PM Kassim Majaliwa piga kazi, achana na ndoto za Urais, umemponza SG Dk. Bashiru Ally

Nimecheka kwa sauti kubwa sana. Team Wasira hahahahaaaa
 
I knew you before you were born,kama hakika mwenyezi mungu, mungu Wa majeshi alimteua na kumpangia mheshimiwa Majaliwa kuwa atakuwa rais Wa jamhuri ya Tanzania ,yote uliyoyaandika hapa ni ubatili.

Mungu awe pamoja naye na kila afanyalo amsaidie,hakika atafanikiwa

Long live Hon.Majaliwa
 
20 years Ikulu.
 
Uzoefu katika historia, ni vigumu sana kwa mtu aliyekuwa Waziri Mkuu kuupata Urais.
Fuatilia:
Sokoine
Salim Ahmed Salim
Cleopa Msuya
Warioba
Malecela
Sumaye
Lowassa
Pinda

Hao Mawaziri Wakuu si kwamba hawakujaribu bahati zao kuupata Urais , la hasha!
Mkuu wa utendaji serikalini huwa amebeba lawama nyingi sana za kiutendaji, hivyo kubeba liabilities kisiasa na maadui.
 
Ni lazima amuachie Mkoromije mwenzie hasa mtoto wa Dada Dotto James ambaye atapigwa chini na kama kuna katiba mpya na tume huru basi maccm YARIE TU!
 
Mmeanza kumtafuta majaliwa, 2025 hakuna Uchaguzi Kama hakuna tume huru, na ikipatikana tume huru ccm ujiandae kufunga virago mapema, hata wakiwasha mitambo 30, no way inaweza kushinda,hata wamsimamishe malaika,
 
If Trump can, so can you!
 
Mwinyi ametulia, got ideas, young.

Muacheni Hussein aoneshe kwanza kama anaweza kuwathibiti ITALIANS wanaowaibia wazanzibari mali zao mchana kweupe na kuuza madawa ya kulevya yaliyowaharibu vijana wengi huko visiwani!
 
Bila shaka na wewe Jafo unaulilia Urais. Team Jafo mnaanza kulia kulia. Pambaneni na nyie mjiimarishe.
Jaffo mnampa tu kiki hasizostahili....

Yule dogo hawezi kuwa Rais..kwanza hayuko smart enough kichwani, anafanya mambo kwa mihemko, hata haiba ya Urais hana.. Kwa kifupi hafai

Rais ajae ni lukuvi japo hana elimu. Sub yake ni kabudi alafu mwigulu ni shabiki nje ya uwanja...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…