PM Majaliwa: CHADEMA, ACT Wazalendo, NCCR, CUF, CCM na DP vimepokea jumla ya Tsh 17.5 bilioni ikiwa ni Ruzuku

Ningeshangaa 17b kupata vyama vya upinzani. Huyo kataja vyama vingine ili kuua soo, ila hiyo pesa 99% wamepokea CCM.
 
Ndio maana Mnyika, si kwa yale mashavu
 
Hahahahaha ufipa walisema hawautambui uchaguzi wa 2020 ila ruzuku wanaitambua mbwa hawa.
 
CHADEMA

Wamenyooka. Wanaheshimu mamlaka.
Wanapokea ruzuku

.... waje waseme Uchumi umeporomoka.

CHADEMA wamrudishie Mbowe hela zake.
 
Hizi Ruzuku zilipigwa marufuku na chadema na ikasemwa kwamba, Mbowe akizichukua ahame chama maana atakuwa amekivunjia heshima chama, kwa sababu chadema haina wabunge inaowatambua!
Ha ha ha ha
 
Huu upumbavu wa Chadema kujifanya wanagomea/kususia baadhi ya mambo kwa sababu za kipumbavu vile vile bora waache, hata kipindi cha Kikwete waligoma kumtambua Kikwete kama Rais. Haiwezelani mnaanzisha jambo halafu shabaha yenu ni maridhiano ambayo hayazai jambo lolote kubwa la maana lenye kuleta mabadiliko.
 
Walamba asali kumbe ruzuku wanatafuna bwana!!
😀😀😀🤣🤣We si unaona hata akili zao na hoja zao zimekuwa za kichawachawa tu. Hela za Watanzania zinabagazwa na hawa wachumia matumbo mbaya kabisa.
 
Hilo genge la saccos wao wanalenga hela tu. Habari za wananchi na shida zao sio kitu kwao.
 
Kwanini PM hataji hizo Ruzuku zimegawanywa vipi tuone na CCM wamepokea bil.16 point Ngapi....
 
Wabunge 19 haramu.

Ruzuku inayotokana na wabunge 19 halali wanaitafuna.

Waoza meno asili yao ni ujambazi.
KAma ruzuku inawasaidia na ndio lengo kwanini waliwafukuza, na kwanin wanatoa ushahidi wa kuwakandamiza ili washindwe (19) kesi yao, je kwanini cdm wanahudhuria mahakamani na kupeleka mashahidi?
 
Isijekuwa zimeingizwa kwenye akaunti tu kama alivyofanya fei toto kuweka pesa kwenye akaunti ya yanga
Yanga inaingiaje hapa na huyo mpuuzi mchezaji?
Tujadiliane mambo haya kitaifa fedha zinapigwa.
We unakuja na majina yasioeleweka tena
 
Ooh ok
 
Kamilisha taarifa yako kwa kuonyesha kila chama kimepata kiasi gani, vinginevyo ni kufunika kombe mwanaharamu apite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…