Bashungwa sio Msukuma
As long as he is a Jiwe protege, it does not make an iota of a difference!! Ndio hao hao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bashungwa sio Msukuma
Tuko pamoja BossAhsante kwa kunipa assignment...
Nimecheka kwa sauti kubwa sana. Team Wasira hahahahaaaaSafi kabisa hii ni team makamba na team jafo zinapambana na team majaliwa.
Team wasira inapika majungu soon itaibuka.
Team kigwangala ipo inatafakari.
Team Mwigulu hii ndiyo balaa imepania sana kufanya chochote kupambana na vikwazo vya team zote.
Team Kabudi haina hela na ushawishi imekufa kabla haijazaliwa.
20 years Ikulu.I new you before you were born,kama hakika mwenyezi mungu, mungu Wa majeshi alimteua na kumpangia mheshimiwa Majaliwa kuwa atakuwa rais Wa jamhuri ya Tanzania ,yote uliyoyaandika hapa ni ubatili.
Mungu awe pamoja naye na kila afanyalo amsaidie,hakika atafanikiwa
Long live Hon.Majaliwa
I new you?I new you before you were born,kama hakika mwenyezi mungu, mungu Wa majeshi alimteua na kumpangia mheshimiwa Majaliwa kuwa atakuwa rais Wa jamhuri ya Tanzania ,yote uliyoyaandika hapa ni ubatili.
Mungu awe pamoja naye na kila afanyalo amsaidie,hakika atafanikiwa
Long live Hon.Majaliwa
💣☺☺Yaani mpaka leo hamjajua Raisi ajaye? wacheni kumhusisha PM na vitu vya kijinga
Marais wote waliomtangulia walikuwa na akili na wabobezi wa siasa kuliko Jiwe lakini walishindwa kuwachagulia wabongo warithi wao!!! Mkwere alimtaka Membe , sasa yuko wapi? Hata Mwalimu alishndwa kumuachia Salim!!! Kama ana akili kidogo ataelewa kuwa kama ana mpango wa kumuachia msukuma mwenzie afadhali auache.
Embu mtag tumjueeYaani mpaka leo hamjajua Raisi ajaye? wacheni kumhusisha PM na vitu vya kijinga
If Trump can, so can you!Ni mtu kama Nape Mnauye tu ndio anaweza kuanza kuandika fitina kama hizi kwani alikatazwa kuzunguka zunguka kufanya kampeni kwenye sehemu nyingine tofauti na constituency yake!!! I am told he also has presidential ambitions!.
Jiwe has lowered the bar of the presidency to such a low such that even fools believe they can be presidents.
Mwinyi ametulia, got ideas, young.Rais ajae baada ya jiwe ni.......
HUSSEIN MWINYI.
If Trump can, so can you!
Mwinyi ametulia, got ideas, young.
Jaffo mnampa tu kiki hasizostahili....Bila shaka na wewe Jafo unaulilia Urais. Team Jafo mnaanza kulia kulia. Pambaneni na nyie mjiimarishe.
Napingana na wewe.Rais ni huyo huyo Magufuli. Magufuli alishatamka haoni mtu wa kufanya "makubwa"aliyoyafanya yeye.Maono ya madictator huwa hawaoni mtu kama wao wa kuweza kuongoza.