Okay asanteSina uhusiano na hizo ID ulizotaja bro..
Aliyeumbuliwa ni Nani?Mshana Jr. umemuumbua mtu na multiple IDs zake, kawa mpole ghafla haha
Agenda ya kunitafuta ni nin?Ndo nielekeze upo mkoa gani na ni sehem gani nkija mi takuulizia kwa jina gani kama nipm tusimwage kuku kwenye mchele wengi maana kuna njemba humu ukizitajia sasa hv utashangaa kesho mapeeema sana zishafika
Ngoja nikizipata takutagUnaweza kutupatia post ya hizo I'd pls?
Tatizo hata ukitag sitapata huku notificationNgoja nikizipata takutag
Mmh ngoja nipate heading zake kwa usahihi basiTatizo hata ukitag sitapata huku notification
Anaetumia hizi IDs:Aliyeumbuliwa ni Nani?
Orait...Mmh ngoja nipate heading zake kwa usahihi basi
Ngoja tusubiri report ya mshanaAnaetumia hizi IDs:
1. Moniccca
2. Monicca 2
3. Chiwaso
Sijakuelewa