wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Hiki kisago cha bundle ni maagizo ya ibilisi mwenyewe, halafu alikuwa anaoongopea watu kuwa nchi hii ina rasilimali kibao na ni tajiri sana. Kama ina rasilimali kibao, mbona kodi kandamizi ziko kwenye mawasiliano, na sio huko kwenye hizo raslimali?
Sasa ikawaje Mama Samia nae akaendeleza pale pale alipoishia jiwe kama yeye yuko tofauti na huyo jamaa?