PM Majaliwa anafahamu maana ya uwajibikaji? Ajali 3 kubwa zimetokea ofisi yake imeshindwa kuokoa watu lakini yupo tu

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
PM Majaliwa ana roho ngumu sana. Na ninadhani anatuona wananchi kama wanyama tu. Kwann hawajibiki pale maovu na uzembe vinapotokea kwenye serikali?

Au hatambui maana ya cheo ni dhamana?

2020 Mv Ukerewe iliua watu wengi yeye akiwa waziri mkuu. Shughuli za uokozi zilikuwa za kiwango cha chini kiasi cha kutia aibu. Majaliwa yupo tu!

2020... Ajali ya moto Msamvu iliuwa watu zaidi ya 100. Uokoaji ulifanyika kizembe na hata tiba za watu wale hazikuwa za kiwango cha kitaalamu Majaliwa yupo tu.

Leo 06/11/2020 ajali ya ndege ya Precision imetokea na kuua watu 19. Huku uokoaji ukiwa imetawaliwa na dhihaka ya kiwango cha SGR..... Majaliwa yupo tu.

Are the tanzanians subjects or objects? Why leaders are not accountable?

Eti sasa tunaqmbiwa serikali inaandaa mazishi ya heshima kwa marehemu wa ajali ya ndege. Hatutaki mazishi ya heshima, tunataka maisha yalindwe kwa heshima

Screenshot_20221106-215356.png

Screenshot_20221106-215814.png
 
PM Majaliwa ana roho ngumu sana. Na ninadhani anatuona wananchi kama wanyama tu. Kwann hawajibiki pale maovu na uzembe vinapotokea kwenye serikali?

Au hatambui maana ya cheo ni dhamana?

2028 Mv Ukerewe iliua watu wengi yeye akiwa waziri mkuu. Shughuli za uokozi zilikuwa za kiwango cha chini kiasi cha kutia aibu. Majaliwa yupo tu!

2020... Ajali ya moto Msamvu iliuwa watu zaidi ya 100. Uokoaji ulifanyika kizembe na hata tiba za watu wale hazikuwa za kiwango cha kitaalamu.....Majaliwa yupo tu.

Leo 06/11/2020 ajali ya ndege ya Precision imetokea na kuua watu 19. Huku uokoaji ukiwa imetawaliwa na dhihaka ya kiwango cha SGR..... Majaliwa yupo tu.

Are the tanzanians subjects or objects? Why leaders are not accountable?

Eti sasa tunaqmbiwa serikali inaandaa mazishi ya heshima kwa marehemu wa ajali ya ndege. Hatutaki mazishi ya heshima, tunataka maisha yalindwe kwa heshima

View attachment 2408822
View attachment 2408823
Na ataendelea kuwepo tu
 
Majaliwa mnamuonea jamaniiii.Mbona yakitokea mazuri hasifiwi??anasifiwa mwingine na yule anayeogelea sifa mnataka na hili hasilaumiwe?

Mfumo wa utawala tanzania ni maamuzi ya mtu mmoja kwa hiyo wengine wanakuwepo kama vivuli.
 
Majaliwa mnamuonea jamaniiii.Mbona yakitokea mazuri hasifiwi??anasifiwa mwingine na yule anayeogelea sifa mnataka na hili hasilaumiwe??Mfumo wa utawala tanzania ni maamuzi ya mtu mmoja kwa hiyo wengine wanakuwepo kama vivuli.

Mazuri ni wajibu wake ndio maana analipwa mshahara. Kusifiwa ni hisani isiyodaiwa. Lakini uzembe hautakiwi.
 
Mkuu kutoka ktk chaki mpaka ukuu wa mawazri co mchezo!!!!huyu labda afukuzwe kama aliweza kudanganya ndan ya msikiti kuhusu boss wake wa zamani,hawezi.achia huo.ulaji kamwe
PM Majaliwa ana roho ngumu sana. Na ninadhani anatuona wananchi kama wanyama tu. Kwann hawajibiki pale maovu na uzembe vinapotokea kwenye serikali?

Au hatambui maana ya cheo ni dhamana?

2028 Mv Ukerewe iliua watu wengi yeye akiwa waziri mkuu. Shughuli za uokozi zilikuwa za kiwango cha chini kiasi cha kutia aibu. Majaliwa yupo tu!

2020... Ajali ya moto Msamvu iliuwa watu zaidi ya 100. Uokoaji ulifanyika kizembe na hata tiba za watu wale hazikuwa za kiwango cha kitaalamu.....Majaliwa yupo tu.

Leo 06/11/2020 ajali ya ndege ya Precision imetokea na kuua watu 19. Huku uokoaji ukiwa imetawaliwa na dhihaka ya kiwango cha SGR..... Majaliwa yupo tu.

Are the tanzanians subjects or objects? Why leaders are not accountable?

Eti sasa tunaqmbiwa serikali inaandaa mazishi ya heshima kwa marehemu wa ajali ya ndege. Hatutaki mazishi ya heshima, tunataka maisha yalindwe kwa heshima

View attachment 2408822
View attachment 2408823
 
Ndiyo. Mbona wenzetu wazungu Wanafanya hivyo?
Inakuwa ngumu sabb mattz sio ya mtu mmoja bali mfumo mzima
Unakuta unataka kurekebisha mahali fulani unakutana na changamoto kibao kwahio lawama haipaswi kwenda kwa mtu mmoja
 
PM Majaliwa ana roho ngumu sana. Na ninadhani anatuona wananchi kama wanyama tu. Kwann hawajibiki pale maovu na uzembe vinapotokea kwenye serikali?

Au hatambui maana ya cheo ni dhamana?

2028 Mv Ukerewe iliua watu wengi yeye akiwa waziri mkuu. Shughuli za uokozi zilikuwa za kiwango cha chini kiasi cha kutia aibu. Majaliwa yupo tu!

2020... Ajali ya moto Msamvu iliuwa watu zaidi ya 100. Uokoaji ulifanyika kizembe na hata tiba za watu wale hazikuwa za kiwango cha kitaalamu.....Majaliwa yupo tu.

Leo 06/11/2020 ajali ya ndege ya Precision imetokea na kuua watu 19. Huku uokoaji ukiwa imetawaliwa na dhihaka ya kiwango cha SGR..... Majaliwa yupo tu.

Are the tanzanians subjects or objects? Why leaders are not accountable?

Eti sasa tunaqmbiwa serikali inaandaa mazishi ya heshima kwa marehemu wa ajali ya ndege. Hatutaki mazishi ya heshima, tunataka maisha yalindwe kwa heshima

View attachment 2408822
View attachment 2408823
Maisha ni Mungu atuokoe na majanga basi tu Tanzania imekuwa kama Kongo watu wanakosa uhai kirahisi tu sijui why Sasa waziri mkuu anawatu wake ikute yeye Hana shida ni watu wake kafukuza kachoka kabaki tu anashangaa
 
Back
Top Bottom