wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Hiki kisago cha bundle ni maagizo ya ibilisi mwenyewe, halafu alikuwa anaoongopea watu kuwa nchi hii ina rasilimali kibao na ni tajiri sana. Kama ina rasilimali kibao, mbona kodi kandamizi ziko kwenye mawasiliano, na sio huko kwenye hizo raslimali?
Sasa ikawaje Mama Samia nae akaendeleza pale pale alipoishia jiwe kama yeye yuko tofauti na huyo jamaa?
Hii kodi ilikuwa imeshapangwa, ibilisi kafariki ana wiki 2+ sasa. Hivyo hii kodi sio ya maagizo ya huyo mama. Sisemi kama huyu mama ni mwema maana hata yeye ni uzao wa majizi ya kura,lakini hawezi kufikia uhayawani wa jiwe.
Unauliza au unapigia jibu mstari?Jiwe. HayAwani. Ni very Bold Statement. Naomba nisaidie. Unamjua jiwe vizuri. Tuambie bila kuleta za kusikia. Na hamu ya kusikia kutoka kwenye source.
Kwa hiyo ili ujue kinachoendelea Tanzania mpaka uwe umepigwa risasi?Yeye huyo Pro Lumumba anaishi Tz? Amewahi kupigwa Risasi ngapi?
Umetumia nn kufikiria? Umesoma yote?Kwa hiyo ili ujue kinachoendelea Tanzania mpaka uwe umepigwa risasi?
Bwashee Tindo naona unammudu Ndugulile maana bado unadunda.Unauliza au unapigia jibu mstari?
Tutamuomba apgwe risasi 16 afu apunguze hasira na yeye.Mimi nmeshachora tatoo ya Lissu kwisha.Mwanasheria mkongwe na mwanaharakati maarufu Afrika kutoka nchini Kenya PLO Lumumba amesema madai ya Tundu Lissu kwamba Hayati Magufuli ni tajiri kama hayati Mobutu Sseseko wa Zaire ni ya uongo na uzandiki uliopindukia.
Lumumba alikuwa anajibu swali la mtangazaji Shaka Ssali wa VOA na kusema amefika Chato na kulikuta ni eneo la kimaskini kabisa kadhalika ameshapita Dar es Salaam na Mwanza hivyo Tundu Lissu hawezi kumdanganya chochote.
Prof Lumumba amesema Tundu Lissu ambaye ni mwanasheria mwenzie apunguze hasira anapomzungumzia Hayati Magufuli vinginevyo atapoteza ushawishi na heshima aliyonayo.
Chanzo: VOA
Kila zama na kitabu chake.
Maendeleo hayana vyama!
Baba yako angetundkwa zile risasi saiv ungekuwa unaongea huo ushuz hum?Chato kule hamna kitu, ni chuki Tu za watu, kule cha maana zaidi ni hospital
Kutoka stend ya ndege ya chato kuja dar ni shngap? Nijibu kama hakuna biashara maana yake tushakula hasara.Chadema watakubishia bwashee!
Mzalendo hatembelei V8Mbona hatukuona majengo ya Mwendazake kama ilivyo nyumbani kwa Mkapa kule Lupaso?
Mzalendo ambaye alikuwa anawapigania Wanyonge wala hatukupata fursa ya kuona mwili ukiingizwa Kaburini!
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Huyo Lumumba kaongea kwakuw Magu kafa ila alkuw mpinzan wake mkuuNimemsikiliza PLO Lumumba, mzee anajua Sana. Nataman Sana serikali ya JMT ingekua na mtu mwenye uwezo wa kuisemea Kama Prof. Kwa ufafanuzi wake, Sasa ni rasmi dunia nzima inajua Lissu ana chuki binafsi na JPM, na ni hakika Magufuli alikuwa Kiongozi mwema, mpenda nchi yake aliyetamani kuona nchi ikipiga hatua kimaendeleo.
#TANZANIA NI YETU SOTE, TUIPENDE NA KUITUMIKIA
Tupe sifa zake tulinganishe na za kwetu tuone zipi zenye mashiko kwa dunia.Nimemsikiliza PLO Lumumba, mzee anajua Sana. Nataman Sana serikali ya JMT ingekua na mtu mwenye uwezo wa kuisemea Kama Prof. Kwa ufafanuzi wake, Sasa ni rasmi dunia nzima inajua Lissu ana chuki binafsi na JPM, na ni hakika Magufuli alikuwa Kiongozi mwema, mpenda nchi yake aliyetamani kuona nchi ikipiga hatua kimaendeleo.
#TANZANIA NI YETU SOTE, TUIPENDE NA KUITUMIKIA
Kwani wew Tigo fasta unauza shngap?Kwani Lissu alipigwa risasi ngapi za matakoni?
Mmh!Huyo Lumumba kaongea kwakuw Magu kafa ila alkuw mpinzan wake mkuu
Wap unahic kuna mchapio? Quote sentensi plzMmh!
Unasoma kwanza baada ya kuandika kabla ya ku post?