PM za wadada wengi wa MMU zimejaa meseji za mitongozo

Ndo nielekeze upo mkoa gani na ni sehem gani nkija mi takuulizia kwa jina gani kama nipm tusimwage kuku kwenye mchele wengi maana kuna njemba humu ukizitajia sasa hv utashangaa kesho mapeeema sana zishafika
 
Agenda ya kunitafuta ni nin?
 
Back
Top Bottom