PM Kassim Majaliwa piga kazi, achana na ndoto za Urais, umemponza SG Dk. Bashiru Ally

Waziri Mkuu anaishi Ikulu?? Wewe jamaa vipi! Waziri mkuu ana ofisi Ikulu na sio ana ishi Ikulu
 
Hapana alisema anataka kijana achukue viatu vyake, Lukuvi na Kabudi waliambiwa hata wafanyeje hawapati kitu, huu mzigo wa Bashungwa tu
Magufuli na Wahaya haziendi kabisa! Naomba ulitambue hili,pili Rais ajae unaweza kuta ni mtu ambaye kila mtu hata hamudhanii! Si unaona jiwe alivyopita?? Nani alijua kwamba Jiwe atakua Rais??
 
Lukuvi hana elimu?? Kapiga OUT yule jamaa acha hizo
 
Magufuli na Wahaya haziendi kabisa! Naomba ulitambue hili,pili Rais ajae unaweza kuta ni mtu ambaye kila mtu hata hamudhanii! Si unaona jiwe alivyopita?? Nani alijua kwamba Jiwe atakua Rais??
Kwanza Bashungwa sio Mhaya ni Mnyambo, pili hoja ya kutokumpenda sio kweli mihula yote miwili kaingia kwenye Baraza la mawaziri. Wabunge wote wote wa CCM alikosa wa kushika hiyo nafasi mmpaka kahamua kumrudisha. Magu hana roho ya chuki bhuana.😁😁😁😁
 
Ukigombea mbona itakuwa bomba!!!Mie unipe Uwaziri Mkuu tu niwachape viboko hadharani Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Wakuu wa Taasisi za Serikali na akina mama viboko vya mikononi kila wanapovurunda. 😜
Hapo kila mtu anaona atakuwa Rais. Hata mimi nitachukua form. Sema sijui watakuwa wameruhusu wagombea huru ?😂🙈
 
Ha ha ha ha! Hivi unajua chimbuko la Chato kutoka Biharamulo Kagera hadi kurudi Geita?? Magu humujui vizuri pale visasi ndiyo vimelala! Wote aliopishana nao kauli,cha moto wamekiona! Manji, Hanspope,wengine ilibidi wajisalimishe ili mambo yaishe,muulize Mansoor Shariff Mbunge wa Kwimba!
 
Sasa huo uwaziri kaupataje pataje aisee? Na Magu ana ranch huko Karagwe ya mifugo.
 
Sasa huo uwaziri kaupataje pataje aisee? Na Magu ana ranch huko Karagwe ya mifugo.
Kampa sababu yakubalansi mambo tu,na Bashingwa anapendwa sana na Ndugai kama hujui sasa! Naibu Waziri wa Viwanda alipigiwa pande na Job Ndugai...Hadi kupanda nakufika hapo alipo!

Hivi unadhani kina Gwajima wameenda bungeni kimakosa?? Subiri mchakato wakumsaka Rais uanze,ndiyo utajua
 
Kuna harufu ya uongo na majungu hapo,eti kuteuliwa kwa Polepole ni kwa ajili ya kumfuatilia PM bungeni.
 
20 years Ikulu
Magufuli na Wahaya haziendi kabisa! Naomba ulitambue hili,pili Rais ajae unaweza kuta ni mtu ambaye kila mtu hata hamudhanii! Si unaona jiwe alivyopita?? Nani alijua kwamba Jiwe atakua Rais??
Mimi nilijua atakuwa Rais na nilimwambia tulipokutana Pemba.
 
PM mbona ajengi kwao anakwamia wapi,Hali mwenzake anageuza kwao ulaya.
 
H
Mtego wa CCM upo kwenye mkutano mkuu hapo ndiyo pamoto ukija na jina lako mfukoni lazima walifyeke
 
Mda wote mnawaza kuumiza watu,mnasema Majaliwa ili afanyiwe fitna na Mfugale tower ndo mseme umeona Sasa,ziara zimemponza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…