwake wanajuta kumchagua kwa vipindi viwili mfululizo.

Mbali na mapungufu hayo ana matatizo binafsi km dharau, ubinafsi na majivuno, wakati uongozi wa umma ni dhamana.
Mkuu nataka niseme moja tu, hivi Jpm na lissu nani mwenye dharau? Siasa hizi duh
 
Ila kwa hiyo clip ya Lema inayozunguka kwenye mitandao, kwa kweli nimekwazika sana aisee! Sijui MATAGA wamefanya yao au ni kweli? Kama ni kweli wamenivunja moyo sana! Wapinzani wana akili gani aisee? Lema katia aibu sana!! Bora tu Jiwe liendelee kututawala hamna namna!!
Tatizo LA chadema kila MTU Ni kambale, lema ahojiwe kama kweli kasema hayo maneno, isijeonekana Lumumba kafanya yao, kama kasema kakosea sana.Chama Ni kuvumiliana na vikao.
 
Back
Top Bottom