1881Okoza
JF-Expert Member
- Oct 3, 2022
- 693
- 949
Leo ndio nmeona ukimtaja Mungu, kweli msiba umetufika, watu wapo studio mda huu wanaandaa wimbo wa kusindikiza na kutufuta machozi katika huu msiba uliotufikaMungu atuokoe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo ndio nmeona ukimtaja Mungu, kweli msiba umetufika, watu wapo studio mda huu wanaandaa wimbo wa kusindikiza na kutufuta machozi katika huu msiba uliotufikaMungu atuokoe
Na nyinyi wananchi mnatakiwa kujitafakari, kwanini miaka nenda rudi mnakubali kutawaliwa na watu ambao akili zao zimeshachoka kuzalisha suluhu ya matatizo ya jamii zenu.PM Majaliwa ana roho ngumu sana. Na ninadhani anatuona wananchi kama wanyama tu. Kwann hawajibiki pale maovu na uzembe vinapotokea kwenye serikali?
Au hatambui maana ya cheo ni dhamana?
2028 Mv Ukerewe iliua watu wengi yeye akiwa waziri mkuu. Shughuli za uokozi zilikuwa za kiwango cha chini kiasi cha kutia aibu. Majaliwa yupo tu!
2020... Ajali ya moto Msamvu iliuwa watu zaidi ya 100. Uokoaji ulifanyika kizembe na hata tiba za watu wale hazikuwa za kiwango cha kitaalamu.....Majaliwa yupo tu.
Leo 06/11/2020 ajali ya ndege ya Precision imetokea na kuua watu 19. Huku uokoaji ukiwa imetawaliwa na dhihaka ya kiwango cha SGR..... Majaliwa yupo tu.
Are the tanzanians subjects or objects? Why leaders are not accountable?
Eti sasa tunaqmbiwa serikali inaandaa mazishi ya heshima kwa marehemu wa ajali ya ndege. Hatutaki mazishi ya heshima, tunataka maisha yalindwe kwa heshima
View attachment 2408822
View attachment 2408823
😂😂😂 Nimeshindwa kujizuia 🤣tumelipa 1.2ml ya ambulance ambulance yenyewe imezeeka inanuka uvundo
Pole sana mkuu,Kufiwa jambo baya unamwona baba Yako Kawa mweusi kwenye jeneza na unaambiwa muage mara ya mwisho aloo ....
Humuoni Tena hapo hujui hata ulie kwanini bado gundu huu ya gundu uachwe na kimeo pia .
Eti anaona humfai wewe kufiwa ni jambo ambalo ni baya sana
Asanteee acha tu sijasahauPole sana mkuu,
2028?PM Majaliwa ana roho ngumu sana. Na ninadhani anatuona wananchi kama wanyama tu. Kwann hawajibiki pale maovu na uzembe vinapotokea kwenye serikali?
Au hatambui maana ya cheo ni dhamana?
2028 Mv Ukerewe iliua watu wengi yeye akiwa waziri mkuu. Shughuli za uokozi zilikuwa za kiwango cha chini kiasi cha kutia aibu. Majaliwa yupo tu!
2020... Ajali ya moto Msamvu iliuwa watu zaidi ya 100. Uokoaji ulifanyika kizembe na hata tiba za watu wale hazikuwa za kiwango cha kitaalamu Majaliwa yupo tu.
Leo 06/11/2020 ajali ya ndege ya Precision imetokea na kuua watu 19. Huku uokoaji ukiwa imetawaliwa na dhihaka ya kiwango cha SGR..... Majaliwa yupo tu.
Are the tanzanians subjects or objects? Why leaders are not accountable?
Eti sasa tunaqmbiwa serikali inaandaa mazishi ya heshima kwa marehemu wa ajali ya ndege. Hatutaki mazishi ya heshima, tunataka maisha yalindwe kwa heshima
View attachment 2408822
View attachment 2408823
Nimerekebisha mkuuMkuu emu rekebisha hapo bado hatujafika 2028, inaweza ikawa uko sayari nyingine hii tunayoishi sisi bado tupo 2022
2020 mkuu. Nimerekebisha2028?
Kesho ofisi yake itatoa majeneza 19 bure ndo kazi anaweza.PM Majaliwa ana roho ngumu sana. Na ninadhani anatuona wananchi kama wanyama tu. Kwann hawajibiki pale maovu na uzembe vinapotokea kwenye serikali?
Au hatambui maana ya cheo ni dhamana?
2020 Mv Ukerewe iliua watu wengi yeye akiwa waziri mkuu. Shughuli za uokozi zilikuwa za kiwango cha chini kiasi cha kutia aibu. Majaliwa yupo tu!
2020... Ajali ya moto Msamvu iliuwa watu zaidi ya 100. Uokoaji ulifanyika kizembe na hata tiba za watu wale hazikuwa za kiwango cha kitaalamu Majaliwa yupo tu.
Leo 06/11/2020 ajali ya ndege ya Precision imetokea na kuua watu 19. Huku uokoaji ukiwa imetawaliwa na dhihaka ya kiwango cha SGR..... Majaliwa yupo tu.
Are the tanzanians subjects or objects? Why leaders are not accountable?
Eti sasa tunaqmbiwa serikali inaandaa mazishi ya heshima kwa marehemu wa ajali ya ndege. Hatutaki mazishi ya heshima, tunataka maisha yalindwe kwa heshima
View attachment 2408822
View attachment 2408823
KATIBA KATIBA KATIBA sivyo tutaendelea na haya majanga wakiangalia na kusifia naMajaliwa mnamuonea jamaniiii.Mbona yakitokea mazuri hasifiwi??anasifiwa mwingine na yule anayeogelea sifa mnataka na hili hasilaumiwe?
Mfumo wa utawala tanzania ni maamuzi ya mtu mmoja kwa hiyo wengine wanakuwepo kama vivuli.
Kwahy yeye ndio kasababisha hizo ajali mbona hukusema magufuli aachie ngazi ilivyotokea ile ya MV ukerewe au umeona majaliwa tu ndio wa kuachia ngaziAachie ngazi mkuu.
Ndiyo. Mbona wenzetu wazungu Wanafanya hivyo ?
Hao achana nao Wana agenda zao behind , ajali ni kificho tuuKwahy yeye ndio kasababisha hizo ajali mbona hukusema magufuli aachie ngazi ilivyotokea ile ya MV ukerewe au umeona majaliwa tu ndio wa kuachia ngazi
PM Majaliwa ana roho ngumu sana. Na ninadhani anatuona wananchi kama wanyama tu. Kwann hawajibiki pale maovu na uzembe vinapotokea kwenye serikali?