He was paid to make propoganda on behalf of the gonner and CCM. How and why he visited chato and mwanza and held a talk with the gonner? He talked like CCM. He didn't answer the questions rather attacked the questiosJust because he didn't feed your ego...
Hujui maana ya neno "KIBARAKA" . Lissu yuko ng'ambo kunusuru uhai wake.Yani mimi nilikua namkubali lisu ila toka aanze kuwa kubaraka wa wazungu hâta sitaki msikiliza.. Yani babu zetu walipambana na wazungu mtu a nakuja kuwa agent wao
Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
Yaani mmepanick jamaa yenu kukalishwa kisomi
Kama wazungu wa US, UK nk walivyokuwa wanaitetea Afrika kusini chini ya rais mzalendo Kaburu Pieter Botha, alipokuwa akiijenga Afrika kusini kwa miundombinu ya hali na mali, huku Mandela akiichafua nchi ya Afrika kusini.Lisu alijipanga kuchafua nchi .
Yani Mkenya PLO Lumumba amejipanga kuitetea Tanzania lakini mzaliwa wa Singida Tundu Lisu anajipanga kuchafua.
Ni aibu kubwa kwa taifa letu
Lakini amegaragazwa ,asante PLO
Hata kama kichwani una matope unadhani uchaguzi wa 2020 ccm ilisha kihalali ?Just because he didn't feed your ego...
Labda kama hujui kizunguProf. Lumumba alimshika pabaya Lissu
Wakumlamba lamba siku hizi hamna... Mataga poleni sana.Just because he didn't feed your ego...
Yaani lissu kabaki anabwabwaja tu...kananza na kujipendekeza kwa shaka ssali alidhani atapewa favor...Prof. Lumumba alimshika pabaya Lissu
Kweli aseeIla alipokuja kwenye mjadala kuhusu uanzishwaji wa katiba mpya TZ alikuwa mwanamapinduzi halisi wa Afrika