PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

Hiki kisago cha bundle ni maagizo ya ibilisi mwenyewe, halafu alikuwa anaoongopea watu kuwa nchi hii ina rasilimali kibao na ni tajiri sana. Kama ina rasilimali kibao, mbona kodi kandamizi ziko kwenye mawasiliano, na sio huko kwenye hizo raslimali?

Sasa ikawaje Mama Samia nae akaendeleza pale pale alipoishia jiwe kama yeye yuko tofauti na huyo jamaa?
 
Sasa ikawaje Mama Samia nae akaendeleza pale pale alipoishia jiwe kama yeye yuko tofauti na huyo jamaa?

Hii kodi ilikuwa imeshapangwa, ibilisi kafariki ana wiki 2+ sasa. Hivyo hii kodi sio ya maagizo ya huyo mama. Sisemi kama huyu mama ni mwema maana hata yeye ni uzao wa majizi ya kura,lakini hawezi kufikia uhayawani wa jiwe.
 
Jiwe. HayAwani. Ni very Bold Statement. Naomba nisaidie. Unamjua jiwe vizuri. Tuambie bila kuleta za kusikia. Na hamu ya kusikia kutoka kwenye source.
 
Jiwe. HayAwani. Ni very Bold Statement. Naomba nisaidie. Unamjua jiwe vizuri. Tuambie bila kuleta za kusikia. Na hamu ya kusikia kutoka kwenye source.
Unauliza au unapigia jibu mstari?
 
..Prof.Lumumba yuko kwenye payroll ya serikali ili kuitetea ktk vyombo vya habari vya kimataifa.

..jiulizeni nani alifadhili ziara zake ktk miradi ya sgr, stieglers gorge, chato airport, etc?

..Nimemshangaa Prof alivyopuuza kilio kutokana na dhuluma wanazofanyiwa vyama vya upinzani ktk nchi za kusini na mashariki ya Afrika, wakati huohuo akijitambulisha kama Pan-Africanist.
 
Mwanasheria mkongwe na mwanaharakati maarufu Afrika kutoka nchini Kenya PLO Lumumba amesema madai ya Tundu Lissu kwamba Hayati Magufuli ni tajiri kama hayati Mobutu Sseseko wa Zaire ni ya uongo na uzandiki uliopindukia.

Lumumba alikuwa anajibu swali la mtangazaji Shaka Ssali wa VOA na kusema amefika Chato na kulikuta ni eneo la kimaskini kabisa kadhalika ameshapita Dar es Salaam na Mwanza hivyo Tundu Lissu hawezi kumdanganya chochote.

Prof Lumumba amesema Tundu Lissu ambaye ni mwanasheria mwenzie apunguze hasira anapomzungumzia Hayati Magufuli vinginevyo atapoteza ushawishi na heshima aliyonayo.

Chanzo: VOA

Kila zama na kitabu chake.

Maendeleo hayana vyama!
Tutamuomba apgwe risasi 16 afu apunguze hasira na yeye.Mimi nmeshachora tatoo ya Lissu kwisha.
 
Nimemsikiliza PLO Lumumba, mzee anajua Sana. Nataman Sana serikali ya JMT ingekua na mtu mwenye uwezo wa kuisemea Kama Prof. Kwa ufafanuzi wake, Sasa ni rasmi dunia nzima inajua Lissu ana chuki binafsi na JPM, na ni hakika Magufuli alikuwa Kiongozi mwema, mpenda nchi yake aliyetamani kuona nchi ikipiga hatua kimaendeleo.
#TANZANIA NI YETU SOTE, TUIPENDE NA KUITUMIKIA
Huyo Lumumba kaongea kwakuw Magu kafa ila alkuw mpinzan wake mkuu
 
Nimemsikiliza PLO Lumumba, mzee anajua Sana. Nataman Sana serikali ya JMT ingekua na mtu mwenye uwezo wa kuisemea Kama Prof. Kwa ufafanuzi wake, Sasa ni rasmi dunia nzima inajua Lissu ana chuki binafsi na JPM, na ni hakika Magufuli alikuwa Kiongozi mwema, mpenda nchi yake aliyetamani kuona nchi ikipiga hatua kimaendeleo.
#TANZANIA NI YETU SOTE, TUIPENDE NA KUITUMIKIA
Tupe sifa zake tulinganishe na za kwetu tuone zipi zenye mashiko kwa dunia.
 
Back
Top Bottom